sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi yale Maji ya Mvua yanayopenda Kutuama sehemu nyingi Mkoani Morogoro hayawezi Kuhifadhiwa kwa Matumizi ya Kipindi cha Ukame?

    Muda na Nguvu za Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba za Kimedani Adui yako Genius wa Afrika upo ila wa Kutumia Akili Kubwa ya Kuhifadhi Maji mengi yanayozagaa Mkoani Morogoro kutokana na Mvua na Mafuriko ili yaje kuwa Msaada kwa Wakulima Kipindi cha Ukame hatuna.
  2. Sehemu za starehe kupiga picha ovyo nusu iharibu mahusiano yangu.

    Naam , it is a good day to stay alive. Kama kichwa cha habari kisemavyo, Kuna katabia fulani hivi page za insta esp clubs na big bars wanapiga picha na video za wateja bila hata kumshirikisha mteja . So by the time it was christmas 2023 my crush alitaka kwenda outing na mm na waubani...
  3. Nawezaje kufanya back up ya mafaili yangu ikiwa nina sehemu za storage mbili kwenye laptop ?

    kupoteza data huwa ni hasara kubwa, ni heri upoteze au uibiwe laptop ama simu lakini uwe na backup Laptop yangu ina storage mbili A. 128 GB SSD - Hii nimeweka window, programs na documents, ina speed kubwa sana kuzidi hdd unapowasha pc, kuperuzi mafaili, kucopy files, kusoma mafaili, n.k. B...
  4. Mwanza ikitengenezewa mazingira mazuri itakuwa sehemu nzuri ya kuishi hapa Afrika Mashariki

    Mwanza ni mji ambao unakua kwa kasi kiuchumi na maendeleo yake sio madogo pia, waliofika Mwanza miaka 10 iliyopita ukilinganisha na Leo ni vitu viwili tofauti kabisa na watakua pamoja na Mimi. Dar es Salaam ni jiji la biashara, pia Kuna mzunguko mkubwa wa pesa lakini sio sehemu rafiki ya kuishi...
  5. Nimefurahi kuwa sehemu ya jukwaa hili

    Habari, Nimefurahi kuwa sehemu ya jukwaa hili. Natarajia kusoma nyuzi kadhaa nzuri.
  6. Israel imemuua Jenerali wa Iran Sayyed Razi Mousa vita vinaweza kuenea sehemu kubwa

    Wanaukumbi. BEIRUT, Des 25 (Reuters) - Shambulio la anga la Israel nje ya mji mkuu wa Syria Damascus siku ya Jumatatu lilimuua mshauri mkuu katika Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, vyanzo vitatu vya usalama vilisema. Vyanzo hivyo vililiambia shirika la habari la Reuters kwamba mshauri huyo...
  7. Tuwe na umeme wa gridi ya taifa, lakini pia tusisahau kuwa na vyanzo vya kikanda, kwa sasa shida ikitokea sehemu moja, nchi nzima inaathirika

    Nadhani sasa ni muda muafaka kuwa na gridi za kikanda. Kalemani alikuwq ananichekesha alipokuwq anakaza fuvu kufunga mitambo ya mafuta kwa badhi ya mikoa. Usalama wa umeme ni usalama wa taifa. Hatuwezi kuuweka usalama wa nchi nzima kwenye njia moja bila ya kuwa na njia mbalimbali. Inatokea...
  8. K

    Mtanzania aliyeuawa na Hamas alikuwa sehemu ya jeshi la Israel? Serikali itoe tamko Watanzania wangapi wameingizwa kwenye jeshi la Israel

    Picha tafakuri - sehemu ya wanajeshi wa Israel wakiombeoeza msiba wa mwenzao- tazama kwa umakini rangi za wanajeshi husika. Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni. Katika clip husika,wauaji mwanzoni...
  9. Tujikumbushe historia ya Bakwata Oktoba hadi Desemba 1968 (Sehemu ya 4)

    Mkutano wa Iringa ulipitisha katiba ya jumuiya mpya ya Waislam, katiba ambayo ilikuwa sawasawa na katiba ya TANU. Hivi ndivyo BAKWATA ilivyoundwa. BAKWATA ikamchagua Saleh Masasi, Muislam tajiri na ambae alikuwa kama mwenyekiti wa mkutano ule kuwa Mwenyekiti wa Taifa na Adam Nasibu akawa...
  10. Mna deal vipi na machinga wanaoziba duka

    Hali hii ipo miaka nenda rudi, kama mnavyojua machinga hupenda kusogelea sehemu zenye frame nyingi mbaya zaidi wanaweza kuweka biashara inayofanana na yako mbele ya duka lako yani unapigwa block.
  11. Tujikumbushe historia ya bakwata october - december 1968 sehemu ya tatu

