Ogende ogaruke na shuntama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ogende ogaruke na shuntama

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Superman, Oct 30, 2009.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Nimwahi kusikia miaka ya nyuma kuwa kuna dawa za mapenzi za kihaya moja inaitwa UGENDE UGARUKE nyingine SHUNTAMA ambazo akina dada huwa wanatumia kuwapumbaza Wanaume kimapenzi ili wawapende sana.

  Kwa wale walio na uelewa wowote wa mambo haya, je kuna ukweli wowote au ushuhuda? Au ni hadithi za hekaya za Abunuasi?

  Nawakilisha.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  UGENDE-UGARUKE...Yaani utaenda...na utarudi mwenyewe, bila kulazimishwa!...ha..ha..haaa!
  Nadhani dawa hiyo ni mbaya sana, kwa mwanandoa simshauri akae jirani nayo...lol!
   
 3. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Du! Mkuu ndo unanifungua macho sasa.

  Ina maana ukipewa hiyo wewe lazima utakuwa unarudi tu kwa huyo Dada aliyekupa. Ama?
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Oct 30, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Asa kuna faida gani kuwa na mtu ambaye unajua kabisa penzi lake kwako limepigwa jeki na hayo madudu?

  Is it part of mapenzi au? kaazi kweri kweri
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Kiboko ya zote inaitwa "tanaka",ukilambishwa hiyo ndugu zako wote unawaona kama kituo cha Polisi!
   
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  MJ1 ukishakuwa mhanga wa hayo 'madudu' huwezi kujua maana sasa si utakuwa unapelekeshwa tu kama mkweche unaovutwa na brekidauni?
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Huwezi mkwepa kaka!...Utajizungusha siku mbili tatu, lakini wapi, utaona yeye ndo nambari wani! Yeye hata ukimtukana wala hachukii, anajua huna option zaidi ya kumrudia!

  Ni soo hizo dawa babaake! Ama kweli Mungu aliumba mimea ya ajabu sana, maana hii ni mimiea pyua, haichanganywi na kitu wala ndumba yoyote...lol!
   
 8. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mambo mengine kujitafutia matatizo, inakuwaje wewe ukimchoka na yeye kawa king'ang'anizi kwa ajili ya hayo madude si utatamani ufukiwe ardhini.
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Oct 30, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Na aliyekufanyia je? anapata raha gani kuishi na wewe akijua si akili zako?
   
 10. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2009
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  nami ndo kwanza leo kusikia hayo ya miti huku kwetu tuna kinyama kidogo cha ngombe au chochote kinavumbikwa ktk uchi wa mwanamke na kulishwa kazi yake ndo km hiyo kinaitwa limbwata.
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Penzi ni lazima libebwe na mbeleko bana!...Mi naona huo ndo ubunifu...lol!
   
 12. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ya nini kuishi na mtu aliye pumbaa akili?? kama hawezekaniki bora kuachana nae.

  kuna binti mmoja alikwenda kwa wataalamu wa hayo mambo akaulizwa anachotaka akasema anataka mumewe asitoke nje, jamaa akawa hatoki nje kabisa literally yaani hata kazini kagoma kwenda, we...ilikuwa shughuli kwelikweli!
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Si anakuchuna tu mama?
   
 14. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2009
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  utakuwa ni ukichaa tuu mwanajamii, haya mambo ya kipuuzi sana, anything artificial hakina mvuto kabisa, kama mchina tuu na vitu vyake
   
 15. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mWE! nAKUMBUKA KUNA JAMAA KAWEKEWA DAWA KWENYE MAJI YA KUOGA NA MKEWE kwenye ndoo, jamaa alizoea kuoga ikitumia kikombe kujimwagia maji mwilini, yaani ile anajimwagia tu! mkewe alimshuhudia nyoka akitoka bafuni huku kichwa ni cha mmewe, lakini kiwiliwili cha nyoka! ilibidi apigwe risasi maana hakikuwa kiumbe cha kawaida tena! Mungu atunusuru na hawa viumbe wa kike!
   
 16. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Kaka huo mmea unapatikana vipi na unaitwaje?

  Ni uchawi au ni sayansi ya tiba?
   
 17. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hakuna dawa ya mapenzi duniani, utamwua mwenzi wako bure!

  Dawa ya mapenzi ni hii:
  Usiwe mchoyo, mwizi, mzinzi,
  mlevi, mfitini,

  Ukiwa mchoyo hutataka mwenzi wako ajue kipato na matumizi yako, unamdhurumu, utafanya maisha yawe ya mashaka mashaka.

  Ulevi kupita kiasi unakupelekea uzinzi.
  Ukiwa ulevini lazima utanunua uzinzi, na kwa kuwa mkeo hajui pato na matumizi yako, hivyo lazima shetani atakusaidia badala ya mkeo.

  Hapo ndipo ndoa inakuwa ndoana.


   
 18. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hizi sio hadithi za hekaya ni mambo ambayo yapo kabisa in reality na yana mifano hai. kama unaamini kuwa kuna limbwata basi ndio shuntama yenyewe
   
 19. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Du,Mkuu Yussuf kumbe neno 'limbwata' maana yake ni jina la mnyama? mmmhhh wanaume tunakula mengi!
   
 20. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180


  duu hayo majina yamenikumbusha mbali kidogo..Nadhani hiyo lugha ni ya nchi jirani!!
   
Loading...