sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Josephat Sanga

    JamiiForums Tanzania Nauliza sehemu wanayokodisha vifaa hivi vya michezo ya watoto

    kama Kuna mtu anajua vinapokodishwa naomba tuwasiliane DM
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya Viboko: Upi ni umri sahihi, sehemu sahihi na kwa makosa yapi?

    Mtoto aanze kupewa adhabu ya viboko akifikia miaka mingapi? Ni umri upi wa kuacha kumtandika? Makosa yapi yanahitaji maonyo na yapi yanahitaji bakora hata kama ni mara ya kwanza? Atandikwe kwa bakora, mkanda, n.k wa aina ipi? Idadi ya viboko? Ni sehemu zipi katika mwili za kumchapa?
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siku utakayofanikiwa mambo yatakuwa hivi kwa sehemu kubwa

    Kwema Wakuu! Siku utakayofanikiwa Wale uliodhani utawakomesha, utawaringishia wengi wao watakuwa hawapo, watakuwa wamekufa! Siku utakapofanikiwa wengi WA watu uliokuwa unawaonea aibu na kuwahofia watakudharau usifanye kazi fulani watakuwa wamekufa, au utagundua hakuna aliyekuwa anafuatilia...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Quran kufanyika sehemu nyingine tarehe 17 mwezi wa nne?

    Wanabido, wote tunafahamu kuwa tarehe 17 mwezi wa nne kutakuwa na mashindano ya Quran uwanja wa mkapa. Siku hiyo hiyo pia kutakuwa na mchezo kati ya Simba sc dhidi ya Orlando pirates ya south Africa hatua ya robo fainali caf confederation cup. Je! Kuna uwezekano matukio haya mawili makubwa...
  5. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

    January nahisi nyota yake ina giza sana! Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu! Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana. Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi...
  6. Waibi fredy

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/ sehemu ya kujitolea

    Habari za wapendwa. Mimi ni kijana wa kitanzania ninaishi Dar jinsia (me), elimu (shahada ya teknolojia na mawasiliano) nimekuja humu ndani kutafuta connection yoyote ya Kazi/au sehemu ya kujitolea kwenye taasisi yoyote iliyo na uhitaji wa mtu mwenye fani yangu. Nipo tayari kujitolea sehemu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anaweza kuondolewa Bungeni kwenda kulitumikia Taifa sehemu atakayokuwa huru kutumia taaluma yake?

    Dr. Bashiru ni Mbunge wa kuteuliwa ambaye kama walivyo Wabunge 19 wa upinzani ameonyesha kushindwa kabisa kurejesha confidence na taaluma yake ndani ya bunge. Nakubali ndugu yangu huyu alikengeuka akajione next to president but may be hakuwa yeye Bali waliomzunguka. Dr. Bashiru ameshiriki...
  8. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, ni Halmashauri zote huhitaji fedha kutoka Serikali Kuu? Kuzipatia fedha nyingi mabilioni kila mwaka ni kuzidekeza na kuzifumba akili

    Juzi Rais Samia ametangaza tozo ya shilingi 100 kwa kila lita moja irejeshwe katika kodi ya mafuta. Hapohapo wafanyabiashara wa mafuta hayo hawajalalamika bali wamefurahi maana wao wapata faida zaidi. Licha ya kodi hiyo ya mafuta, gharama za maisha kwa ujumla zimepanda na mfumuko wa bei uko...
  9. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Tuliopotezana na Wapenzi wetu tuwatambue kwa majina nyakati na sehemu

    Ebwana eeeh namkumbuka Koku alikuwa receptionist giraffe hotel na peacock Hotel, bonge la pisi halafu mtamu safari zangu za mbele nimepotezana nae, 2008-2010, DSM nikiwa mkazi wa kijitonyama, Mfugale junior tulikuwa ligi moja ila sio mbaya, koku uko wapi?koku kama koku Tuwatafute
  10. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnatakiwa sana kujifunza na kukubali kuwa kukosoana, kuvumiliana ndo sehemu ya demokrasia

    Nalisema hili kutoka na tabia ya baadhi ya CHADEMA kuwa ma mtazamo kama ifuatavyo: I) Baadhi ya wanaCHADEMA wamekuwa waligombana sana na watu walio kinyume na sera zao! Mfano mtu akitoka wazo tofauti juu ya CHADEMA inachokiamini watu wa chama hiki hujitokeza kuta kejeli na matusi kama...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Madaktari wanaziona Sana sehemu za Siri , haiwaathiri kweli hii?