    Hadi kufikia juma la kwanza la mwezi wa Desemba, mikoa mitatu kati ya kumi na saba ilikuwa tayari imeshajitenga kutoka EAMWS. Kile kikundi cha Adam Nasibu kikaunda kamati kwa ushirikiano na Kamati ya Maulidi ya Dar es Salaam, Adam Nasib akiwa Katibu. Kamati hii ikaitisha mkutano Ukumbi wa...
  12. Tujikumbushe historia ya bakwata october - december 1968 sehemu ya pili

    Hata hivyo, tarehe 14 Novemba, 1968, Baraza la EAMWS la Tanzania liliitisha mkutano wajumbe kutoa mikoa yote ya Tanzania kujadili ‘’mgogoro.’’ Pamoja na waliohudhuria ni wajumbe kutoka mikoa ambayo tayari ilikuwa imekwishajitenga na EAMWS. Mkutano huu ulifanyika katika shule ya Kiislam ya...
  13. Faida ya kusafiri peke yako kwenda sehemu ngeni

    Ni vizuri kuwa na mwenyeji unapoenda kwa mara ya kwanza sehemu ambayo hujawahi kufika, lakini kuna faida kubwa zaidi endapo utaenda peke yako. Kwa mfano, kama hujawahi kwenda Kenya, usisumbuke kumtafuta mtu wa kwenda naye unapotaka kwenda kwa mara ya kwanza. Badala yake, ulizia kila kitu...
  14. ukiweza kumudu mawazo yako, na ukautuliza MWILI wako, hakika utakuwa sehemu ambayo watu wengine watakuita mwenye ku huisha

    ukiweza kumudu mawazo yako, na ukautuliza MWILI wako, hakika utakuwa sehemu ambayo watu wengine watakuita mwenye ku huisha. maana watajibariki katika wewe wote wanao teseka katika kifungo cha ubinadamu. ndiyo maana yoga ni muhimu sana katika kuweka mambo sawa! If you can handle your thoughts...
  15. Kwanini stand ya Mnazi Mmoja haina sehemu ya abiria kupumzika wakisubiria usafiri?

    Naziuliza mamlaka za jiji la Dar es Salaam. Inakuwaje pale stand ya Mnazi Mmoja hapajajengwa vibanda kwa ajili ya kujikinga na mvua au jua. Naongelea hasa huku kwenye daladala za Kinyerezi, Segerea. Mburahati na vibajaji vinavyo enda city centre. Vibanda hivi Husaidia pia mtu kupumzila pale...
  16. Wanawake wengi Kanda ya Ziwa huweka ugoro sehemu za siri ili kujistarehesha

    Baadhi ya vitu wanavyofanya baadhi ya watu vinaweza kuwa chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi Kanda ya Ziwa, ingawa hakuna tafiti zinazoonesha kuwa vitu hivyo vinaweza kuwa visababishi vya moja kwa moja. Meneja wa Ubora na Uvumbuzi kutoka Mradi Mtambuka wa Saratani Tanzania (TCCP) Aga Khan...
  17. S

    Kujikunakuna sehemu nyeti mbele za watu sio uungwana

    Kuna tabia hii inaboa sana, mpo mbele ya umati halafu kajamaa kanatokeza na kujikuna sehemu zile nyeti. Tena ukimchunguza unamkuta hana habari kabisa, mpaka ahisi kuna wadau wanamshangaa ndio utaona kama na yeye anashangaa!
  18. Fatah wasema Israel haitaweza kuimaliza Hamas. Ni sehemu ya harakati zao kuikomboa Palestina

    Waziri mkuu wa Palestina katika serikali ya Mahmoud Abbas ameweka wazi kuwa Israel inajidanganya kusema inataka kuwamaliza Hamas. Hiyo haitatokea. Akizungumza na CNN, Mohammad Shtayyeh amesema Hamas ni sehemu ya harakati za wapalestina kwa hivyo haiwezekani na haikubaliki kuwamaliza. Kauli...
  19. MREJESHO: Niliomba ushauri juu ya sehemu sahihi ya kutoa fungu la kumi

    Baada ya kuomba ushauri hapa jukwaani, watu walichangia kwa hekima, kuna waliosisitiza nikatoe mahala ninapoabudu pia kuna walionishauri nikatoe kwa watu wenye uhitaji. Pia kunawaliosema nikatoe ninapoabudu halafu pia nikatoe kwa wahitaji. WOTE MLIOCHANGIA, NAWASHUKURU SANA. Mm na mke wangu...
  20. L

    Madaktari wa China waendelea kuwa sehemu muhimu ya mkakati wa Afya wa Tanzania

    Mwezi Oktoba mwaka huu timu ya madaktari bingwa 11 kutoka China iliwasili mkoani Kigoma, ambako ilitoa huduma za matibabu kwa wenyeji wa huko kwa muda wa siku tano, ikiwa ni pamoja na huduma za ushauri wa kimatibabu na upasuaji. Balozi wa China nchini Tanzania Bibi Chen Mingjian aliyehudhuria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…