sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya kuanikia nguo huwa inasahaulika katika ramani na ujenzi wa nyumba

    Usafi wa nguo hufanyika kila mara na hii inategemea ukubwa wa familia au wingi wa wakazi. Kuna wanaofua kila siku, kila baada ya siku au mara moja kwa wiki. Wengine Hufua kwa mashine na kukausha kwa dryer, hawa siwaongelei hapa kwani ni wachache sana. Nguo kuanikwa hovyo hovyo kunapoteza...
  2. guojr

    JamiiForums Tanzania Soma Hapa Kama Unataka Kuanzisha Au Kukuza Biashara Yako – Sehemu Ya Pili

    Kwenye hatua ya kwanza kama nilivyosema lazima ujue jamii inachangamoto gani. Changamoto zipo nyingi sana hata mtaani kwako na nyingine ni za kitaifa au kidunia kabisa, kwahiyo kadiri changamoto inavyokua kwa watu wengi basi ndio unajihakikishia soko kubwa. Tunaendela kwa mifano sasa ili upate...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Usiwe sehemu ya upotoshaji kuhusu COVID-19 na Chanjo

    Cha kusikitisha ni kwamba, kuna habari nyingi zisizo sahihi mtandaoni kuhusu virusi vya COVID-19 na chanjo. Habari potofu wakati wa janga la kiafya zinaweza kueneza hali ya wasiwasi, hofu na unyanyapaa. Inaweza pia kusababisha watu kuachwa bila ulinzi (kinga) hivyo kuwa kusababisha dhaifu dhidi...
  4. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Ashikiliwa kwa tuhuma za kumuunguza mtoto sehemu za siri kwa moto wa sigara

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Apolikarp Mushi kwa tuhuma za kumuunguza sehemu za siri kwa moto wa sigara, mjukuu wake wa kiume pamoja na kumtegua nyonga kwa kutumia kitu kizito. Mushi anayeishi kijiji cha Uru Kyaseni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kumfanyia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, unajua habari za Kionga, ambayo ingekuwa sehemu ya Tanzania?

    Pembetatu ya Kionga ilikuwa eneo dogo la kilomita za mraba 395 kusini mwa Mto Rovuma kwenye Bahari ya Hindi, ambayo ilienea kaskazini mwa Rasi Delgado . Ndani ya eneo hilo kuna mji wa Kionga (Kireno "Quionga"), ambao mwaka wa 1910 ulikuwa na karibu wakazi 4,000. Eneo hili lilikuwa sehemu ya...
  6. Kasomi

    JamiiForums Tanzania WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts

    WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts. Kwa kawaida unaweza kuzuia “Last Seen” isionekane iwe inaonekana kwa marafiki zako tu; unaweza kuchagua iwe inaonekana kwa watu wote; au unaweza kuchagua isionekane kwa mtu yoyote. Mabadiliko...
  7. Kelela

    JamiiForums Tanzania Zebra Cross, sehemu ya kuvuka watu kwa miguu nani anahusika?

    Habari za leo wadau, Naomba kufahamu hawa watu wanaoweka alama za zebra (wapita kwa miguu) barabarani. Maana katika eneo ninaloishi hakuna zebra cross barabarani na magari huwa yanapita kwa kasi sana maana hakuna zebra cross wala matuta. Hili limepelekea watu (watoto, vijana, wazee) kuvuka...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

    Joto la eneo hili hufikia hadi nyuzi joto 40 C, kumbuka hapa Dar halijawahi kuvuka 34 na watu ndio wanapiga kelele hivi Je, kuna zaidi ya Ifakara kwa joto Tanzania?
  9. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Maambukizi ya Fangasi katika Sehemu za Siri (Vaginal Candidiasis)

    Kati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi. Inakisiwa asilimia 75 ya wanawake wote duniani hupata maambukizi haya katika kipindi cha uhai wao. Maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na uwepo wa fangasi wanaojulikana kitaalamu...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania College ya Afya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mbeya inajengwa sehemu gani?

