sanaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa Wizara yako ni ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kwanini unajikita tu na Michezo, ila mengineyo huhangaiki nayo?

    Changamoto nyingi zilizoko katika Sanaa na Utamaduni utaanza kuzikabili lini? Halafu Gerson Msigwa (Mkinga Wewe) kwanini unatumia Nguvu Kubwa sana kutaka Rais Samia aendelee Kukukubali hasa kwa Kujipendekeza na Kujikomba Kwake wakati wenye Akili tunajua kuwa amekuweka hapo Wizarani kama Katibu...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hizi dini zimegeuka biashara ..Nilisikia redion andika nakataa...Tuma msg nkatuma kilichofwata yajayo yanafurahisha sanaa

    ACHA KABISA Hakuna bussiness isio na usumbufu kama hiii aiseeee ni usiku wa jana niliamua kukesha na maombi redion nikasikia mahubiri kadhaa baada ya hapo mtumishi akasema andika msg nakata........nkaandika nkatuma asbh nkakutana na msg Bw .......njoo...panda basi fika,,......uliza...
  3. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Baba Levo ashangaa Mwana FA kutopenda mafanikio ya Diamond

    Kwa mujibu wa Babalevo ni kitu cha ajabu Mwana Fa ambae amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya sanaa kuonyesha chuki za wazi wazi kwa Diamond Platnumz. Wengine walifikiri akishakuwa kiongozi wa serikali chuki zake za miaka yote angezisimamisha kwa muda. Lakini ameshindwa kujizuia. Watu...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Jiongezeni Wakuu wa Shule; ni kwamba achaneni na habari za mahafali mtapigwa mawe!

    Nasikia wenzenu wamesimamishwa kwa sababu ya 'kuruhusu' wanafunzi kucheza wimbo usio na 'maadili' wa Honey. Saaawa. Kusimamishwa kwao ni ujumbe kwenu mlio madarakani. achaneni na habari za muziki huko mashuleni kwenu. Kuachana na muziki tafsiri yake futeni mahafali, hakuna mahafali ambayo...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TASUBA kuongeza kozi mpya za sanaa na utamaduni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea na kujadili taarifa ya Utekekezaji wa Majukumu ya Taasisi ya Utamaduni na Sanaa Bagamoyo (TaSUBa) ambapo imeishauri Serikali iendelee kusimamia Taasisi hiyo ili izalishe wataalam wengi kwenye Sekta ya Utamaduni na Sanaa...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. ndumbaro Aagiza BASATA na Bodi ya Filamu Kusimamia Sekta ya Sanaa Kukuza Uchumi wa Nchi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa na Bodi ya Filamu nchini kuhakikisha zinasimamia vyema Sekta ya Sanaa iweze kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi na kunufaisha wasanii. Dkt. Ndumbaro ametoa maagizo hayo Oktoba 17, 2023...
  7. Kunguru wa Unguja

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini suluhisho la simu kupata moto sana, yaani iko overheated sana

    Wakuu habari za muda huu natumai mko poa na weekend ilienda vizuri na kwa wale ambao weekend imeenda ndivyo sivyo tuendelee kupambana na kuzidi kumwomba Mungu katika changamoto tunazopitia Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, naombeni msaada ni nini suluhisho la simu kuwa very overheated...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro: Fanyeni Sanaa Kibiashara

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa wito kwa wadau wa sekta ya Utamaduni na Sanaa nchini wafanye kazi hiyo kibiashara ili wanufaike zaidi. Dkt. Ndumbaro amesema hayo Oktoba 12, 2023 jijini Dar es Salaam alipotembelea Ofisi za Mfuko wa Utamaduni na Sanaa nchini...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi watalazimisha kuchukua nguo za kijeshi hata kwa wanaomiliki kwaajili kufanya kazi za sanaa wakati sheria haijazuia?

    Sheria ya Makosa ya Adhabu namba 16 na Kanuni zake haimzuii mtu kumiliki wala kuvaa mavazi rasmi ya Jeshi ikiwa vazi hilo rasmi litavaliwa kwaajili ya matamasha au maigizo yanayowakilisha Jeshi lolote la Polisi kwa "Nia Njema" Kifungu cha 178 kifungu kidogo 1, 2 na 3 cha Sheria hii pamoja na...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Aweka Mikakati ya Wananchi Kunufaika na Utamaduni, Sanaa na Michezo

    Ikiwa ni siku moja baada ya kuwasili ofisini Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Mhe. Dkt.Damas Ndumbaro ameanza kazi Wizarani hapo kwa kukutana na kuzungumza na watumishi na viongozi wa Idara ya Utamaduni, Sanaa, Utawala, Sera na Mipango na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, kwa lengo la kufahamiana...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri wanafunzi mliomaliza form 6. Degree za sanaa /social science mkazisomee open university huku mnafanya mishe zingine.

