Saudi Arabia yaionya Marekani. Yaitaka iache kupigana na Houth na vita vya Gaza visitishwe haraka

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,186
10,922
Huku upepo tufani la Al Aqsa ukizidi kupiga kote kote.Saudi Arabia imeionya Marekani juu ya kihere here chake cha kuwatibua wapganji wa Houth kwenye bahari nyekundu.

Wakati huo huo taifa hilo mashuhuri kwa kusafirisha mafuta duniani limesisitiza juu ya haja ya kusitishwa vita vinavyoendelea Gaza mara moja.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vilivyonukuu onyo hilo,hofu ya Saudi Arabia ni kuwa kujiingiza kwenye vita hivyo kunaweza kukavisambaza vita vya Palestina na Israel kwa eneo lote la mashariki ya kati na kwa haraka sana.

Saudi Arabia inaelewa sana ushujaa wa wapiganaji wa Houth ambao wao hawakuweza kuumaliza kwa njia ya vita juu ya kumilika silaha kali dhidi yao.

Mara kadhaa droni za Houth na makombora mengine viliwahi kupiga maeneo muhimu ya kiuchumi ya Saudi Arabia pamoja na viwanja vya ndege vya kimataifa kitu ambacho hakikuzoeleka huko Saudi Arabia kwa miongo kadhaa.

Hatimae Saudi Arabia ilitiliana saini na watawala hao wa Yemen kusitisha vita na kurudisha udugu wao.

Exclusive-On edge over Red Sea attacks, Riyadh seeks to contain fall-out

 
Watavuna watakachopanda na Sasa anayokazi Sasa,akipgane na alqaida,alshabab,houths, apeleke mzigo Ukraine, apeleke mzigo Israel
Biden iko kitu ndicho anachokitaka,lengo kuu ni kuivuruga dunia mpaka ikija kutulia america iwe imesimama hapa ilipo na zile zinazoikimbuza kwa kasi ziporomoke,vita za kimkakati hizi
 
Huwezi kuwa watchdog wa dunia, kila vita unaiingilia na kufadhili wadhalimu kwa maslahi yako binafsi, utafilisika na utapigwa tu!
Leo hii shoga marekani na washiriki wake wametangaza kustop kuisaidia Ukraine, means hali ya kiuchumi tayari chini, huko israel napo inalegalega, Afghanistan alipokea kichapo, Syria ameaibishwa, huku anapelekewa moto baharini na Houths. Piga marekani mbwa hao
 
Huwezi kuwa watchdog wa dunia, kila vita unaiingilia na kufadhili wadhalimu kwa maslahi yako binafsi, utafilisika na utapigwa tu!
Leo hii shoga marekani na washiriki wake wametangaza kustop kuisaidia Ukraine, means hali ya kiuchumi tayari chini, huko israel napo inalegalega, Afghanistan alipokea kichapo, Syria ameaibishwa, huku anapelekewa moto baharini na Houths. Piga marekani mbwa hao
Yaani Dah! Marekani anakuwa shogo! Waislamu wengi wamekimbilia huko, nao wanaenda kuwa mashoga nini,maana Iran hawaendi,saudia hawataki kwenda
 
Muislamu akipigana na adui wa Allah huwa hasalimu amri,anakufa nae.Kwa kufanya hivyo msaada wa Mungu huja pasipotegemewa.
Siyo waislam wacha Mungu tunawajua, labda magaidi yaliyodanganywa bikira 72, hiyo aya kama ipo kwenye Kuran muitafakari tena na kuisoma vizuri. Kwaiyo wanawake wao huko mbinguni watapata nini?
 
Saudi Arabia ana nguvu za kubadili upepo kwenye bahari nyekundu.Akiamua anaweza akashirikiana na Iran
Urusi + China ni wajinga kutoungana kumpiga USA ? Kama unaamin Saidia + Iran ndo wanaweza muangusha USA hapo middle
 
Back
Top Bottom