Baba Levo ashangaa Mwana FA kutopenda mafanikio ya Diamond

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
IMG-20231107-WA0000.jpg

Kwa mujibu wa Babalevo ni kitu cha ajabu Mwana Fa ambae amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya sanaa kuonyesha chuki za wazi wazi kwa Diamond Platnumz.

Wengine walifikiri akishakuwa kiongozi wa serikali chuki zake za miaka yote angezisimamisha kwa muda. Lakini ameshindwa kujizuia.

Watu wanauliza. Je viatu vya uwaziri vinamtosha mbunge huyu wa kimemo?

Tangu awe waziri amesaidia nini wasanii wenzie?

Yale aliyokuwa anayapigia kelele alipokuwa kiongozi wa wasanii mbona ameyasahu ameishia kufungia nyimbo za wenzie za kwake za kusifia ngono hazikuwai fungiwa.

Tuzo za MTV ni tuzo kubwa sana ambazo mpaka sasa Diamond ndio anaongoza Africa kwaetuzo nyingi za MTV. Hata hongera tu?

Tuzo za Trace ndio tuzo kubwa za bara la Africa, Diamond alipata tuzo na kupafom appearances 3. Alipongezwa na wote ila sio waziri ambae ni msanii mwenzie.

Kifupi tunaweza sema hamis mwinjuma ni waziri nzigo apishe wanaoweza kazi anampigisha shoti Maza.
 
Kwani lazima niku-post? Unaonaje? Unavyovimba unaonaje?

Asa kwanini nkupost utaonaje unavyovimba utaonaje yani kwanini nkupost utaonaje unavyoringa utaonaje?

Nasema kwanini nikupost utaonaje unavyovimba utaonaje asa kwanini nkupost utaonaje unavyoringa utaonaje utaonaje×4.
Unavyovimba utaonaje×2.

Huu wimbo aliimba nani huko usafini? Alafu ukishajibu niambie maana ya hayo maneno
 
Sawa sawa jina gumu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sasa kwanini nikupost....
 
View attachment 2806389

Kwa mujibu wa Babalevo ni kitu cha ajabu Mwana Fa ambae amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya sanaa kuonyesha chuki za wazi wazi kwa Diamond Platnumz.

Wengine walifikiri akishakuwa kiongozi wa serikali chuki zake za miaka yote angezisimamisha kwa muda. Lakini ameshindwa kujizuia.

Watu wanauliza. Je viatu vya uwaziri vinamtosha mbunge huyu wa kimemo?

Tangu awe waziri amesaidia nini wasanii wenzie?

Yale aliyokuwa anayapigia kelele alipokuwa kiongozi wa wasanii mbona ameyasahu ameishia kufungia nyimbo za wenzie za kwake za kusifia ngono hazikuwai fungiwa.

Tuzo za MTV ni tuzo kubwa sana ambazo mpaka sasa Diamond ndio anaongoza Africa kwaetuzo nyingi za MTV. Hata hongera tu?

Tuzo za Trace ndio tuzo kubwa za bara la Africa, Diamond alipata tuzo na kupafom appearances 3. Alipongezwa na wote ila sio waziri ambae ni msanii mwenzie.

Kifupi tunaweza sema hamis mwinjuma ni waziri nzigo apishe wanaoweza kazi anampigisha shoti Maza.

Mna matatizo
 
Ile ni a/c yake binafsi

Ungeomba wizara impost ktk a/c ya wizara ingependeza zaidi...

Muombe waziri Hon. Ndumbaro atekeleze hili itapendeza zaidi

Mambo binafsi yawe binafsi na ofisi iwe hivyo ya kiofisi

Ujumbe wa Zaka za kazi kwenda kwa baba Levo nasio Revo (Jina la mwanae ni Levo😂🤣) akazingatia ushauri aliopewa
 
Kumpost mtu kumpongeza au kumtag ni maamuzi ya mtu, bando lakwake binafsi, baba levo yule si chawa mkubwa tu pale usafini.
 
View attachment 2806389

Kwa mujibu wa Babalevo ni kitu cha ajabu Mwana Fa ambae amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya sanaa kuonyesha chuki za wazi wazi kwa Diamond Platnumz.

