Waislamu wana mpango wa kususa kwenda Hija kuikomoa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,717
29,073
Mzuka Wanajamvi.

Katika mitandao ya kijamii hasa tiktok kuna mjadala mpana wa waislam wakijadialiana kutaka na kuhimizana kususa kwenda hija kuwakomesha watawala wa kifalme Saudi Arabia hasa MBS.

Wanadai hela wanayopata kupitia hija ni nyingi sana hadi inawapa kiburi na kukufuru hadi kupelekea kufanya mambo ya ajabu na mambo ya kijinga kwenye ardhi tukufu kinyume na uislamu bila aibu na uwoga. Na pia kuiunga mkono taifa teule la Israel na kutojali manyanyaso na masahibu ya wapalestina yanayotokana na kuadhibiwa na wateule hao kutokana na harakati zao za kigaidi (terror activities) wenyewe wakidai wapigania uhuru.

Wamedai wakisusa kwenda Hija pato la taifa Saudi Arabia litashuka na uchumi kutetereka hata licha ya uzalishaji wa mafuta. Wakitoa mfano kila muislamu anayeenda kuhiji analipa dollars za marekani 6000 sasa jumlisha iyo 6000 mara million 3.

Wameenda mbali na kuwapongeza raia wengi wa kawaida Saudi Arabia kupinga yanayoendelea Saudia na kuiunga mkono Palestina.

Mtoto wa kifalme wa Saudia Mohammed bin Salman (MBS) amekuwa akilaaniwa na waislamu wengi duniani hadi msikitini kwa kuruhusu mambo ya kikafiri na kujenga urafiki na taifa teule la Israel.

Pia kupitia MBS kanisa la kwanza litajengwa Saudi Arabia tena kanisa la kilokole. Sasa hivi wakristo nchini humo hasa wahamiaji hujikusanya kwa makundi kwenye nyumba kufanya ibada.

Mungu mbariki MBS na utawala wa kifalme wa Saudi Arabia.

Wote kwa pamoja tuseme AMEN.
 
Kususia hija ! Ni sawa na kuandika kitabu 'kitukufu' cha kwako kipya kinachoeleza nguzo za dini husika.

Sidhani kama utakubaliwa!
 
Hizo porojo tu hija ni nguzo ya dini hatumfanyii mbs tutaenda hija hayo mambo ya siasa hayatubabaishi na kuhusu swala la kanisa ni swala linajadilika na sijaona sehemu mbs akiiunga mkono israel
 
Mzuka Wanajamvi.

Katika mitandao ya kijamii hasa tiktok kuna mjadala mpana wa waislam wakijadialiana kutaka na kuhimizana kususa kwenda hija kuwakomesha watawala wa kifalme Saudi Arabia hasa MBS.

Wanadai hela wanayopata kupitia hija ni nyingi sana hadi inawapa kiburi na kukufuru hadi kupelekea kufanya mambo ya ajabu na mambo ya kijinga kwenye ardhi tukufu kinyume na uislamu bila aibu na uwoga. Na pia kuiunga mkono taifa teule la Israel na kutojali manyanyaso na masahibu ya wapalestina yanayotokana na kuadhibiwa na wateule hao kutokana na harakati zao za kigaidi (terror activities) wenyewe wakidai wapigania uhuru.

Wamedai wakisusa kwenda Hija pato la taifa Saudi Arabia litashuka na uchumi kutetereka hata licha ya uzalishaji wa mafuta. Wakitoa mfano kila muislamu anayeenda kuhiji analipa dollars za marekani 6000 sasa jumlisha iyo 6000 mara million 3.

Wameenda mbali na kuwapongeza raia wengi wa kawaida Saudi Arabia kupinga yanayoendelea Saudia na kuiunga mkono Palestina.

Mtoto wa kifalme wa Saudia Mohammed bin Salman (MBS) amekuwa akilaaniwa na waislamu wengi duniani hadi msikitini kwa kuruhusu mambo ya kikafiri na kujenga urafiki na taifa teule la Israel.

Pia kupitia MBS kanisa la kwanza litajengwa Saudi Arabia tena kanisa la kilokole. Sasa hivi wakristo nchini humo hasa wahamiaji hujikusanya kwa makundi kwenye nyumba kufanya ibada.

Mungu mbariki MBS na utawala wa kifalme wa Saudi Arabia.

Wote kwa pamoja tuseme AMEN.
Hizo ni porojo tu za kwenye vijiwe vya mbege Hijja ni ibada wala aina uhusiano na vita ni nguzo ya Uislam. Umri wako mdogo vimeishapita vita vingi sana kabla ya Gaza.

Kama pesa Saudia anazo nyingi sana kutokana na neema za mafuta walizopewa Saidia wana dhahabu hawajaanza kuchimba Saudia ni ya 5 duniani yenye kulima ngano.

Kwa ufupi umeandika uharo mtupu yani unachukua data tiktok unaleta JF😂
 
Site hizi hija ni michongo iliyowekwa na wenye akili zao Karne nyingi zilizopita kuhakikisha, vizazi vyao vinakuwa na mkwanja wa uhakika miaka dahari na dahari , endepo tu ulimwengu utaendelea
 
Mzuka Wanajamvi.

