sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi na dharau uko kila sehemu, unahitaji jicho la tatu kuona mambo

    Wengi tunadhani ubaguzi ni wa rangi tu, hapana kuna ubaguzi wa nchi kubaguliwa bila kujali rangi zao. Mimi nataka kuongelea Tanzania tu. Nchi yetu kuna matabaka tofauti, Mswahili, mwaarabu. Indian na mpaka wasomali lakini sote ni wa Tanzania. Kuna jambo mimi muda mrefu limekuwa linanikera sana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kufananisha mafuriko ya Rufiji na yanayotokea sehemu nyingine ya nchi ni kutaka kuficha udhaifu wa viongozi na watendaji

    Nimeona sasa baada ya mafuriko (na si mafuriko bali "maji kujaa ktk Barabara na majengo yaliyo kando") baadhi ya watu wameona kuwa hilo ndilo jibu la mafuriko ya Rufiji. Ukweli ni kwamba mafuriko ya Rufiji kamwe hayawezi kuwa sawa na mengine kwa sababu, 1. Ukubwa wa mafuriko na eneo kubwa...
  3. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Sijaona viongozi wa Serikali wakiizungumzia Rufiji kama ilivyotokea sehemu nyingine zilizopata majanga

    Habari JF Kama ilivyo Kichwa Cha habari hapo Juu Roho inauma sana Sijaona Hata kiongozi mmoja mwenye nyazifa kubwa Kuizungumzia Rufiji, wakati huu mapango wa mafuriko kama kule Bwana la nyerere walifungulia maji ili kunusuri Kuta kubaomoka,vipi mbona Hakuna hata hamamatsu yoyote Kuhusu watu Wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ibada ya Eid maeneo mengi Tanzania imefanyika nje ya nyumba za Ibada?Kiimani kuna Sehemu tumekiuka masharti ya dini au inaruhusiwa

    Dini ya kiislam inatoa mwongozo wa kila jambo linalohusu ibada na hata maisha binafsi ya muumini wa dini hiyo. Nimeona ibada ya Eid ikifanyika maeneo ya wazi kama viwanja vya mpira na maeneo mengine kama haya. Mimi kama great thinker kazi yangu nikuibua mada kwa lengo la kubadilishana uzoefu...
  5. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Je, unajitambua kama upo kila sehemu?

    UWEPO WAKO KILA SEHEMU. Je wajua hili. Wajua kuwa wewe upo Kila mahali?. Kuna msemo huwa unasema kuwa ULIPO, NIPO! Wewe upo Tanzania, upo Ameri, upo Asia, upo Sayari mbalimbali, upo kwenye Kila Galaxy na upo mahali pote. Kinachokufanya ujione mnyonge ni hako kamwili. Kuna kauwezo Fulani...
  6. Nyamesocho

    JamiiForums Tanzania Mke amuunguza mumewe sehemu za siri na maji ya moto kisa wivu wa kimapenzi

    Mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Kebogwe iliyopo Wilaya ya Tarime, ameunguzwa na mke wake na maji ya moto sehemu mbalimbali za mwili hasa sehemu za siri kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa kimapenzi Shuhuda wa tukio wanadai siku ya Jumatano jioni mwalimu alimkuta mke wake duka fulani na...
  7. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Sasa unaingia Tarime! Angalizo: nimeikuta sehemu

  8. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Mwanza ni sehemu gani wanachoma kitimoto Murua?

    Niko Mwanza kitaliii…. wapi napata kitimoto nzuri ya kuchoma
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania The Bee Gees: As long as you're having fun, that's the key, Sehemu ya Pili

    Tumalizie sehemu ya mwisho ila kama hujasoma sehemu ya kwanza unaweza kuisoma hapa The Bee Gees: As long as you're having fun, that's the key, Sehemu ya Kwanza Karibu sana Kwenye kipindi mubashara cha The Midnight Special mwaka 1975, The Bee Gees waliipatia dunia kionjo kizuri sana kwa kuimba...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania The Bee Gees: As long as you're having fun, that's the key, Sehemu ya Kwanza

    Leo kwa heshima kubwa naomba nikupe simulizi ya ndugu watatu kutoka Uingereza ambao walitupatia vionjo matata sana katika nyimbo zao, ni kaka watatu ambao ukiwatazama utaona ni kama hawafahamu chochote katika muziki ila wakianza kurekebisha sauti na kutoa mashairi yao kwa hakika utabakia mdomo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

    mwezi wa 10 last yeakr niliingia south Africa. Ila February nikarud bongo nilifanikiwa kutembelea mikoai karibu yote South Africa kimaendeleo imezidi nchi nyingi sana za ulaya ,Asia ,na america yaani south Africa ipo mbali san kiuchumi. Tatizo Ina raia wenye hasira sana mara nyingi ni watu...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Kaka kimbia kabla mambo hayajawa mengi, jaribu bahati sehemu nyingine

    Una mpenzi wako na una matarijio awe mke wako wa ndoa, kazi unayoifanya anaijua vizuri tu kuwa kipato chake ni kidogo. ''Mnatoka out mara ya kwanza unatumia pesa nyingi kweli, mnakula , mnakunywa mna enjoy kweli. Mwenzio hata haulizi pesa umepata wapi ndo kwanza anaagiza bucket. ''Mara ya pili...
  13. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wiki mbili zilizopota Marekani iliwaonya raia wake waliopo Urusi kuepuka sehemu zenye misongamano ya watu!

    Na yakatimia kweli! Intelligence ya Marekani ni habari ingine kabisa. But that doesn’t mean it’s foolproof https://youtu.be/M665-CETLH4?si=X_wFcE6FcXOZJAI6 Hii hapa habari kutoka New York Post, ya tarehe 8 mwezi huu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania DPW halazimiki kuajiri wazawa wala kurithi wafanyakazi; watu wa TPA someni sheria na mkataba kabla hamjaacha kazi

    TPA wanakwepa gaharama za kuishatakiwa lakini kiukweli hakunasehemu DP World anakwenda kuajiri unqualified staffs kwa mujibu wa masharti yake. Labda kama wanakwenda kuwa vibarua kwenye kampuni hii. Wafanyakazi wa bandari wanachotakiwa kufanya ni kusoma sheria siyo kupata elimu. Matangazo kwa...
  15. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Namna Faza Nelly alivyouawa kwa kuchomwa visu 9

    FAZA NELLY MEMBER WA X PLASTAZ KUNDI LA HIP HOP KUTOKEA MKOANI ARUSHA... ✍🏼 Jumatatu ya 29 March Mwaka 2006 Fans wa Swahili Hip hop World wide dunia nzima walikua na simanzi kutokana na Taarifa za kifo cha Nelson Chrizostom Rutta/maarufu kama Faza Nelly ambae alikufa kutokana na Majeraha ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato Sehemu ya Kwanza Kukamilika Disemba 2024

    UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO SEHEMU YA KWANZA KUKAMILIKA DISEMBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato - Dodoma umefikia asilimia 54.1 kwa sehemu ya kwanza inayohusisha ujenzi wa barabara ya kuruka na kutua...
  17. CHIBA One

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikisafiri kwenda sehemu sipendi kufikia kwa Mtu

    Hili jambo kwa kweli labda naweza nikaonekana nna roho mbaya au Ant-Social, ila kiuhalisia katika utu uzima wangu huu, kama ikitokea safari fulani nahitaji kwenda sehemu kwa siku mbili tatu...sipendi kufikia kwa rafiki au ndugu, lakini naweza kuwapa taarifa kwamba ntafika Mkoani kwao na tunaweza...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka kuchagua sehemu ya kuishi kati ya hizi mbili

    Hataki tena ushauri.....
  19. C

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

    Hivi vipele nimeviona asubuhi sijui ni nini? Haviwashi Haviumi Naomba kujua vimetokeaje kwenye uume wangu na nifanyeje kuviondoa?
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ili uishi sehemu yeyote unahitaji kibali na sio kila siku unahama mikoa huku na huku na bado haufanikiwi

    Kijana na wazee, mada hii ni fikirishi ila italenga kutoa maana kuhusu Maisha. Hapa duniani haijalishi upo mjini au kijijini Ila unachohitaji ili ufanikiwe na kutoishi maisha ya kuangaika ni kibali. Zingatia huu mchakato kwanza ili upate kibali. Fanya chaguzi kwa kuitikia wito wako. Ukiitikia...
Back
Top Bottom