Maziwa Fresh yanayouzwa siku hizi Yanachakachuliwa sana

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
356
550
Mfanyabiashara anaona Kununua Lita moja ya maziwa fresh ni heri ananunue Kopo la maziwa ya unga na akapata lita zaidi ya 20 za maziwa
Homemade-Biscuits-5-1200.jpg

na wanayaongeza na Butter 'magarine'
Tub-margarine.jpg

ili yawe na vimafuta na yakipoa yanaonekana kama maziwa halisi ya ngombe
Evaporated-Milk-thumbnail-scaled.jpg

Yani Biashara ya maziwa siku hizi ni uhuni mtupu, maziwa haya tunayouziwa kama maziwa freshi, hakuna kitu, kabisaa hayana virutubisho halali vya maziwa.. ni kujitengenezea faida tu ila hawajalia afya ya watumiaji kwa miaka kadhaa ijayo..

chukua hatua mdau
 
Mighawani ni zaidi ya kufuru, hakuna cha maziwa fresh wala chai ya rangi

Ukiagiza chai ya maziwa unaletewa maji yenye rangi ya maziwa yaliyochanganywa na majani ya chai

Ukiagiza maziwa fresh unaletewa maji yenye rangi ya maziwa!.
Yaan!.. tunaelekea wapi sisi jamani
 
Mnunue maziwa wanapofuga na mkaona wanakamua.. tofaut na hapo kuleni Remix ya maziwa hiyo 🤣
Hakika mkuu nakubaliana nawe, nmeacha utaratibu wa kunywa maziwa kwa sababu ya uchakachuaji na sijui wanayoyaongeza yana madhara gani
 
Back
Top Bottom