    Wakuu Chuo hiki kinajenga wapi College yao ya afya pale Mbeya? Mkuu wao wa chuo, JK aliwaombea eneo la kujenga chuo. Waliomba wajenge viwanja vya Tanganyika packers. Badaaye nasikia wizara ya kilimo walisema lile eneo wana kazi nalo, wanataka kufuga ng'ombe hivyo chuo wakapewa eneo jingine...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania WhatsApp Imefanya maboresho Sehemu ya Backup

    Mfumo wa End-to-end encryption unazuia WhatsApp, mitandao ya simu na kampuni za Internet kuona kinachoendelea katika mazungumzo, messages na files. Lakini hapo mwanzo mfumo huo ulikwepo katika chats na calls za WhatsApp tu. Wahuni na hackers wakitaka kuchunguza chats zako walikuwa wanatafuta...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Jaji kesi ya Mbowe na hukumu kinzani

    Kwamba Jaji Tiganga kalitupilia mbali pingamizi kesi ya Mbowe na aliwahi kutoa hukumu hii: Kuna nini kilichobakia? Pamoja na kumshtakia Mungu, huyu Jaji aombwe kujitoa.
  13. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Majina ya Interview Kwenye Web ya Utumishi Yanakaa Sehemu Gani Wakuu...?

    Salaam kwenu wadau. Kama mada inavyojieleza wakuu, naomba kujua majina ya watu wanaotakiwa kwenda kufanya interview ambazo zimetangazwa na Utumishi huwa yanawekwa sehemu kwenye web yao wakuu...? NAWASILISHA.
  14. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mamlaka: Kuwe na sehemu rasmi mtu akiokota kitu cha thamani apeleke

    Sijui kama utaratibu huu upo au haupo, natamani kungekua na sehemu rasmi au kama ni kituo cha polisi au kwingineko ikitokea mtu akiokota kitu ambacho hamjui mwenyewe aende kukupeleka au kukabidhi hapo. Apewe stakabadhi maalumu kuonesha kuwa kakabidhi. Hii itasaidia watu waliopoteza vitu vyao...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Xinjiang ni sehemu yenye uhuru na ustawi

    Xinjiang ni mkoa mkubwa zaidi unaojiendesha wa makabila madogo madogo nchini China, na una wakazi zaidi ya milioni 25 wa makabila karibu 50, wakiwemo Wauyghur. Katika miaka ya hivi karibuni, suala la Xinjiang limechukuliwa na baadhi ya nchi za magharibi kama njia ya kupaka matope China. Ili...
  16. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Iringa: Moto wateketeza sehemu ya eneo la soko la Mashine Tatu

    Usiku wa jana tarehe 26 Oktoba moto umerindima na kuunguza sehemu ya soko la Mashine Tatu. Inasemekana moto huo ulianzia katika moja ya vibanda. Chanzo bado hakijajulikana. Pole sana kwa waliopoteza mali zao.
  17. MabatiBeiNafuu

    JamiiForums Tanzania Utumishi mjiongeze kwa hili kwa suala la usaili kufanyika Dodoma pekee

    Habari JF, Naomba Sekretarieti ya Utumishi waweze kusaidia wahitimu weweze kufanya mitihani ya Ajira wakiwa mikoani kwao. Majuzi TRA wametoa nafasi 1097 za Ajira ambazo ni nyingi sana kwa kipindi hiki cha Uchumi wa Kati. Sasa Kikwazo ni hizi interview kufanyika huko Dodoma pekee. Kuna mtu...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Kuna sehemu kunajengwa msikiti mkubwa unaopakana ukuta na kanisa, Je hii imekaaje?

    Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi wasandawe na wahadzabe wametengewa sehemu yao maalumu?

    Eti wandugu, jamii ya watu hawa wana eneo maalumu la kuishi wametengewa?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Tofauti kubwa ya wadau wa upinzani wa Kaskazini na sehemu nyingine

    Nashangaa mpaka leo bado CCM na viongozi wa Serikali hawajajua tofauti ya wapinzani wa kaskazini na wa sehemu nyingine kama Kigoma au Mbeya Huku Arusha, Kilimanjaro na Tanga tatizo kubwa sio barabara au madarasa ya shule. Ni sehemu ambayo ilikuwa na barabara nyingi za lami na shule nyingi...
Back
Top Bottom