    Madaktari wanaziona Sana sehemu za Siri. Hii aiathiri kweli nguvu zao zakiume?
  12. Saston124

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kufanyia field Morogoro

    FIELD MOROGORO Naomba msaada kwa anayefahamu maeneo ya kufanyia field morogoro mm nakaa kihonda magorofan na nasoma bachelor ya it chuo cha uhasibu arusha.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi katika sehemu za biashara, moja ya sharti lisilo rasmi la leseni wanazopewa ni kufungulia TBC?

    Hapa Dodoma, nimefanya kautafiti kadogo kasiko rasimi, na nimegundua sehemu nyingi za biashara kama mabaa, migawaha, n.k, muda mwingi wanapenda ku-tune TBC na Mama anapokuwa live, basi ndio kabisa watamuonyesha mwanzo mwisho. Sio kosa na sio vibaya kufanya hivyo. Swali ni je, vituo vingine...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nihifadhi wapi akiba yangu ya fedha ili nipate faida ya angalau asilimia 10 kwa mwaka?

    Habari ndugu zangu, Mimi nataka kuanza kuwekeza pesa zangu za ziada lakini sijui nihifadhi wapi ambako nitajitengezea angalau faida ya asilimia 10 kwa mwaka! Naomba msaada kwa anayejua
  15. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Anuani za Makazi na Wakazi je inaweza kupatika/kutolewa sehemu ambazo hazijapimwa?

    Nimeshuhudia watu wakipita na makaratasi wakiwaambiwa wakazi wa eneo husika kuwa huu mtaa n mtaa flan na Kama Kuna njia wanasema n njia flan bila ya mwenyeji/wenyeji kujua Hilo jina limetokea wapi. Pili hiv inawezekana kutoa anuani bila ya kuwa umerasimisha makazi ya eneo husika? Mfano unakuta...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Hospitali ya Dar Group inanuka kinyesi kila sehemu

    Salaam Wakuu, Usalama wa wagonjwa hatarini katika hospitali ya Dar Group iliyopo Tazara Jijini Dar es Salaam. Mazingira yote ya hospitali yananuka kinyesi kutokana na kutozibuliwa Kwa chemba za kuhifadhia maji taka. Wagonjwa Wengine wanashindwa kuvumilia na kuondoka kwenda kwenye hospitali...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwanini pepo ni jitu baya na peponi ni sehemu nzuri?

    Utamsikia mchungaji akisema '' nakutoa hili PEPO baya la umalaya uache dhambi ili ufike PEPONI''. Mida hii ninatoka Nyegezi mida fulani nitakuwa Dom.
  18. L

    JamiiForums Tanzania "Waraka mkuu nambari 1" utakuwa mfano wa nchi za Afrika kukuza sehemu za vijijini

    “Waraka mkuu Nambari 1” wa China kuhusu kuhimiza kwa kina maendeleo ya sehemu za vijijini ulitolewa hivi karibuni, na kuamsha shauku kubwa kutoka kwa watunga sera wa Afrika, haswa wadau wa sekta ya kilimo na vijiji. Mnamo Desemba 2020, China ilitangaza ushindi katika kupunguza umaskini, na watu...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nyerere alikurupuka kuleta mfumo wa Muungano ambao haupo sehemu yoyote Duniani, na hakuna nchi itakayojaribu kuiga

    Yeye ndie alieanzisha kitu hiki ambacho hakipo duniani nchi yoyote ile zaidi ya hapa kwetu. Haiingii akilini vya upande A ni vya upande B lakini vya upande B si vya upande A, Very bitter. Tukiendelea na huu mfumo, basi mateso haya tinayopitia yatakuwa mara 10 zaidi ya hapa miaka ijayo na ndio...
  20. Superman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ogende ogaruke na Shuntama

    Nimewahi kusikia miaka ya nyuma kuwa kuna dawa za mapenzi za kihaya moja inaitwa UGENDE UGARUKE nyingine SHUNTAMA ambazo akina dada huwa wanatumia kuwapumbaza Wanaume kimapenzi ili wawapende sana. Kwa wale walio na uelewa wowote wa mambo haya, je kuna ukweli wowote au ushuhuda? Au ni hadithi...
Back
Top Bottom