Hivi wanaume wenye maumbile madogo ya sehemu za siri, yanawafanya mkose kujiamini katika mapenzi?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri ndogo.

Kua na sehem za siri ndogo ata hainisumbui kwa sababu mimi nakua satisfied hakuna tatizo ndo mana npo nae miaka yote hyo.

Mimi binafsi nampenda tena sna japo nilimcheat mara moja ila hakuwai kufaham kama nilimcheat. Na yenyewe ata sijadumu sana na uyo niliekuwa namcheat nae tukaachana. Ila toka tumekua engaged sijawai kumcheat tena. Nmetulia sana mpk mwenyewe najishangaa.

Ila yeye hajimini kabisa. Haamini kama nampenda kwa dhati kutoka moyoni, anahisi nipo nae kwasababu ya pesa zake. Tukikorofishana ata kidogo tu ndo neno lake hilo kua npo nae kwasababu ya pesa zake tu. Haya maneno yake yananiumiza sana kwasababu sio kweli kama nampendea pesa. Akitulia anaomba msamaha.

Tukikorofishana tena anarudia maneno haya haya. Yamekua kama wimbo. Tena wimbo unazoeleka lakini haya maneno yake sijawai kuyazoea. Mi nampenda kweli kweli kutoka moyoni mpk akipatwa na kitu kibaya roho inaniuma nakua naumia kama kimenipata mimi. Na mimi sijawai kua na huruma kwa mwanaume yoyote niliekuwa nae kwenye uhusiano,, yeye ndo wa kwanza.

Mpk sasa naanza kuhisi labda kua na sehem ndogo za siri ndo kunamfnya afikirie hawezi kupendwa yeye kama yeye. Anakosa kujiamini katika mahusano. Hivi na nyie wanaume wa umu wenye sehem ndogo mnakua pia hamjiamini kama huyu. Mnahisi kama hamuezi kupendwa nyie kama nyie?
 
Nipo usingizi umekata.nahisi kama kuna mwizi anataka kuruka ukuta aingie ndani hapa namvizia nimle kiboga tuu.
Mkuu na heshima zako zote hapa jf unafanya huo uchafu wa kula marinda kweli???
Kwa nn usimpeleke polis huyo mwizi wako kuliko kumla kiboga??

Daaah sikutegemea comment Kama hii kutoka kwa expert Kama wewe mzee mwenzangu
 
Niliwahi kusikia wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume kwa asilimia kubwa ndio huwa wanakua insecure.. hofu ya kuibiwa sababu anajua hana uwezo wa kukutimizia haja zako kwa wakati.. Ila me naona ni heri uwe na maumbile madogo lakini nguvu zipo za kutosha Coz utapata tu k size yako kuliko kuwa na maumbile makubwa halafu nguvu za kutafuta na torch..
 
Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri ndogo.

mahusano. Hivi na nyie wanaume wa umu wenye sehem ndogo mnakua pia hamjiamini kama huyu. Mnahisi kama hamuezi kupendwa nyie kama nyie?
Unafikiri hajui kama ulimcheat!? hisia zako tu hizo bibie, anajua sana basi tu kafunika kombe
 
Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri ndogo.
Uliridhika naye kwa kila kitu na bado ukamcheat
 
Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri ndogo.
Vipi tumpe dawa basi awe na rungu kubwa
 
Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri ndogo.
Kwani kinachokuweka hapo ni nini?

Upendo,Hela au unafurahia maumbile yake?
 
Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri ndogo.

Kua na sehem za siri ndogo ata hainisumbui kwa sababu mimi nakua satisfied hakuna tatizo ndo mana npo nae miaka yote hyo.
Huu uzi haunogi bila picha
 
Mungu hakupi vyote, anakupa pesa anakunyima gegedelo, anakupa gegedelo, anakunyima pesa.

Ikitokea vyote ukawa navyo basi yaweza tokea usipate furaha ya ndoa au kuikosa kabisa.

Utazalisha kila mtaa mitoto itagombania mali +dawa za mama zao kukuroga mwisho unakufa ukiwa na miaka 42. poleni wanaume.
 
Back
Top Bottom