Wengine walifikiri akishakuwa kiongozi wa serikali chuki zake za miaka yote angezisimamisha kwa muda. Lakini ameshindwa kujizuia.

Watu wanauliza. Je viatu vya uwaziri vinamtosha mbunge huyu wa kimemo?

Tangu awe waziri amesaidia nini wasanii wenzie?

Yale aliyokuwa anayapigia kelele alipokuwa kiongozi wa wasanii mbona ameyasahu ameishia kufungia nyimbo za wenzie za kwake za kusifia ngono hazikuwai fungiwa.

Tuzo za MTV ni tuzo kubwa sana ambazo mpaka sasa Diamond ndio anaongoza Africa kwaetuzo nyingi za MTV. Hata hongera tu?

Tuzo za Trace ndio tuzo kubwa za bara la Africa, Diamond alipata tuzo na kupafom appearances 3. Alipongezwa na wote ila sio waziri ambae ni msanii mwenzie.

Kifupi tunaweza sema hamis mwinjuma ni waziri nzigo apishe wanaoweza kazi anampigisha shoti Maza.
Acheni uzwazwa, akaunti ya mtu ni binafsi

Kwani hakuna akaunti ya wizara kufanya hivyo mpaka mumlazimishe??

Vipi kuhusu taasisi nyingi zilizo chini ya uongozi wake?? Hao waki-post kuna kitu kitapungua??

Ujinga ni kudhani kila mtu anakuchukia kisa mafanikio yako
 
Yeye ndio kafungia nyimbo au basata ndio wamefungia,Sasa kama wimbo maadili ya hovyo uachwe kwanini? Ufungiwe tu, juzi tu wimbo wa Zuchu umewacost watu nafasi zao za ualimu mkuu na lawama zikaenda basata kwanini hawakuufungia wimbo wa Zuchu kama hauna maadili ? Acha mihemuko fikiri vizuri kabla hujaleta hoja ya kujadili humu.
IMG_20231107_074926.jpg

Kama anaweza pigani nyimbo inayochochea ushoga unasema vipi anafungia nyingine kwa sababu ya maadili?
 
Ile ni a/c yake binafsi

Ungeomba wizara impost ktk a/c ya wizara ingependeza zaidi...

Muombe waziri Hon. Ndumbaro atekeleze hili itapendeza zaidi

Mambo binafsi yawe binafsi na ofisi iwe hivyo ya kiofisi

Ujumbe wa Zaka za kazi kwenda kwa baba Levo nasio Revo (Jina la mwanae ni Levo😂🤣) akazingatia ushauri aliopewa
IMG_20231107_073613.jpg

Sawa ni ukurasa wake ila yeye ni waziri wivu wake na chuki angevipumzisha kwanza.
 
View attachment 2806389

Kwa mujibu wa Babalevo ni kitu cha ajabu Mwana Fa ambae amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya sanaa kuonyesha chuki za wazi wazi kwa Diamond Platnumz.

Wengine walifikiri akishakuwa kiongozi wa serikali chuki zake za miaka yote angezisimamisha kwa muda. Lakini ameshindwa kujizuia.

Watu wanauliza. Je viatu vya uwaziri vinamtosha mbunge huyu wa kimemo?

Tangu awe waziri amesaidia nini wasanii wenzie?

Yale aliyokuwa anayapigia kelele alipokuwa kiongozi wa wasanii mbona ameyasahu ameishia kufungia nyimbo za wenzie za kwake za kusifia ngono hazikuwai fungiwa.

Tuzo za MTV ni tuzo kubwa sana ambazo mpaka sasa Diamond ndio anaongoza Africa kwaetuzo nyingi za MTV. Hata hongera tu?

Tuzo za Trace ndio tuzo kubwa za bara la Africa, Diamond alipata tuzo na kupafom appearances 3. Alipongezwa na wote ila sio waziri ambae ni msanii mwenzie.

Kifupi tunaweza sema hamis mwinjuma ni waziri nzigo apishe wanaoweza kazi anampigisha shoti Maza.
Bongo ukifanikiwa unachukiwa WAZIWAZI bahati nzuri hakuna aliyeingia bifu na Diamond halafu akashinda...
Nyota ya Diamond ni kubwa inang'aa hata mchana
 
Back
Top Bottom