Katika mitandao ya kijamii hasa tiktok kuna mjadala mpana wa waislam wakijadialiana kutaka na kuhimizana kususa kwenda hija kuwakomesha watawala wa kifalme Saudi Arabia hasa MBS.

Wanadai hela wanayopata kupitia hija ni nyingi sana hadi inawapa kiburi na kukufuru hadi kupelekea kufanya mambo ya ajabu na mambo ya kijinga kwenye ardhi tukufu kinyume na uislamu bila aibu na uwoga. Na pia kuiunga mkono taifa teule la Israel na kutojali manyanyaso na masahibu ya wapalestina yanayotokana na kuadhibiwa na wateule hao kutokana na harakati zao za kigaidi (terror activities) wenyewe wakidai wapigania uhuru.

Wamedai wakisusa kwenda Hija pato la taifa Saudi Arabia litashuka na uchumi kutetereka hata licha ya uzalishaji wa mafuta. Wakitoa mfano kila muislamu anayeenda kuhiji analipa dollars za marekani 6000 sasa jumlisha iyo 6000 mara million 3.

Wameenda mbali na kuwapongeza raia wengi wa kawaida Saudi Arabia kupinga yanayoendelea Saudia na kuiunga mkono Palestina.

Mtoto wa kifalme wa Saudia Mohammed bin Salman (MBS) amekuwa akilaaniwa na waislamu wengi duniani hadi msikitini kwa kuruhusu mambo ya kikafiri na kujenga urafiki na taifa teule la Israel.

Pia kupitia MBS kanisa la kwanza litajengwa Saudi Arabia tena kanisa la kilokole. Sasa hivi wakristo nchini humo hasa wahamiaji hujikusanya kwa makundi kwenye nyumba kufanya ibada.

Mungu mbariki MBS na utawala wa kifalme wa Saudi Arabia.

Wote kwa pamoja tuseme AMEN.
Hao waislam ndivo walivokwmbia hivo kwamba wanataka kususa ?? Hahahah 😄
Ila watu bhan
 
Broda kunywa maji Kwanza
 
Adam HAPANA.
ISsa alikuwa masikini hata sehemu ya kulala alikuwa hana. Asingeweza kugharamia safari ya makkah.
Mussa alikuwa bize kuhangaika na waisrael mpaka akafia njiani.HAWAJAENDA
Ila nyie majahidina
 
Mzuka Wanajamvi.

Katika mitandao ya kijamii hasa tiktok kuna mjadala mpana wa waislam wakijadialiana kutaka na kuhimizana kususa kwenda hija kuwakomesha watawala wa kifalme Saudi Arabia hasa MBS.

Wanadai hela wanayopata kupitia hija ni nyingi sana hadi inawapa kiburi na kukufuru hadi kupelekea kufanya mambo ya ajabu na mambo ya kijinga kwenye ardhi tukufu kinyume na uislamu bila aibu na uwoga. Na pia kuiunga mkono taifa teule la Israel na kutojali manyanyaso na masahibu ya wapalestina yanayotokana na kuadhibiwa na wateule hao kutokana na harakati zao za kigaidi (terror activities) wenyewe wakidai wapigania uhuru.

Wamedai wakisusa kwenda Hija pato la taifa Saudi Arabia litashuka na uchumi kutetereka hata licha ya uzalishaji wa mafuta. Wakitoa mfano kila muislamu anayeenda kuhiji analipa dollars za marekani 6000 sasa jumlisha iyo 6000 mara million 3.

Wameenda mbali na kuwapongeza raia wengi wa kawaida Saudi Arabia kupinga yanayoendelea Saudia na kuiunga mkono Palestina.

Mtoto wa kifalme wa Saudia Mohammed bin Salman (MBS) amekuwa akilaaniwa na waislamu wengi duniani hadi msikitini kwa kuruhusu mambo ya kikafiri na kujenga urafiki na taifa teule la Israel.

Pia kupitia MBS kanisa la kwanza litajengwa Saudi Arabia tena kanisa la kilokole. Sasa hivi wakristo nchini humo hasa wahamiaji hujikusanya kwa makundi kwenye nyumba kufanya ibada.

Mungu mbariki MBS na utawala wa kifalme wa Saudi Arabia.

Wote kwa pamoja tuseme AMEN.
Watakuwa wajinga wa kiwango cha ajabu sana. Wanakwenda kwa ajili ya Mungu au kwa ajili ya Saudia?
 
Ila nyie majahidina
2 billion

In 2023 population of Muslims worldwide already exceeds 2 billion.

Huoni kama chuki zako na Uslam zitakupa ugonjwa wa moyo unawachukia Waislam 2bilion+

Naimani kabisa lazima kutakuwa na Waislam wanawatafuna nana zake ambayo ni shemeji zako kwa hiyo utakuwa unawachukia wajomba zako😂
 
The only good thing about MUSLIMS they hate and like killing each others
 
Back
Top Bottom