serikali

  1. Hakuna mjadala, Visungura vinaua nguvu kazi ya vijana, havina tofauti na viroba, serikali itoe tamko juu ya mauaji haya ya makudi

    Wapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii. Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga...
  2. Ushauri kwa Serikali juu ya matokeo haya yaliyotoka, FTNA

    Wadau wa Elimu na Wazazi. Mtokeo ya Dara's la nne na kidato Cha pili yametangazwa leo. Napenda kulipongeza Baraza La Mitihani kwani kiukweli kabisa mwaka huu yamkuja matokeo halisi sawa na watoto tunavyowafahamu huku mashuleni na mtaani. Naomba niseme hivi... Kidato Cha pili wanfunzi wengi...
  3. Kwa utetezi wa Joshua Mollel, soma maelezo mengine hapa chini

    Huku mjadala wa Joshua Mollel ukiendelea kufanywa, baada ya interview ya baba mzazi kuzidi kuwachanganya watanzania, kuna vitu taarifa chache nimeweza kuzipata. Naendelea kutoa pole kwa familia ya Mollel. Ndugu Ephata Nanyaro amefanya kazi nzuri sana ya kusaidia kuelezea na kufisha conspiracy...
  4. Serikali ibadili mchoro wa Daraja la Jangwani mto msimbazi

    Nimeona Waziri wa TAMISEMI anasema kero ya mto msimbazi itatuliwa kwa miaka 100 ijayo! Ila iko hivi; Eneo la Jangwani ni muhimu sana kwa muonekano wa Jiji la Dar Es Salaam, Pamoja na serikali ya Rais Samia kukosa maamzi, ni serikali isiyofanya maamzi kwa muda na yenye watendaji wavivu sana...
  5. K

    Serikali iwaajiri Walimu wahitimu wa mwaka 2015-2018 kwa mkupuo

    Serikali kupitia OR TAMISEMI inawajibu wa kuwaajiri walimu hususan wahitimu wa mwaka 2015-2018 kwa mkupuo bila kujali masomo waliosoma. Walimu hawa wengi wao wapo mitaani wakirandaranda huku na kule ili kuwezesha mikono yao iende kinywani. KWANINI SERIKALI IWAAJIRI WALIMU HAWA KWA MKUPUO? 1...
  6. DOKEZO Responded Mwamba ajenga fremu kituo cha Mwendokasi Mbagala licha ya kupigwa stop na serikali

    Bila shaka huyu ni kigogo mzito sana, anajenga frem kwenye hifadhi ya barabara, ndani ya kituo cha mwendokasi Mbagala, kibali amepata wapi? Ilikuja Tanroad ikasimamisha ujenzi na kupiga X jamaa akafuta kwenye x za kijivu ujenzi unaendelea, wakaja tena wakarudia kupiga X bado mafundi wanapaua...
  7. Serikali ya 2009 ilipungukiwa nini?

    nakumbuka nikiwa darasa la 4 ilikuja gari moja shuleni, ikiwa na viatu vya kutosha vikapelekwa darasa moja hivo kila mwanafunzi anaingia na kupata saizi yake nzuri na kuondoka, tukifungua shule tunapewa daftari na kalam penseli rula bureee, watoto wasiokuwa na baba au mama hao ndo ilikuwa...
  8. Kwa hii serikali kuna kufanikiwa kweli kwa watumishi wa umma bila kuiba?

    INTRODUCTION: Hapa sizungumzii wizi wa fedha au mali za Umma pekee ila nazungumzia wizi wote wa MUDA na FEDHA. Nimekuwa nikiona na kusikia watu wengi sanaa wakiponda juu ya wizi fedha za uma kwa watumishi. Nimekuwa nikiona na kusikia raia wengi sanaa wanalalamika kwamba wakienda ofisi fulani...
  9. Serikali inakalia kimya matukio ya Watu kutekwa na kuuawa? Utawala uliopita mambo yalianza hivi hivi

    Kuna matukio ya Watu kutekwa na kuuawa bila kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria na wengine wakidaiwa kufanyiwa ukatili na Polisi lakini mamlaka zimekuwa zikitoa majibu mepesi tu. Sio sawa kwa nchi inayofuata utawala wa Sheria kukalia kimya masuala ya uhai na usalama wa raia wake. Tukumbuke...
  10. B

    Hakuna mbunge yeyote anayeleta maendeleo, maendeleo huletwa na Serikali

    Kwa mfumo wa nchi za kiafrika, hakuna mbunge anayeleta maendeleo, Kama Serikali haina kipaumbele na eneo husika, hata mbunge ufanyeje, huwezi kupata hayo maendeleo Naomba kuwasilisha
  11. Serikali yasitisha Bei Mpya za Kitita cha Bima ya Afya ya NHIF

