sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ukraine haikuomba kuwa sehemu ya USA ili kuepusha huu ujinga unaoendelea sasa?

    Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zangu kinachoendelea leo huko Ukraine kinatokana na ujinga wa viongozi wa nchi hiyo kushindwa kujiongeza mapema huko nyuma ili kuepuka uvamizi huu unaofanywa na Urusi katika ardhi yake. Ikumbukwe na ifahamike kwamba USA ni Super Power ktk dunia hii, na...
  2. Eqlypz

    JamiiForums Tanzania Photographers' Corner

    Hapa tutakuwa tunashare picha tulizopiga au picha zilizopigwa na wapiga picha wengine ila zimetuvutia. Ikiwezekana vile vile tutakuwa tunaweka tips jinsi gani tumepiga picha, post processing etc etc. Tukiweka picha za wapiga picha wengine tujaribu kuweka source na jina la mpiga picha. Hii...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kumbe ufunguzi na ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing ni sehemu mbili za sherehe moja!

    Ufunguzi na ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kumbe ni sehemu ya kwanza na ya pili ya sherehe moja. Maonesho ya fataki kwenye ufunguzi wa michezo hiyo yalionesha mchoro wa msonobari unaowakaribisha wageni, na maonesho ya fataki kwenye ufugaji wa michezo hiyo...
  4. James Martin

    JamiiForums Tanzania Suala la Ngorongoro limegawanyika sehemu mbili, ni wazalendo vs wabinafsi

    Ngorongoro ni urithi adimu sama duniani mwenyezi mungu ametupa Watanzania. Tunatakiwa tuilinde kama mboni ya macho yetu. Cha kusikitisha watu wanawatumia Wamasai kama kivuli cha kuhifadhi mifugo yao kwenye hifadhi ya taifa. Watu wenye pesa wameifanya hifadhi ya Ngorongoro kama sehemu ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ni lipi kosa la Lutenant Denis Urio? Au Mimi kuna sehemu nimepitwa?

    Lutenant Denis Urio kwa Sasa anateseka na pande mbili, upande wa Kwanza ni upande watetezi wa Mbowe na washitakiwa wenzake. Pia upande wa pili ambao unamtesa Leutenant Denis Urio ni upande wa wanaomshitaki Mbowe na wenzake. Nitaanza na upande wa pili Hawa iko hivi, kwa mtazamo wa nje Urio...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Trafiki aliyekataza mabasi ya Dar kuingia Same kabla ya saa bado yupo ofisini? Kwanini kizuizi kiwe Same na sehemu nyingine?

    Kuna taarifa zinasambaa Kwenye mitandao ya kijamii Kwamba Trafic wa Wilayani Same wamekataza mabasi yanayotoka Dar kuwahi kufika Same kabla ya saa Saba. Matokeo yake mabasi yakikaribia same yanapaki barabarani yakisubiri ifike saa Saba yaingie mjini. Wakati huyu trafic anafanya haya naamini...
  7. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna baranch ya simu ya oppo Arusha mnisaidie location au kaskazini sehemu yoyte

    Hello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile nahitaji Ila naweza fika Arusha au kati ya Arusha na moshi kununua hivyo nilikua naomba kama kuna mtu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua sehemu yoyote penye ujenzi wa barabara kwa sasa anistue. Mimi sijaona tangu awamu ya 6 iingie madarakani

    Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa miundo mbinu ya barabara na ambayo ina faida kwa wanyonge. Sisi hatupandi ndege kama wao. Barabara...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nyumba yangu iliyo Mbezi Lous ina changamoto ya nyufa

    Wakuu nyumba yangu ina changamoto ya cracks za mara kwa mara nyingine zinakuwa perpendicular nyingi diagonal. Udongo wa hapa ni clay (mfinyanzi). Nataka kushusha ukuta wote naomba ushauri wenu wataalamu jinsi ya kutibu tatizo hili.
  10. my name is my name

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wenye maumbile madogo ya sehemu za siri, yanawafanya mkose kujiamini katika mapenzi?

    Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tatizo la kuvuja sehemu za maunganisho ya mabati

    Wanajf mwaka huu nilifanikiwa kupata kibanda changu cha kuishi, tatizo nilipiga bati mwezi wa 9 mwaka Jana. Leo mvua zinanyesha kwa wingi, ninavujiwa kwenye zile "angles"za miinuko ya mabati Kama mjuavyo uezekaji wa kisasa! Ushauri wenu nini kifanyike!Msaada wa mawazo tafadhali.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani na alitokea sehemu gani, ni ujinga na upumbavu

    Ye yote anayetafakari kwa kina, aliye na elimu ya vitu na uelewa wa mambo hawezi kuzingatia akilini mwake kwamba mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani; au alianza kuishi eneo au bara gani. Rangi ya mtu; vyovyote inavyoitwa: mweusi au mweupe, si kitu chenye nafasi katika maana yenyewe ya mtu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    Ulivyoagiza gari yako ufunguo wa akiba..uliukuta sehemu gani? Njooni tupeane maujanja. Kuna gari moja niliiagiza ufunguo wa spare niliukuta ndani ya Manual book ya gari. Kwenye gari nyingine baada ya kutafuta sana.. nilikuja kuukuta kwenye hivi vidroo vidogo dogo ambavyo vipi kwenye dashboard...
  14. Chimunguru

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Habari JF Doctor na wana jamii wote. Mdogo wangu wa kiume (23yrs) ana tatizo la kuwashwa mwili mzima tokea mwaka 2002. Nimezunguka naye takribani hospitali zote kubwa hapa Dar lakini hatujafanikiwa kupata ufumbuzi wa tatizo lake. Kwa ufupi ni kwamba alianza tu kuwashwa jichoni, macho...
  15. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Mbowe alifanya mission zote za ugaidi Hai? Hakukuwa na ofisi za uratibu sehemu nyingine?

    Yaani nchi hii tumefikia level ya juu sana ya uonevu. Hivi kweli Mbowe huyu aliyeshitakiwa Dar es Salaam, inaingia akilini kweli afanyie mipango yote Wilayani Hai tukio la nchi nzima bila kua na ofisi zavuratibu mkoa wowote kati ya ile iliyotajwa kama vile Moro, Dar, Arusha, Mbeya...
  16. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Sinza na Mwenge kuna matatizo makubwa sana

    Thread was deleted
  17. Mai-Ndombe

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya starehe Mwanza?

    Nimefika Mwanza jioni hii nikitokea Arusha. Kwa wale wenyeji wa hili jiji la miamba ni sehemu gani nzuri naweza kwenda kupata moja moto moja baridi na totozi nzuri za kutosha?
  18. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania TCRA Yamfungia Polepole, Mwenyewe Asema "Kusema Ukweli ni Sehemu ni Safari Ndefu."

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kwa muda usiojulikana kipindi cha Shule ya Uongozi kinachomilikiwa na Mbunge, Humphrey Polepole kwa makosa matatu likiwemo la kutoa taarifa ya upotoshaji kuhusu chanjo ya Uviko 19.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa Dar kuna sehemu inatoa starehe kama hizi?

    Simaanishi danguro, au guest houses, nauliza hivi Dar kuna jengo la kifahari maybe ghorofa yenye fenicha na vitu vya kifahari ndani, ambalo mwanaume unalipa pesa halafu ukiingia Ndani ya ilo jengo Unakuta wadada weengi wazuri kama ishirini hivi wote Wapo uchi wa mnyama, wasivae nguo yoyote...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF inavuna ilichopanda kwenye mpira

    Tunaona sasa TFF inavyopata shida na Simba na Yanga kiasi cha kupoteza uelekeo. Tunaona yanga wakigomea mechi yake na simba kwa kosa la kubadilishwa muda wa mechi, tunaona Yanga wakiigomea TFF kuvaa nembo ya mdhamini yenye Rangi nyekundu. Sasa hivi tunaona simba ikigomea udhamini wa GSM...
Back
Top Bottom