kimonga1

Member
Jan 21, 2024
22
33
Hatimaye zimefika siku 4 bila ya umeme wilayani Kaliua huku meneja wa wilaya na mkoa wakitoa tangazo limesababishwa na kuanguka nguzo 10 zilizopo mbugani.

Kwanini Serikali inalea watumishi wazembe hivyo?! Meneja wa TANESCO mkoa Tabora pamoja na wilaya ya Kaliua wapaswa kuwajibika.

Nguzo kumi zimeleta hadha ya umeme siku 4, wamelikosesha shirika mapato na bado wako ofisini.

---
Malalamiko ya mdau mwingine mtandao wa X

kaliua.png
 
Hatimaye zimefika siku 4 bila ya umeme wilayani Kaliua huku meneja wa wilaya na mkoa mkoa wakitoa tangazo limesababishwa na kuanguka nguzo 10 zilizopo mbugani.

Kwanini Serikali na inalea watumishi wazembe hivyo?! Ndio maana miradi mingi ya serikali hufa na hawapati faida na inaendeshwa kwa hasara.

TANESCO INAPATA HASARA KUBWA kutoka na kuhujumiwa na watumishi wake .Meneja wa mkoa tabora TANESCO wa Tabora pamoja na wilaya ya Kaliua wapaswa kuwajibika.

Nguzo kumi zimeleta hadha ya umeme siku 4.wamelikosesha shirika mapato na bado wako ofisini.Ingekuwa kipindi cha Mwendazake sasa hivi wangekuwa wanalima mihogo.

Mainjinia nao pia wako ofisini tu hawajui nini cha kufanya. Biteko take action on these bandits
 
Hasara kubwa sana mnapata. Serikali sikivu ya Mama Samia naamini imepokea kilio chenu.
Hasara wanapata Kwanza Wananchi wanaotegemea umeme kwa matumizi ya kujipatia kipato, serikali ingelichukulia hili suala kwa umakini tusingekuwa na kelele za umeme
Hatuna hata wataalam wakapiga hesabu ya kiaasi Cha pesa tunachopoteza kwa siku tukikosa umeme, kazi kusifia sijui juhudi nguzo kumi nizakufanya wakose umeme siku tatu?
 
Back
Top Bottom