Mapammbano dhidi ya COVID 19 yamekua magumu kueleweka kwa wananchi, kwasababu hatukuwekeza zaidi katika afya msingi, kuanzia kwenye jamii zetu.
Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na mikakati endelevu wa kuhakikisha huduma za afya hususa ni kuzuia maambukizi mapya (Prevention).
Afya ya...
Wanandugu ninataka wa kuanzisha maisha nikiwa na familia yangu nikiwa na mke wangu na pamoja na mtoto wangu
Hivyo ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar kuanzisha maisha ambapo ninaweza kupanga vyumba viwili at affordable price na eneo nitakaloishi lisiwe la gharama hivyo naomba kufahamu...
OMBI KWA VIONGOZI WETU WA CCM SEHEMU YA KWANZA.
Na Frey Cosseny
Niwaombe viongozi wetu wa Chama Cha Mapinduzi mnapomuongelea Hayati Mwenyekiti wetu Taifa Dr. John Pombe Joseph Magufuli muchukue tahadhari kubwa sana.
Hayati Magufuli katika Marais waliyopita anayeweza kumfutia Mwalimu Julius...
Natarajia mko salama wakuu na wanajamii forum. Niko na swali ambalo natarajia hapa ni pahari pazuri pa kupata jibu, sasa nataka kuwekeza kiwanda au viwanda vya kutengeneza juices, toka mananasi.
Maembe na machunga na pia matunda mengine kama passion fruits and mapapai, sasa swali langu ni hili...
Mbali na kutumia mitandao na makongamano au mikutano kudai Katiba Mpya, nashauri wanaharakati, wanasiasa na wadau wengine waandae vipeperushi vyenye kueleza umuhimu wa katiba mpya na kuvisambaza kadri inavyowezekana.
Vipeperushi vieleze mapungufu yaliyoko katika katiba ya sasa na hatari au...
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45.
Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
Wakuu Kama kichwa kilivotanabaisha hapo juu,Kuna mahali nina kaplot ka ukubwa wa Meter 11x15 nataka nianze kukafanyia kazi.je naweza fyatua kanyumba ka chumba tatu na eneo la parking likabaki?
Za leo wana MMU.
Natafuta sehemu moja tulivu iliyotulia inapiga mzika wa taratibu wa polepole huku swimming pool ya private ipo i mean nataka self contained room na swimming pool sitaki watu wanione sababu ni star mimi nafuatiliwa kinoma so staki picha zangu zisambazwe maana najua wadadaz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.