saudi arabia

  1. Webabu

    Saudi Arabia kuona Hamas wanashinda ndio wanajitokeza kutetea "two state solution"

    Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel. Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana...
  2. I

    Wachezaji wa Ulaya mbioni kuikimbia ligi ya Saudi Arabia

    NDOTO ya kulipwa mishahara mikubwa na kwenda kuanza maisha kwenye ligi mpya ya Saudi Pro League imegeuka kuwa majanga kwa baadhi ya wanasoka duniani na sasa wanatafuta njia ya kurudi Ulaya. Kundi kubwa la mastaa wa maana kwenye mchezo wa soka lilihamia huko Mashariki ya Kati katika dirisha la...
  3. DullyJr

    Cristiano Ronaldo: Saudi Pro League is more competitive than Ligue 1

    [emoji599] Cristiano Ronaldo: “𝐒𝐚𝐮𝐝𝐢 𝐋𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞 𝐢𝐬 𝐛𝐞𝐭𝐭𝐞𝐫 𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐋𝐢𝐠𝐮𝐞𝟏 already now, I’m sure of that" [emoji1210] ◉ “Saudi Pro League is more competitive than Ligue1, I can say that after one year spent there and I’m sure”. ◉ “We are better than French league already now”. ◉ “I feel so happy at Al...
  4. Papaa Mobimba

    Kenya kujiondoa katika makubaliano ya uingizaji wa mafuta na Saudi Arabia

    Nchi ya Kenya inatafuta kujiondoa katika makubaliano ya Serikali kwa Serikali (G2G) na Saudi Arabia ikieleza kuwa inaleta upotoshaji kwenye soko la ubadilishaji wa fedha na kukiri kwamba imekosa kulegeza shinikizo kwenye dola. Makubaliano ya G2G yaliyoanzishwa na Rais William Ruto mwezi wa...
  5. MK254

    Houthi hawapigwi na Marekani kwa sababu walishatishia kulipua Saudi Arabia

    Hawa Houthi wana historia ya kulipua mabomu Saudi Arabia na hiyo ni mojawapo wa sababu kuu inafanya iwe vigumu kuwapiga. Ifahamike Marekani huilinda sana Saudi, isingekua kwa Marekani pale Saudi pangekua majivu, sijui hata wafuasi wa ile dini wangekua wanaenda wapi kupiga shetani mawe. Hapa...
  6. Ritz

    Saudi Arabia inakataa ombi la Marekani la kujiunga na Operesheni Prosperity Guardian dhidi ya Houthis

    Wanaukumbi. Saudi Arabia inakataa ombi la Marekani la kujiunga na Operesheni Prosperity Guardian dhidi ya Houthis Maafisa wa Saudia waliliambia gazeti la New York Times kwamba ufalme huo unatanguliza usalama wa ndani na maendeleo ya kiuchumi kuliko kufanya operesheni za majini, na kutafuta...
  7. Championship

    Saudi Arabia inatengeneza zaidi ya trilioni 30 kwa mwaka kutoka kwa waislamu

    Nchi ya Saudi Arabia ipongezwe kwa ubunifu wa chanzo kikubwa cha mapato. Jamaa walioweka vifungu vya kuwataka watu waende Madina na Mecca waliona mbali sana.
  8. LIKUD

    Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo

    Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia? Seriously!!! A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song? Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50...
  9. Webabu

    Saudi Arabia yaionya Marekani. Yaitaka iache kupigana na Houth na vita vya Gaza visitishwe haraka

    Huku upepo tufani la Al Aqsa ukizidi kupiga kote kote.Saudi Arabia imeionya Marekani juu ya kihere here chake cha kuwatibua wapganji wa Houth kwenye bahari nyekundu. Wakati huo huo taifa hilo mashuhuri kwa kusafirisha mafuta duniani limesisitiza juu ya haja ya kusitishwa vita vinavyoendelea...
  10. M

    Waislamu wana mpango wa kususa kwenda Hija kuikomoa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia

    Mzuka Wanajamvi. Katika mitandao ya kijamii hasa tiktok kuna mjadala mpana wa waislam wakijadialiana kutaka na kuhimizana kususa kwenda hija kuwakomesha watawala wa kifalme Saudi Arabia hasa MBS. Wanadai hela wanayopata kupitia hija ni nyingi sana hadi inawapa kiburi na kukufuru hadi kupelekea...
  11. Girland

    Je, wajua kuwa Palestina siyo Waarabu? Waarabu halisi ni Saudi Arabia? Je, kwanini vita ya israeli na Palestina itaendelea?

    Kwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote! ASILI YA ISRAEL, SAUDI ARABIA na PALESTINE, katika dini kuu tatu, yaani Uislamu(Islamic), Ukristo(Christianity) na Uyahudi (Judaism) anatajwa IBRAHIMU au Abrahamu...
  12. Execute

    Mtoto wa tatu wa Osama bin Laden anaishi huru Ufaransa wakati mtoto wa kwanza anaishi bila passport Saudi Arabia

    Wazungu wana uungwana mwingi sana maana Omar bin Laden, anaishi kwa uhuru kule Normandy Ufaransa. Omar bin Laden Wakati mtoto wa kwanza, Abdallah bin Laden anaishi Saudi Arabia na haruhusiwi kwenda popote. Abdallah bin Laden
  13. Webabu

    Nchi za kiarabu na viongozi wa kiislamu wakutana Saudi Arabia na kutoka na tamko moja la kuitaka Israel isitishe vita

    Pamoja na upungufu wa matamko hata hivyo wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamesifu namna mkutano huo wa leo ulivyoonesha umoja dhidi ya Israel Katikati ya mkutano huo katibu mkuu wa umoja wa nchi za kiislamu amelaumiwa na wachambuzi hao kwa kutumia sana maneno yenye kuonesha kuna maatumaini kwa...
  14. L

    Rais Samia awasili Saudi Arabia kushiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania,mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia,shujaa wa Afrika,simba wa nyika amewasili salama nchini saudi Arabia ambako atashiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia utakao fanyika November 10 mjini...
  15. Webabu

    Uhuru wa Palestina hautapatikana bila kupinduliwa kwa Misri, Jordan na Saudi Arabia

    Kabla vita havijamalizika Israel imeshaweka tayari baadhi ya mipango yake ya siri dhidi ya ardhi za wapalestina, kwamba wanakusudia kuinyakua milele Gaza. Uwezo wa kuinyakua Gaza umekwenda bila uzito mkubwa kutokana na kuwahadaa majirani na ndugu wote wa Palestina na wamekaa kimya katika muda...
  16. benzemah

    Rais Samia apokea Ujumbe Maalum toka kwa Mfalme wa Saudi Arabia

    Rais wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo maalum na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmed Okesh baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdulazizi Al Saud Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Novemba...
  17. Mhaya

    Waarabu na Wazungu ni wabaguzi. Francis Ngannou anyang'anywa ushindi wa wazi

    Ni katika pambano la Masumbwi lililofanyika jana usiku katika ukumbi wa Boulevard Hall, katika jiji la Riyadh nchini Saudi Arabia. Watu wengi Duniani katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii wameonekana kuuzunishwa na matokeo ya pambano hilo la Boxing ambapo Bingwa mtetezi wa Masumbwi...
  18. Webabu

    Miradi ya mwanamfalme MBS kuibadili Saudi Arabia kuwa pepo ya dunia yaingia ukorofi

    Waislamu duniani mara zote wanapopatwa na shida walitegemea wapate utetezi wa hali ya juu kutoka kwa utawala wa Saudi Arabia kwanza kabla ya kwengine kokote.Misaad hiyo ingeweza kuwa ya kimali,kijeshi na hata kauli za kisiasa. Kinyume chake mara zote kumetokea maangamizi mabaya kwa waislamu bila...
  19. FaizaFoxy

    Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

    Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran. Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai"...
  20. GENTAMYCINE

    Wakati Rwanda na Saudi Arabia wako 'busy' kujitangaza Kiutalii AFL wenyeji wao wanabung'aa bung'aa tu!

    Asanteni sana marafiki zangu mlioko South Africa, Uganda, Uingereza, Ufaransa, Marekani, China, Germany, Israel na Sweden mlioniuliza ni kwanini kila mkiingia karika kurasa za Mitandao kujua kuhusu hili Kombe jipya la African Football League (AFL) linaloanza Siku ya Ijumaa hapa Tanzania (Timu...
Back
Top Bottom