serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani Tanzania nzima hawazitaki mashine za kamari za kichina ila Serikali kuu chini ya Mwigulu inaziruhusu

    Leo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena. Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka inakuwa kero. Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yakamata majengo yote yaliyokua yanatumiwa kama makao ya serikali ya HAMAS

    Hawa mazombi walikua na serikali kabisa ikiwemo makao makuu ya polisi, ila wamepoteza kila kitu sasa wamekusanyika kwenye hospitali ndio kete yao ya mwisho, na huko huko Israel imesema inapiga tu hamna nini wala nini.... ==================== The IDF on Tuesday announced that it had captured a...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mjamzito afariki dunia kituo cha afya kwa kukosa Tsh. 150,000

    Mama mjamzito, Mariam Zahoro (30) Mkazi wa Kijiji cha Mumbwi Wilayani Handeni, Tanga amefariki dunia akiwa kwenye Kituo cha Afya Kabuku kilichopo Wilayani humo ikidaiwa kuwa alikosa huduma ya upasuaji baada ya kushindwa kulipa Tsh. 150,000 alizotakiwa kutoa kwa ajili ya huduma hiyo. Tukio hilo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni utaratibu wa kudai maiti Hospitali za Serikali

    Salaam, Shalom! Tamaduni zetu za kiafrika, huwa hatuna utaratibu wa kudai maiti. Mtu akishaaga Dunia huwa tunasamehe. Bwana bwana, juzi tena TABIA hii isiyofaa imeibuka tena mkutanoni Furahisha Mwanza katika ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCCM, Kada mmoja wa chama tawala akanyosha mkono...
  5. bjhjhj

    JamiiForums Tanzania Serikali inahimiza vijana wasome masomo ya sayansi na teknolojia halafu wakigraduate wanawaachia manyoya

    Serikali ya Tazania inahimiza vijana kusoma masomo ya sayansi hasa uhandisi alafu sasa wakigraduate wanaacha vipaji vinaishia mtaani. Serikali kupitia secretariet ya ajira inabidi ijitahidi kutoa ajira nyingi kwa wahandisi wenye vigezo kwa kadri inavyoweza ili kupata wahandisi wazawa.
  6. bjhjhj

    JamiiForums Tanzania Tanzania ukisoma tu, umetangaza vita na Serikali

    Tanzania ya sasa ukisoma tu,hasa ukifika level ya degree na kuendelea utakiona cha mtema kuni.ni bora uishie darasa la pili kama doto magari infolensa.
  7. aka2030

    JamiiForums Tanzania Serikali inakusanya vipi kodi kwenye biashara kwenye app ya Airbnb?

    Hii biashara maarufu na pendwa kwa sasa Tz nauliza serikali yetu inakusanya vipi mapato
  8. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Hii ni mwaka 2015 lakini mpaka leo serikali imeshindwa kutatua hii kero

    Rais Kikwete atembelea Tegeta na Mkwajuni Kujionea Athari za Mafuriko 2015
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Manyara: Maafisa Ardhi wafikishwa Mahakamani kwa kuisababishia Serikali hasara ya Tsh. 84,000,000

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Manyara imemfikisha Mahakamani Bw. IDDI ISSA RULAMYE - Mpima Ardhi Msaidizi aliyekuwa Halmashauri ya Mji Babati na Wenzake Wawili. Washtakiwa hao wamefikishwa mbele ya Mh. MARTINE MASAO Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Manyara kwa makosa ya...
  10. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Endeleeni kufunga barabara maana tumepewa jukumu la kuwasikiliza na kuisaidia Serikali

    ENDELEENI KUFUNGA BARABARA MAANA TUMEPEWA JUKUMU LA KUWASIKILIZA NA KUISAIDIA SERIKALI - MWENEZI MAKONDA "Kitu kimoja nimegundua hapa, hii staili yenu ya kufunga barabara mnapoona msafara wa Viongozi wanapita ni nzuri sana kwa maana inasaidia kusikiliza ba kutatua kero na changamoto zenu tena...
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje serikali inapuuzia ripoti nyingi?