    Serikali ya Tanzania imesitisha bei mpya za kitita cha matibabu kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) huku ikitangaza kuunda kamati huru itakayofanya mapitio ya maboresho yaliyofanyika. Bei hizo mpya zilizopangwa kuanza kutumika kuanzia Januari mosi, 2024 zimesitishwa hadi itakapotangazwa...
  12. Serikali za kiafrika zingeweza kuvumilia hili? Hapa waandamaji wangepewa kesi ya uhaini

    Hii ni video inaonyesha waandamanaji wanaounga mkono palestina wakiwa karibu na makazi binafsi ya katibu wa serikali ya marekani (waziri wa mambo ya nje) antony blinken wakimwagia vimininika vyenye rangi nyekundu karibu na gari la blinken. Cha ajabu kwa sisi waafrika hao waandamanaji hayupo...
  13. R

    Bodaboda waishitaki Serikali kwa madai ya kuwatelekeza katika mipango yao, wadai fidia ya Ksh. Bilioni 426 (Tsh. Trilioni 6.7)

    Baadhi ya waendesha pikipiki (bodaboda) kutoka jijini Malindi wameamua kuchukua hatua ya kisheria dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, wakidai kuwa wamesahaulika katika mipango ya serikali na kusababisha hasara kubwa kifedha pamoja na matatizo ya kisaikolojia. Kulingana na nyaraka za mahakama...
  14. A

    Shule za serikali za wasichana Arusha

    Nahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha. Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha Ahsanteni
  15. PreGE2025 Tume Huru ya Uchaguzi wanayoitaka ili iwe huru kweli iendeshwe na fedha za wanaotaka kuchaguliwa siyo na Serikali

    Kumekuwepo na kelele za mda mrefu za uhuru wa tume ya uchaguzi. mambo yanayoguswa ni :- inavyoundwa watumishi wake Kwa mswada uliopelekwa bungeni na inavyopendekezwa inalekea suala la namna inavyoundwa na kupatikana watumishi wake yakapata majibu. Lakini bado lipo suala la nani ataipa fedha za...
  16. L

    Hatua ya serikali ya Marekani kuiondolea vikwazo China haiwezi kutatua changamoto za kimsingi za kibiashara

    Hatua ya Marekani kuongeza muda wa kusamehe nyongeza ya ushuru kwa bidhaa za China chini ya ‘Kifungu cha 301’ mpaka Mei 31, 2024 imepongezwa sana na jamii ya wafanyabiashara, lakini bado kuna mapungufu, kwani hatua za Marekani katika kuboresha biashara ya pande mbili bado zina vizuizi. Tangu...
  17. Taabu za kusomea vyuo private ama vya makanisa/misikiti, ni heri usomee chuo cha serikali kwa hapa Tanzania.

    - Wifi internet ni tatizo, vyuo kibao hata free wifi haipo na kama ipo kuipata access yake ni shughuli ama ipo slow sana, kwa vyuo vya serikali angalau ttcl nayo ni taasisi ya serikali huwa wanajitahidi kuwasambazia, - Umeme ukikatika vyuo private ni wao wenyewe wayajitegemea kwenye mafuta...
  18. Uwekezaji Mahiri Katika Maeneo ya Kimkakati ya TAWA Kuiingizia Serikali Zaidi ya Dola za Marekani Milioni 314

    UWEKEZAJI MAHIRI KATIKA MAENEO YA KIMKAKATI YA TAWA KUIINGIZIA SERIKALI ZAIDI YA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 314 Na Beatus Maganja, Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Serikali inatarajia kupata mapato yanayokadiriwa kufikia dola za Kimarekani milioni...
  19. Kama hauna njaa acha kazi msinisumbue!

    Jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. Wengi tumeangukia sekta binafsi. Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. Unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. Wengine wanaingia usiku. Ili upate hizo kazi lazima uhonge mlinzi wa...
  20. Serikali ya Mtaa Kawe: Kweli kuna kundi la Wahalifu wanatumia kivuli cha Ulinzi Shirikishi, wanatuchanganya sana

    Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mzimuni, Kata ya Kawe, Raiya Nassoro akifafanua kuhusu matukio ya Uhalifu maeneo ya Kawe katika eneo la Tanzania Packers. Mtaa huo una Ulinzi Shirikishi ukiwa umegaiwa katika Mitaa saba, moja kati ya maeneo hayo ni eneo la National Housing, ni kubwa lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…