Photographers' Corner

Eqlypz

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2009
Messages
4,069
Points
0

Eqlypz

JF-Expert Member
Joined May 24, 2009
4,069 0
Hapa tutakuwa tunashare picha tulizopiga au picha zilizopigwa na wapiga picha wengine ila zimetuvutia. Ikiwezekana vile vile tutakuwa tunaweka tips jinsi gani tumepiga picha, post processing etc etc.

Tukiweka picha za wapiga picha wengine tujaribu kuweka source na jina la mpiga picha.

Hii picha ilipigwa maeneo ya Kigamboni kutoka kwenye boti la kuelekea Zanzibar.
 
AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,232
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,232 1,500
Hii picha ilipigwa maeneo ya Kigamboni kutoka kwenye boti la kuelekea Zanzibar.I love the pic... I love all pics with sun rays disguised or peeking.. When i look
Mara ya kwanza nilipooiona i thot .. Post card but then when i realised umepiga mwenyewe
I appreciated the picture's quality and clarity... for kupiga picha za portraiture yahitaji a
qulified eye ili iweze toka vizuri...

Usinge taja neva would have thot ni hapa kwetu... Kwa jinsi hilo jua lina peek naomba
Nijua exactly how long inachukua for the sun to go down na inakuwaje utime hivyo..
 
Eqlypz

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2009
Messages
4,069
Points
0

Eqlypz

JF-Expert Member
Joined May 24, 2009
4,069 0
I love the pic... I love all pics with sun rays disguised or peeking.. When i look
Mara ya kwanza nilipooiona i thot .. Post card but then when i realised umepiga mwenyewe
I appreciated the picture's quality and clarity... for kupiga picha za portraiture yahitaji a
qulified eye ili iweze toka vizuri...

Usinge taja neva would have thot ni hapa kwetu... Kwa jinsi hilo jua lina peek naomba
Nijua exactly how long inachukua for the sun to go down na inakuwaje utime hivyo..
Kusema kweli sijawahi kutime inachukua muda gani now that you have mentioned nitatime, hii picha haikuwa planned kupata hii picha nilipiga picha kama tano mbili tu ndio zilitoka vizuri(kama watu wako interested naweza kushare rest of the shots) vile vile kumbuka kuwa boti lilikuwa linatembea nadhani mwisho wa siku naweza kusema it was pure luck that it came out this way.

Sunset shots nyingi zinataka patience maana unaweza kusubiria masaa mawili for perfect shot ambayo inalast few seconds.

**Tripod haikutumika ilikuwa ni handheld.
 
AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,232
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,232 1,500
Kusema kweli sijawahi kutime inachukua muda gani now that you have mentioned nitatime, hii picha haikuwa planned kupata hii picha nilipiga picha kama tano mbili tu ndio zilitoka vizuri(kama watu wako interested naweza kushare rest of the shots) vile vile kumbuka kuwa boti lilikuwa linatembea nadhani mwisho wa siku naweza kusema it was pure luck that it came out this way.

Sunset shots nyingi zinataka patience maana unaweza kusubiria masaa mawili for perfect shot ambayo inalast few seconds.

**Tripod haikutumika ilikuwa ni handheld.

I would agree to the pure luck thingy... alafu hapo ni dhahiri ukutumia Tripod for
mazingira ya boat na Tripod?? Maybe kama mko na crew and on a Photo focused journey
Na naona hali ya hewa ilitulia maana safari za Zanzibar i know huzingua now and then
upande wa mtu ambae ni sea sick.. It is really spectacular...

Now as a photographer... tell us a story about the pic.

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Messages
8,032
Points
1,500

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined May 26, 2009
8,032 1,500

Source. getty images, google, i couldnt get the specific name of the photographer.

For me this pic is the most romantic ever. In the middle of a riot after Canucks lost to the Bruins, i know the dude was just trying to calm down her gf, but how did the idea of kissing her came up in that situation?

Congrats to the photographer too.
 
Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Messages
4,184
Points
2,000

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2008
4,184 2,000
Hii picha ilipigwa maeneo ya Kigamboni kutoka kwenye boti la kuelekea Zanzibar.

Wooosh!!!
This a VERY beutiful piece of art in the form of a picture.
It takes imagination to link a seascape, a reluctantly reclining landscape and skyscape, a three in one.
This picture could fetch you millions buddy!
 
AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,232
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,232 1,500

Source. getty images, google, i couldnt get the specific name of the photographer.

For me this pic is the most romantic ever. In the middle of a riot after Canucks lost to the Bruins, i know the dude was just trying to calm down her gf, but how did the idea of kissing her came up in that situation?

Congrats to the photographer too.

I saw this clip couner fulani... really wanted to know source..
Saddening but erotic whether you like it or not...
Mapenzi yana run dunia i guess..
It is saddening just after the incident one of them was injured,
Hopefully not bad!

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Messages
8,032
Points
1,500

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined May 26, 2009
8,032 1,500
I saw this clip couner fulani... really wanted to know source..
Saddening but erotic whether you like it or not...
Mapenzi yana run dunia i guess..
It is saddening just after the incident one of them was injured,
Hopefully not bad!

the gf was injured but no seriously injured n they were on the news couple days ago talking about it.
 
The gf was injured but not seriously injured n they were on the news couple days talking about it.

Picha kali sana na mpiga picha sharp sana.
 
AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,232
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,232 1,500
the gf was injured but no seriously injured n they were on the news couple days ago talking about it.
Yah... nimesoma habari from the source umetoa...
sijui nisemeje... Moving i guess.
Ni kweli picha kali saana, na huyo mpiga picha...
mmh! i bliv atakua kapata reputation zaidi positively...

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,232
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,232 1,500
imepigwa kutoka YMCA

Flickr 上 Napalmisch 的 YMCA - Dar es salaam

Hii picha imetulia to the extent you imagine the place full of fresh air always..
free of people around and free of any existence...
The sky ilivyo appear... the taa between the two buldings kama vile jua... Beautiful!

Forum statistics

Threads 1,382,398
Members 526,366
Posts 33,826,885
Top