Nijosnotes
Member
- Aug 1, 2021
- 90
- 84
Wanajukwaa kwema? kama kichwa cha uzi kinavyosema, ni muda kidogo sijatembelea tovutu ya serikali yetu ya Tanzania, ikiwa na domain tanzania .go.tz.
Lengo la uzi nikutaka cha kwanza kupongeza muonekano mzuri wa tovuti kwasasa tofauti na hapo awali, pia kama mdau wa TEHAMA ni kukufahamisha kuwa tovuti hii inatumia framework ya ASP.NET(nimetaja hii framework kwasababu wadau wa TEHEMA wanaweza kuja namaoni yao pia hapa kuhusu tovuti hii)
La ziada, baada yakuuona muonekano huu mpya wa tovuti ya serikali nikajaribu kuchunguza na za mikoa, bado muonekano niuleule wa zamani na wanatumia CMS iitwayo OCTOBER.
Napia nikapata kuchunguza ndani zaidi tovuti hizi za mikoa zinafadhiliwa/tengenezwa na USAID na hii ya serikali na taasisi za umma zipo chini ya wizara ya habari na teknolijia ya habari.
Niishie hapa, nyama zaidi tutapata kwenye comments.
John Mahuwi
Computer Engineer.