    Ripoti ni njia ya sayansi katika kujua, kuchanganua na kutoa pendekezo ya changamoto zinazoikabili jamii. TANZANIA ni moja ya nchi inayopuuza ripoti za wataalamu licha ya kujali kiasi cha fedha, muda na maarifa ya mtu aliyotumia kwenye ripoti. RIPOTI ya Mwakyembe kuhusu ushoga, ripoti ya CAG...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe aishukuru Serikali ya CCM kwa kumaliza mgogoro wa muda mrefu KIA

    Mbunge wa Jimbo la Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Saashisha Mafuwe amekishukuru Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia kwa zoezi la kumaliza mgogoro wa Ardhi katika Uwanja wa Ndege wa...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jafari Chege Aitaka Serikali Kufanya Maboresho ya Sera ya Ardhi Mwaka 1995

    MBUNGE JAFARI CHEGE AITAKA SERIKALI KUFANYA MABORESHO YA SERA YA ARDHI MWAKA 1995 "Je, ni lini Serikali itafanya maboresho ya Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya "Rasimu ya Sera ya Taifa ya mwaka 1995 toleo la mwaka 2023 liliwasilishwa...
  14. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Serikali inasubiri nini kutangaza hali ya hatari kwa haya mafuriko ya Dar?

    Toka saa saba usiku mpaka muda huu ni takribani masaa 12 mvua haijakata. Sehemu nyingi za mitaa ya Dar hapapitiki sababu ya kujaa maji. Hata yale maeneo ambayo hayakuzoeleka kujaa maji leo yamejaa. Ikiwa itaendelea kunyesha hivi kwa masaa mengine 12 yajayo sidhani kama kesho watu wataweza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia ziara za Makonda hazina positive impact kwa CCM zaidi ya kuonyesha mapungufu ya serikali ya rais Samia.

    Fikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala sio sifa kwa Makonda kupiga simu. Suala dogo la dhuluma kwa wananchi ambalo kwa serikali makini hata...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Serikali kuwabeba watumishi wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeendelea kutoa motisha ya kifedha na isiyo ya kifedha kwa watumishi wote ikiwemo watumishi wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu kwa kuboresha viwango vya posho ya kazi baada ya...
  17. Desierto

    JamiiForums Tanzania Hizi ni huduma ambazo Serikali ingetakiwa izitoe bure kabisa

    Hizi hapa ni huduma ambazo serikali ilitakiwa izitoe bureee kabisaa, Kuingiza umeme kwenye makazi na biashara, ukimuuliza kila mtu gharama alizotumia kuingiziwa umeme kila mtu atakupa ya kwake, Ikiwa gharama rasmi ya serikali inajulikana mfano 27000 lakini mtu anatumia 150000 inaenda kwa mtu...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipa NHIF miezi mitatu kuimarisha mfumo wa TEHAMA kuondoa usumbufu wa wagonjwa wa Bima

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, leo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Geita Mjini, Constantine John Kanyasu (Kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu) aliyeuliza kwa nini NHIF inazuia matibabu ya baadhi ya wagonjwa wenye Bima za Afya wakiwa Hospitali. “Ni kweli...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Keneth Nollo: Serikali ifute ada Vyuo Vikuu

    Akichangia bungeni mbunge Keneth Nollo, amesema serikali ifikirie kuondoa ada kwa wanafunzi wa chuo nchini sababu umasikini na mkubwa na wengi hawawezi kumudu. Badala yake wanafunzi wa nje pekee ndio wawe wanalipa ada.
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali imeridhia uchumi wa bodaboda?

    Serikali na viongozi naomba niwaulize. Je, mumeridhia uchumi wa Taifa hili linalosifika kwa kuwa na rasilimali lukuki tutembee kwenye uchumi wa bodaboda? Nauliza hivi kwakuwa naona ndio ajira kubwa ya nguvu kazi vijana wa Tanzania.
Back
Top Bottom