Dereva wa serikali usithubutu kumpa gari boss wako aendeshe

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,826
Kuna ile inatokea dereva kazoeana na Afisa kama unavojua siku hizi wafanyakazi ni vijana unakuta dereva na boss wote ni washikaji wanakunywa pamoja sasa inatokea dereva labda kachoka au kalewa au kampa demu lift anaamua kumuachia boss aendeshe ili yeye Akakae nyuma adozi aisee ile ni hatari sana kumbuka boss hajazoea safari Ndefu usiku kuna mambo mengi kuna kupigwa full light na magari makubwa kuna kukwepa mashimo na kisha Kupoteza control kuna mambo mengi sana ya kusababisha ajali kama huna uzoefu.

Msala utabaki kwa dereva kama akipona ofisi itamuhoji kwanini alimpa mtu asiyehusika dereva utaulizwa kwanini tusikufukuze kazi?
 
Siyo kila sehemu mnaenda na Bo's wako mpe gari aendeee kwenye ishu zake za private

Mpe gari boss atembee nalo akale vitu vyake vya sirini atarudi tu

Hat festo. Ndugage alipo pata ajali aalikuwa anaendesha mweyewe
 
Ila omba ajali isitokee aliyesaini gari ni wewe na sio boss
 
Kuna ile inatokea dereva kazoeana na Afisa kama unavojua siku hizi wafanyakazi ni vijana unakuta dereva na boss wote ni washikaji wanakunywa pamoja sasa inatokea dereva labda kachoka au kalewa au kampa demu lift anaamua kumuachia boss aendeshe ili yeye Akakae nyuma adozi aisee ile ni hatari sana kumbuka boss hajazoea safari Ndefu usiku kuna mambo mengi kuna kupigwa full light na magari makubwa kuna kukwepa mashimo na kisha Kupoteza control kuna mambo mengi sana ya kusababisha ajali kama huna uzoefu.

Msala utabaki kwa dereva kama akipona ofisi itamuhoji kwanini alimpa mtu asiyehusika dereva utaulizwa kwanini tusikufukuze kazi?
actually ni kosa kisheria..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom