sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
kupoteza data huwa ni hasara kubwa, ni heri upoteze au uibiwe laptop ama simu lakini uwe na backup
Laptop yangu ina storage mbili
A. 128 GB SSD - Hii nimeweka window, programs na documents, ina speed kubwa sana kuzidi hdd unapowasha pc, kuperuzi mafaili, kucopy files, kusoma mafaili, n.k.
B. 1 TB HDD - Hii nimeiwekea partition 2, partition ya kwanza ni GB 800 huwa naitumia kutunza downloads, movies, series, n.k. Partition ya pili ni gb 100 nimetunza vitu vyangu kama picha, videos, vyeti, hati za mali, risiti, n.k.
Nilienda kununua external Harddisk ya GB 320 kwa lengo la kuifanya iwe backup ya SSD nzima na ile partition ya pili lwemye hdd niliyotunza vitu vyangu muhimu.
Nawezaje kuclone ssd nzima na partition moja ya hdd ?