serikali

  1. Rais Mwinyi mgeni rasmi katika Mjadala wa Demokrasia kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025 Mkutano huu ni wa siku mbili, kusoma yaliyojiri siku ya kwanza bofya viunga hivi 1. Mkutano wa Kitaifa wa wadau wa Demokrasia: AveMaria...
  2. Nashauri serikali ipige marufuku homework kwa watoto wa shule

    Kwa mtazamo wangu, homework ni ushahidi kuwa walimu wameshindwa kutimiza wajibu wao. Mtoto akiwa shule anatakiwa amalize mambo ya shuleni hukohuko. Akirudi nyumbani awe na majukumu mengine ya nyumbani ili akili zake zitanuke katika vizio vyote. Mbaya zaidi ni likizo. Likizo maana yake ni...
  3. Serikali ya Saudi Arabia kusaidia matibabu ya kuwatenganisha Watoto waliozaliwa wakiwa wameungana

    Serikali ya Saudi Arabia itasaidia na kusimamia matibabu ya kuwatenganisha Watoto waliozaliwa wakiwa wameungana Hussen na Hassan wenye umri wa mwaka mmoja na miezi 11 wakazi wa Mkoa wa Tabora ambao wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi...
  4. Wazee mshahara umeshasoma huko?

    Haya wazee wa mshahara leo ni siku yetu ambayo tunatumaini itafunika miaka 7 yote iliyopita. Vipi huko ishasoma?
  5. Viongozi wa dini mjitathimini,kouona makosa ya serikali kuliko kuona makosa yenu.

    Anaandika ONJO. Mimi sina dini,nitaandika kweli tu,naamu kweli tu. 1. Viongozi wa dini mkili wazi kuwa hamuijui kweli. Maana kama ni mkristo ambaye ni kiongozi anawezaje kuanzisha mahakama ya kuwahukumu mapadri/ wachugaji wakosaji kwa sheria. Au mnapata wapi mamlaka ya kuwashusha vyeo...
  6. Yah: Mkataba wa IGA kati ya Dubai na Serikali ya Tanzania; serikali iitishe kura ya maoni

    Siyo siri, Rais wetu mpendwa ameshughilishwa mno na hoja zetu mbalimbali kama wananchi juu ya huu mkataba ambao serikali ilisha usaini mwezi february 2022 na kuja kuridhiwa na Bunge 30 Juni 2023. Siyo siri Kuna wakati hoja zetu wananchi zinavuka mipaka hata kuutweza utu na wafhifa wa Rais...
  7. Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  8. M

    Serikali ya Tanzania imebariki raia wake kuibiwa kupitia Makampuni ya Michezo ya Kubahatisha

    Makampuni ya michezo ya kubahatisha yameendelea kuongezeka kwa kasi sana nchini Tanzania kuliko nchi nyingine za ukanda wa Afrika Mashariki. Ongezeko hili linachagizwa na ukweli usiopingika kuwa kumiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha ndio njia rahisi zaidi ya kuvuna pesa kutoka kwa watu wa...
  9. Miradi ya uchimbaji mkubwa wa madini ambayo Serikali ina hisa, imechangia mapato ya Serikali ya jumla ya Shilingi Trilioni 1.53

    MIGODI MIKUBWA YENYE UBIA NA SERIKALI YACHANGIA SHILINGI TRILIONI 1.53 KUFIKIA JUNI, 2023 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Nishati, Madini ataka STAMICO iongezwe nguvu Katibu Mkuu Mahimbali aeleza Mipango Kabambe kuendeleza Sekta ya Madini, aeleza Miradi Mingine Mbioni kupewa Leseni Dodoma...
  10. L

