Kwanini Serikali isiajiri mafundi sanifu vifaa tiba wakutosha?

Mgex boy

Member
May 6, 2020
8
4
Inafika wakati wilaya nzima inahudumiwa na fundi sanifu vifaa tiba mmoja ahudumu hospitali zote za wilaya husika, mtaani vijana ni wengi sana tunahitaji hiyo kazi na tuna professional hiyo. Mabadiliko yanahitajika ili kuwezesha upatikanaji bora wa huduma za afya na kupunguza gharama za kununua vifaa tiba kwa kuzifanyia matengenezo vilivyopo, ikiwa ufanisi wa kifaa tiba ni mbovu bhasi itaathiri mgonjwa/wagonjwa.

TAIFA BORA HUJENGWA NA WANANCHI WENYE AFYA BORA
 
Back
Top Bottom