Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,118
27,118
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?

Seriously!!!

A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?

Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.

A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.
 
Saud arabia wanasherekea sherehe ya Halloween kwa kumtukuza shetani chini ya huyo mwanamfalme unashangaa show😳...

Huo jamaa kaua mwandishi yule jamal khashongy tena bila ya chenga .

Jamaa anazingua sana huyu. Ndio matatizo ya kuwapa vijana wadogo nafasi kubwa. He was born in 1985. The throne is too much bigger for him
 
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?

Seriously!!!

A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?

Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.

A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.
Unataka jifanya wewe ni Mwarabu kuliko Mwarabu mwenyewe.... Sasa umepigwa na kitu kigumu.
 
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?

Seriously!!!

A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?

Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.

A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.
Pale Mwarabu wa Uvinza anapojifanya ana uchungu sana na Saudi Arabia kuliko hata Wasaudia wenyewe! Nyie ngozi nyeusi rangi ya Mkaa fanyeni yenu, Warabu hawana time na nyie mijusi acheni shobo za kijinga mtukuja kuhemewa.
Fanya yako, kuwa na kidoa sugu Usoni usijione masta sana kiasi cha kukosoa ya Saudi Arabia wakati hapa hapa kwenu kuna Blanders kibao
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom