serikali

  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Serikali haioni hivi vichwa vilivyopo JamiiForums?

    Kwanza, ninaipongeza kwa kumteua Mkurugenzi wa JF, Maxence Mello kuwa mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Naamini hawajakosea kumteua mtajwa. Lakini inafahamu kuwa kuna vichwa vingine kibao, tena wanaotumia verified Id hivyo si kazi kuwapata, ambao wangeweza kuwa na mchango...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serikali au Taasisi Binafsi naomba muwekeze kwenye michezo hii miwili niliyobuni kutokea hapa hapa Tanzania

    Hello heshima kwenu ndugu zangu! Mimi ni kijana Mtanzania mpenda michezo, na katika kujihusisha sana na michezo, Mungu amenijalia kujipata kwa kuja na aina mbili za michezo. Mchezo wa kwanza utakuwa ukijulikana kama FENCEBALL au Mpira wa uzio. Na mchezo wa pili utajulikana kama REMAVOLLY...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Uingereza kupiga marufuku vapes ili kuzuia kutumiwa na Watoto

    Serikali ya Uingereza inatarajia kupiga marufuku matumizi ya Sigara za Kielektroniki ikiwa ni sehemu ya mipango ya kukabiliana na ongezeko la matumizi makubwa ya vijana katika uvutaji huo. Takwimu za Shirika la kutoa Misaada la Action on Smoking and Health (Ash) limeema 7.6% ya Watoto wenye...
  4. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Chama kina nguvu kuliko Serikali, hizo ndizo siasa za nchi yetu na za kikomunisti

    Kwa wale wote wanao shangaa maigizo ya makonda kukaripia viongozi wa kiserikali wanapaswa kufuatilia na kujifunza asili ya siasa zetu. Baada ya ziara ya Mwalimu Nyerere uchina na Tanzania kupitia mabadiliko makubwa ya kisiasa na kuanza kufuata siasa za kijamaa. Katika mabadiliko hayo nguvu ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchambuzi ziara ya muenezi Paul Makonda, serikali ya CCM 2024 kukosa kura?

    January 2024 TATHMINI YA ZIGO ZITO ALILOTWISHWA MUENEZI PAUL MAKONDA KURUDISHA IMANI KWA RAIA Ziara ndefu ya Paul Makonda ambaye ni katibu uenezi, itikadi na mafunzo wa CCM imeibua na kuweka wazi jinsi chama hiki kongwe dola kimeshindwa kuweka mifumo ya utawala bora. '...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Waalimu mnapaswa kuandamana kudai pensheni kamili, kikokotoo kwenye pensheni ni udhalim. Ni aibu kwa serikali kuwekeza kwenye vifo vya watumishi wake!

    Waalimu wa siku hizi hadi muambiwe kuwa hali za maisha yenu sio nzuri!? Juzi tu hapo serikali imekuja na kikokotoo cha pensheni za watumishi mkiwemo nyie waalimu. Watu mnakatwa pensheni yenu na mpo kimya tu?! Pensheni ni mali yenu na sio msaada kutoka serikalini, mnapaswa kuelewa kuwa...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Barabara na Daraja la Zege Ruvuma Kuunganisha Tanzania na Msumbiji

    SERIKALI KUJENGA BARABARA NA DARAJA LA ZEGE - RUVUMA, KUUNGANISHA TANZANIA NA MSUMBIJI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ipo katika hatua za mwisho ya kusiani mkataba na kumtangaza Mkandarasi atayejenga barabara ya Likuyufusi - Mkenda (km 122) sehemu ya kwanza Likuyufusi -...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Dereva wa serikali usithubutu kumpa gari boss wako aendeshe

    Kuna ile inatokea dereva kazoeana na Afisa kama unavojua siku hizi wafanyakazi ni vijana unakuta dereva na boss wote ni washikaji wanakunywa pamoja sasa inatokea dereva labda kachoka au kalewa au kampa demu lift anaamua kumuachia boss aendeshe ili yeye Akakae nyuma adozi aisee ile ni hatari...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Kenya yaizuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti

    Mahakama Kuu ya Kenya imezuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti Mahakama imeeleza kuwa hatua ya kupeleka Askari Polisi ni kinyume cha Sheria kwa vile Baraza la Usalama la Kitaifa halina mamlaka ya kisheria ya kutuma Polisi nje ya Kenya bali linaweza kupeleka Wanajeshi...
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yaizuia Serikali kukusanya Kodi ya Ujenzi wa Nyumba

    #KENYA: Mahakama ya Rufaa imeongeza amri ya kuzuia Serikali isikusanye Kodi Maalum ya Ujenzi wa Nyumba ambayo ni kati ya zinazotekelezwa kupitia Sheria ya Fedha ambayo imelalamikiwa na kuongeza Gharama za Maisha kwa Wananchi. Zuio hilo linafuatia zuio lililotolewa na Mahakama Kuu Novemba 2023...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huku kwenye maofisi ya Serikali huduma ni mbovu mno na watumishi wamerelax sana. Hivi shida ni nini?

    Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Siku ya nne leo wilaya ya Kaliua hatuna umeme

    Hatimaye zimefika siku 4 bila ya umeme wilayani Kaliua huku meneja wa wilaya na mkoa wakitoa tangazo limesababishwa na kuanguka nguzo 10 zilizopo mbugani. Kwanini Serikali inalea watumishi wazembe hivyo?! Meneja wa TANESCO mkoa Tabora pamoja na wilaya ya Kaliua wapaswa kuwajibika. Nguzo kumi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inashirikiana na matapeli kuwaibia wananchi?

    Habari wakuu, Naandika kidogo hapa maana mambo ni mengi,jana wakati naangalia taarifa ya habari nikaona habari kuwa kuna watu wametapeli wananchi zaidi ya milioni 900 kwa kuwauzia ardhi ambayo ni pori la serikali huko maeneo ya Bagamoyo, hadi muda huu wananchi hao wamekwishajenga na ndipo...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Simai Mohamed Said, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ajiuzulu siku mbili baada ya kutangaza uhaba wa pombe kwenye hoteli na migahawa

    Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Simai Mohamed Said ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo usiku. Mhe. Simai ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, ametangaza kujiuzulu akisema ni kutokana na kile alichokiita "MAmazingira...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Nchini Zimbabwe ajiuzulu ndani ya Chama chake, adai kinatumika na Serikali

    Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Nelson Chamisa amejiuzulu, akisema chama chake "kimechafuliwa" na "kutekwa nyara" na serikali. "Sitakuwa na uhusiano wowote na siasa za maji taka," alisema katika taarifa ya kurasa 13 siku ya Alhamisi. Alipata takriban 44% ya kura katika uchaguzi wa rais wa...
  16. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wahindi waliharibu kizazi cha 90-2000, ila kuanzia kizazi cha sasa lawama tuwatupie serikali au wasanii kwa ujumla wao

    TAMADUNI ni msingi na nguzo ya Taifa hatutaweza kuwa jamii endelevu ikiwa tamaduni zetu tumezitupa kabisa kama Taifa tutapoteza kitambulisho kwenye makutano ya nchi nyengine ila ubaya siyo kupoteza utambulisho tu! bali kupotea kwa misingi ya tamaduni ambazo kimsingi ndiyo nyenzo ya maadili kuna...
  17. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kuna watumishi wa Serikali wasio na viwango kabisa

    Kuna changamoto kwenye sekta hii ya utumishi wa umma. Kubwa sana ni kukosa viwango (standards) na muendelezo (continuity). Hii continuity watu wa filamu wanaijua sana, la sivyo kazi zao zingekuwa vioja. Sasa vioja hivyo wanafanya hawa watumishi wa serikali. Tukianza na standards nikiangazia...
  18. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Serikali kujitenga na mazoea kwenye maandamano haikuwa Bahati mbaya

    Kama ni mfuatiliaji mitandao ya kijamii hasa u tube utanikubalia kuwa Zama zimebadirika. System ime benefit kwa muda mrefu kutokana na ujinga wa jamii tuliyonayo Kwenye mitandao ya kijamii watanzania wamekuwa kaa la Moto. Akili zilizoko huko ndani ndo zinezaa matunda mahsusi ya haya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiajiri mafundi sanifu vifaa tiba wakutosha?

    Inafika wakati wilaya nzima inahudumiwa na fundi sanifu vifaa tiba mmoja ahudumu hospitali zote za wilaya husika, mtaani vijana ni wengi sana tunahitaji hiyo kazi na tuna professional hiyo. Mabadiliko yanahitajika ili kuwezesha upatikanaji bora wa huduma za afya na kupunguza gharama za kununua...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Amri ya Bei Elekezi za Sukari Tanzania Bara

    Kufuatia malalamiko ya Wananchi juu ya kupanda kwa gharama za Sukari, Serikali imetangaza Amri ya Bei Elekezi iliyoanza kutumika Januari 23, 2024 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara kwa lengo la kudhibiti Bei holela za Bidhaa hiyo Kwa mujibu wa Tangazo la Serikali, Amri hiyo imesema Mtu yeyote...
Back
Top Bottom