sanaa

  1. SoC03 Nguvu ya Sanaa katika Kuchochea Mabadiliko Chanya

    NGUVU YA SANAA KATIKA KUCHOCHEA MABADILIKO CHANYA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Sanaa ni lugha ya ulimwengu ambayo inaweza kutumika kuelezea hisia, mawazo na ujumbe mbalimbali. Katika andiko hili, tutajadili jinsi sanaa inavyoweza kutumika kama njia ya kuchochea mabadiliko chanya katika...
  2. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na Sanaa na maigizo

    Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu sana katika maendeleo ya sanaa na maigizo katika nchi yoyote ile. Sanaa na maigizo yana jukumu kubwa katika kuunganisha jamii, kuleta maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kiakili, na kuendeleza utamaduni wa nchi. Hata hivyo, katika nchi nyingi, utawala...
  3. NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

    Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa! Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio...
  4. Moja ya Udhaifu wa Baraza la Sanaa Tanzania | TMA

    Habari zenu. Natumai mpo salama kabisa, nimeona nominees wa Tuzo za Muziki Tanzania kiukweli watu wengi wametilia mashaka jinsi walivyopatikana hao washindani. Hili jambo natumai kwa asilimia kubwa kabisa lina baraka zote kutoka kwa Baraza la Sanaa Tanzania mpaka ikafikiwa kutangazwa kwa jamii...
  5. Kamati ya Bunge Yaidhinisha Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

    KAMATI YA BUNGE YAIDHINISHA BAJETI WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhia na kuidhinisha matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya takribani Bilioni 35.4 kwa mwaka wa Fedha 2023/24. Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
  6. Katuni hii Ina utamu wake, nimeielewa Sanaa!

  7. Majukumu yanayomsubiri Mwana FA Wizara ya Sanaa

    Siku moja baada ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, wadau wametaja mambo yanayomkabili ikiwamo yale aliyokuwa akiyapigania bungeni. Miongoni mwa mambo ambayo Mwinjuma ambaye pia ni mbunge wa Muheza aliyokuwa akiyapigania bungeni ni suala...
  8. Asante kwa 'Kubalansi' Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Chana ni mwana Yanga SC lia lia na Mwinjuma ni mwana Simba SC Kindakindaki. Kazi ipo.......
  9. Serikali iwekeze nguvu nyingi kwenye sekta ya Sanaa na Michezo

    Ni wazi kabisa tena bila upinzani hii sector pendwa sana wananchi wa Tanzania ipo haja ya serikali sasa kuwa serious na hii sekta na kuitazama kwa macho mawili. Ni sector inayoweza kuingiza trillion za pesa kwa serikali kama tutadhamiria kweli. Uwejezaji mkubwa kwenye michezo kama ya mpira wa...
  10. J

    Pindi Chana apokelewa kwa shangwe za Utamaduni na Sanaa

    Mhe.Chana Apokelewa kwa Shangwe za Utamaduni na Sanaa Na Shamimu Nyaki Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Februari 17, 2023 amewasili kwa mara ya kwanza wizarani hapo baada ya Kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
  11. Tuache kunyonya vitendea kazi vya mnyanduano kuepuka cancer hatarii sanaa.

    Hello, Siwatishi na wala siwabembelezi nawajibika kusema kuokoa taifa na jamii kwa ujumla. Ongezeko la watu wenye rangi za midomo kama ugonjwa wa ukoma wa midomo unapaa kwa kasi. Kuna wimbi kubwa sana la watu wadada, wakaka, mabinti, vijana, wenye fungus za koromeo, fungus za midomo, homa za...
  12. Ripoti ya Mtandao wa Sekta Bunifu Tanzania (CINT) imeonesha COSOTA waliipa JKT kazi ya kukusanya Mirabaha ya kazi za Sanaa