    Habari wadau. Naona vijana waliomaliza form 6 mwaka huu 2023. Wana heka heka na admission za chuo zilizoanza kutoka. Ushauri wangu kwao watambue ajira zipo chache sana zama hizi kama sio hakuna. Ulimwengu huu watu wana ku value kwa kupima unachokijua ama kukifanya kwa uhalisia. Hawaku value...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sanaa na wasanii: Je wasanii wetu bado ni kioo cha jamii?

    “Mimi ni msanii, mimi ni msanii, Kioo cha jamii, kioo cha jamii, Mimi naona mbali, mimi naona mbali, Kwa darubini kali, kwa darubini kali.” Nani anakumbuka huu wimbo? Mimi ninaukumbuka sana. Enzi hizo nilikuwa nasoma pale Shule ya Msingi Zanaki, Kata ya Upanga Mashariki. Wimbo huu uliimbwa na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kuleta tija kwenye Sekta ya Michezo na Sanaa kwa Maslahi ya Umma nchini Tanzania

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KULETA TIJA KWENYE SEKTA YA MICHEZO NA SANAA KWA MASLAHI YA UMMA NCHINI TANZANIA Utangulizi Sekta ya michezo na sanaa ina umuhimu mkubwa katika kuimarisha utamaduni, kujenga umoja, na kuleta furaha kwa jamii. Kwa maslahi ya umma, uwajibikaji na utawala bora ni...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa nchi ni maliasili zilizopo?

    Afrika, wa afrika wengi tunaafikiri Nchi kuwa na maendeleo chanya niuwingi wa mali asili zilizopo tunasahau miaka kadhaa iliyopita huenda wengine hatukuwa tumezaliwa ziko nchi zilikuwa masikini wa kutupwa mfano, libya, Rwanda, Umoja wa Falme za Kiarabu(dubai) nk. Ni miongoni mwa nchi zilizokuwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania BASATA hana HAKI wala WAJIBU wa kuzuia haki ya katiba ya kutoa maoni kupitia sanaa

    Miaka ya hivi karibuni Baraza la Sanaa la Tanzania limekosa kazi ya kufanya isipokuwa kusubiri wasanii watoe nyimbo ndo likae vikao kuzifungia. Hata Rais Magufuli amewahi kutishia kulifuta Baraza hili kwa sababu aliona halina kitu chochote cha maana kinalofanya isipokuwa tu kugeuka na kuwa...
  16. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Wanaomwamini Freeman Mbowe na Chadema yake, watafika wamechoka sanaa! Huyu ana malengo tofauti na anachokihubiri

    La haulaaa! Nimeona mahali Freeman na Dk. Slaa watahutubia mkutano pamoja na pia hawa watu wamerudisha mahusiano yao hivyo kazi iendelee! Mbowe Freeman alibadili gia angani na kuwatupa nje wafia chama wengi akamkumbatia Lowasa na Sumaye! Dk. Slaa hakupendezwa, akaenda CCM kimya kimya...
  17. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Mgumu sana

    Hapa Lugha Imetumika Sawa Sawa
  18. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nguvu ya Sanaa katika Kuchochea Mabadiliko Chanya

    NGUVU YA SANAA KATIKA KUCHOCHEA MABADILIKO CHANYA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Sanaa ni lugha ya ulimwengu ambayo inaweza kutumika kuelezea hisia, mawazo na ujumbe mbalimbali. Katika andiko hili, tutajadili jinsi sanaa inavyoweza kutumika kama njia ya kuchochea mabadiliko chanya katika...
  19. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Andiko kuhusiana na Sanaa na maigizo

    Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu sana katika maendeleo ya sanaa na maigizo katika nchi yoyote ile. Sanaa na maigizo yana jukumu kubwa katika kuunganisha jamii, kuleta maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kiakili, na kuendeleza utamaduni wa nchi. Hata hivyo, katika nchi nyingi, utawala...
  20. Leak

    JamiiForums Tanzania NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

    Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa! Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio...
Back
Top Bottom