    Serikali iunganishe taasisi zote nne zinazounda jeshi la uhifadhi

    Nawasalimia ndugu na jamaa zangu, Ama baada ya salamu, naomba kuelekekeza mawazo yetu kwenye mada hii. Wizara ya Maliasili na Utalii, Pamoja na majukumu yake mapana, ina Taasisi na mashirika ya umma yaliyo chini yake. Miongoni mwa Taasisi na mashirika hayo ni: 1. Hifadhi za Taifa (TANAPA) 2...
  11. Hongera serikali kwa kutofautisha mishahara ya walimu wa sayansi na Sanaa (Arts)

    Nianze Kwa kuipongeza serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kwa kuliona hili. Hapo awali mishahara ya walimu ilikuwa flat rate(sawa), haikujalisha mwalimu amesoma masomo gani, kwa kifupi walimu wa sayansi na sanaa (arts) walilipwa mishahara sawa. Yaani kama ni cheti wanalipwa sawa...
  12. Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  13. Mzee Kikwete, kama hamtaki Dini Kuchanganywa na Siasa mbona CCM na Serikali mnawatumia Kimaombi katika Shughuli zenu?

    GENTAMYCINE sijawahi kuona Shughuli yoyote ile ya Kiserikali na hata ya Chama Tawala CCM ambayo huwa haiwatumii Viongozi wa Dini Kimaombi / Dua. Leo hii namshangaa kumuona Mtu ambaye aliharibu kwa kiasi Kikubwa Misingi imara ya nchi (Rais Mstaafu Kikwete) kwa tabia yake ile ile ya Unafiki...
  14. TEC Ina nguvu duniani kote waraka wao usipuuzwe

    Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani. Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake? Au ni bomu limetegwa?
  15. Serikali Kufufua Kilimo cha Umwagiliaji Kwenye Bonde la Bugwema

    AHADI YA MHESHIMIWA RAIS YATEKELEZWA - SERIKALI KUFUFUA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KWENYE BONDE LA BUGWEMA Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokea na kukubali ombi la kufufua kilimo cha Umwagiliaji kwenye Bonde la Bugwema la Musoma Vijijini. Ombi hilo la Wana-Musoma Vijijini liliwasilishwa kwa...
  16. Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

    Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni jambo ambalo serikali itashindwa kutanzua. TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono...
  17. Hawa DP WORLD siyo wawekezaji bali ni mchwa

    SERIKALI IJIANDAE KUWATETEA DP WORLD KWA SABABU AJIRA NA MAPATO YA BANDARI YATAKASHUKA MNO! Hawa DP WORLD siyo wawekezaji bali ni mchwa. Tuna mapigo matatu yanahusiana na huu uwekezaji wa kifisadi yanakuja bila kuchelea. Pigo la kwanza mapato yatashuka kinyume na matarajio yao. Mapato ya...
  18. Twiga minerals yashinda kipengele cha kampuni za ubia na serikali

    Yatoa Gawio la Shilingi Bilioni 84 Serikalini Arusha Kampuni ya Twiga Minerals Cooperation Limited inayomilikiwa kwa ubia kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Barrick Gold Cooperation imeongoza katika kipengele cha Kampuni zenye ubia na Serikali katika utoaji Gawio...
  19. M

    Kuzuia habari Waraka wa Maaskofu kuripotiwa kwenye Vyombo vya Habari ni uminywaji wa kiwango cha juu sana katika utoaji habari

    Katika awamu Hii vyombo vya habari hasa TV, Magazeti, na Radio vimebanwa hasa kupitia BAHASHA za KAKI zinazotolewa na akina napenauye. Ishu ipo hivyo, vyombo vya habari vilivyo vingi hapa nchini ni njaa kali, kwa hii serikali ya wala rushwa na mafisadi yanayokula kwa urefu wa kamba zao...
  20. Halotel bado mnatoza tozo za serikali?

    Unapotao fedha kutoka kwa wakala bado unatozwa tozo za serikali wakati serikali ilishatamka kuwa tozo za serikali imeshaondolewa kwenye miamala ya simu.Je hii ni sawa au kwa anayefahamu tafadhali ufafanuzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…