    Taasisi ya CINT inayofanya kazi ya Utetezi, Uzengezi na Uwezeshaji, Kuwaunganisha Wasanii na Taasisi zao na Kuzungumza kwa niaba ya Sekta ya Ubunifu Tanzania katika maeneo ya Sera, Fedha, Sheria, Elimu, Miundombinu na Teknolojia imezindua Ripoti ya Wadau wa Sekta ya Sanaa Tanzania ambapo katika...
  13. L

    Kijana wa China atengeneza kazi za sanaa ya kukata karatasi kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina wa Sungura

    Kijana wa China Chang Yangyang, ambaye ni mrithi wa utamaduni usioshikika wa China anaonyesha kazi zake za sanaa ya kukata karatasi zinazohusu mada ya Sungura katika kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa Sungura.
  14. Wizi wa haki miliki za sanaa (movies and series) kukithiri Tanzania (copyrights infringements) ina maana Serikali haioni??

    Hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa sana na uhalifu wa mtandaoni serikali ikishirikiana na jeshi la polisi, kwa pamoja wamechukua jitihada za wazi kupambana na tatizo hili. Lakini kuna tatizo sugu ambalo binafsi naona ni kosa kubla sana na serikali imelikalia kimya. Wizi wa haki miliki za sanaa...
  15. L

    Maonyesho ya Sanaa ya madini ya fuwele (crystal) ya Njia ya Hariri yafanyika mkoani Guangdong, nchini China

    Maonyesho ya Sanaa ya madini ya fuwele (crystal) ya Njia ya Hariri yamefanyika mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China. Maonyesho hayo yamekusanya zaidi ya vito 30 vya fuwele kutoka maeneo maarufu ya uzalishaji wa madini hayo duniani kote.
  16. Vichwa viwili na Sanaa ya Bongo

    Habari za week end wadau! Katika tafakuri zangu kuhusu Sanaa yetu ya bongo, nimeona niandike Uzi mfupi kuhusu artists hasa wale wenye vichwa viwili( mabeberu wenzangu). Mwenyezi Mungu ametujalia vichwa viwili, Cha juu na Cha chini. Ukweli ni kwamba vyote viwili vinatakiwa kufanya kazi, lakini...
  17. Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Katika Kutengeneza Documentary ya Bi. Titi Mohamed

    WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO KATIKA KUTENGENEZA DOCUMENTARY YA BI. TITI MOHAMED Leo nilitembelewa na wataalamu kutoka Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo. Tuliweka barza tukamzungumza Bi. Titi lakini mimi nilizungumza kwa majonzi nikawaambia mtu aliyekaa kwa muda mrefu na Bi. Titi hadi...
  18. Huyu Tuisila mbona kapoa sana?

    Nimemtazama huyu kiberenge toka DRC, lazima nimeona jamaa kachuja. Sijui kule RS Berkane jamaa wana shida gani na vipaji vya Kusini mwa Jangwa la Sahara hasa ukanda wetu huu? Sijui wadau mna mu-assess vipi huyu kiberenge cha kicongoman?
  19. Ni aibu gani umewahi mfichia mpenzi wako?

    Habarini za wakati huu wandugu. Naomba niende kwenye mada kama jinsi kichwa kinavyosomeka. Binafsi nimewahi kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti na binadamu tuna mapungufu yetu lakini wakati mwingine mapungufu yetu haya yanaweza kuwa unbearable kwa mwingine. Nilikutana na huyu...
  20. SoC02 Kuthamini Sanaa ya Tanzania kwa ajili ya maendeleo ya Jamii na Uchumi

    Mwaka 2019 ulionesha ya kwamba asilimia 13.6 ya pato la Tanzania (Kitomari, 2019) lilitokana na sekta ya sanaa na burudani. Hii ni kujumulisha sanaa ya kuigiza, muziki, uchoraji na michezo. Katika robo ya kwanza ya mwaka huo huo wa 2019, nchi ya Nigeria ilipata asilimia 0.27% ya pato la taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…