sanaa

  1. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima sasa ni muda wa kupambanana sanaa

    Dr. Gwajima najua wewe ni waziri mchapa kazi. Kwa maendeleo ya jamii yetu na kuzuia tamaduni za magharibi kwetu ningependa kukushauri mambo yafuatayo: Mosi, kufuta leseni za wasanii wote wanaotoa video za nusu utupu. Watoto wetu wengi wanaharibuka kwa hili 2 .Kama kweli hakuna siasa, litoke...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Abbas Kinzasa; nyota iliyochomoza mchana wa jua kali

    Abbas Kinzasa ndilo jina halisi la Sindano Ndogo Inayoshona Makoti, lakini kutokana na kutotaka kujivimbisha kichwa akajiita asilimia ndogo ama asilimia ishirini kwa lugha ya Kimasai, mwite 20% Binafsi, nilimfahamu kupitia kipindi cha redio ya Maajabu ama iite Magic FM, kijulikanacho kama BAMIZA...
  3. Kidaya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mikopo kwa wanamichezo ili kuinua sekta ya michezo, sanaa na utamaduni

    Michezo, Sanaa na utamaduni ni ajira, burudani, biashara na utambulisho wa Taifa. Sekta ya michezo, sanaa na utamaduni ni sekta muhimu kiuchumi katika nchi zilizoendelea kwa mfano nchini Uingereza, sekta ya michezo inakadiriwa kuchangia kiasi cha Tsh. trilioni 110.9 kwa mwaka kwenye pato la...
  4. Sidebin06

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wasanii na waburudishaji watahitaji kuwa wabunifu zaidi na kubadilika ili kukidhi mahitaji na matarajio ya hadhira inayobadilika

    UTANGULIZI Kwa hakika, tasnia ya sanaa na burudani inakabiliwa na mabadiliko makubwa katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Mabadiliko haya yatachochewa na maendeleo katika teknolojia, mabadiliko ya kijamii, na mienendo ya kiuchumi. Hapa chini ni muhtasari wa mabadiliko hayo: Teknolojia na...
  5. Sauti Moja Festival

    JamiiForums Tanzania SoC04 Changamoto ya kuheshimu haki za binadamu na jinsi filamu, muziki, na sanaa zinavyoweza kusaidia kufikia Tanzania bora

    Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kama vile ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza, ubaguzi wa kijinsia, na ukosefu wa usawa wa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo yaomba Bajeti ya Tsh. Bilioni 258 kwa mwaka 2024/25

    Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imewasilisha Bungeni maombi ya Bajeti ya Tsh. 285,318,387,000 kwaajili ya matumizi ya Wizara na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 Kati ya fedha zilizoombwa, Tsh. 11,280,116,000 zitatumia kulipa Mishahara ya Watumishi na Tsh. 15,847,483,000 ni kwaajili...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Jibu la Aga Khan kipindi cha Rais Kikwete. Elimu kubwa ambayo ni fumbo sana

    Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi. Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi...
  8. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Kwanini filamu za bongo hazina mvuto kama miaka ya nyuma wakati wa Kanumba?

    Wakuu hongera kwa wikiendi ya leo glories and praise to the LORD: Wakuu kuna jambo linanitatiza kitambo kidogo na sijawahi kuona kama limewahiletwa mezani kujadiliwa,ama mara nyingi mitaani ndio utasikia swala hili na kila mmoja analizungumzia ila chanzo haswa hakijulikani. Wakuu ni kwann...
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko kwenye nyanja ya Siasa Elimu kwa wananchi

    Tanzaniani tuitakayo ya miaka 5 hadi 25 ni ile ambayo kwanza tukubali kuanda kizazi Bora kutoka chini ambacho kitakuwa kimeandaliwa katika Mfumo mzuri wa elimu, Siasa , uzalendo, na teknoljia ambayo itaendana mahitaji ya Dunia ya sasa kivipi? Katika Mfumo wa elimu tunahitaji kuona mabadiliko...
  10. Salahan

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje juu ya wanaume kuvaa mavazi ya kike hasa kwenye sanaa

    Kuna sanaa za maigizo tunaziona huko mitandao ya kijamii wanaume wakivaa mavazi ya kike nakuigiza uhusika wa wanawake. Hili limezidi kuenea na sasa kuhamia upande wa television now tunawaona mbele ya familia zetu mbele ya watoto wetu tena huko kwenye tv kimeniuma zaidi. Kuna joti kiboga wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uwekezaji kwenye sanaa na michezo kupunguza wimbi la tatizo la ajira

    Sanaa kwa kiasi kikubwa katika ukanda wetu wa bala la Africa kwa kiasi kikubwa imeanza kuwa sekta rasmi ambayo kama itawekewa mkazo kwa kiasi kikubwa sana inaweza kutoa ajira kwa watu wengi sana kwani cheni ya ajira kwenye sanaa ni kubwa sana kuanzia kwenye chimbuko ambalo ni kipaji cha mtu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    Altezza inauzwa million 5, Dar es Salaam… mwaka wa kufosi huu lazma uwe na ndinga yako. Kwa mawasiliano 0612630936
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote

    Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote Kiungo mshambuliaji wa Simba sc Kibu Densi amegoma kusaini mkataba mpya akiwa ameweka vikwazo vingi kwa viongozi wa Simba. Na inavyoonesha Kibu aonekana ana ofa kubwa zaidi nje ya mipaka ya Tanzania...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Elimu namna utekelezaji wa bajeti za serikali ulivyo na jinsi Rais anavyoshukuriwa sana na wabunge

    Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na bunge, na wabunge huwa wakali sana kwa mawaziri kama watekelezaji wa maamuzi ya bunge , mambo ya...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania BASATA Watangaza kusitisha Shughuli za Sanaa na sherehe katika kumbi 504 Tanzania bara

    TAARIFA KWA UMMA KUSITISHA SHUGHULI ZA SANAA, SHEREHE NA BURUDANI KATIΚΑ KUMBI 504 ΤΑΝΖΑΝΙΑ BARA. Mnamo tarehe 19 Februari, 2024 Baraza lilitoa tamko la nia ya kusitisha huduma kwa kumbi 653 ndani ya siku 14 kwa wadau wote ambao hawatatimiza vigezo vya kuhuisha vibali vya kufanya shughuli za...
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, imesaini makubaliano na Drum Beats kuendesha tamasha la utamaduni

    DODOMA Jumatatu Machi 25 2024: Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na kampuni ya Drum Beats Carnival (T) Limited, ya Jijini Dar es Salaam zimesaini makubaliano ya ushirikiano ambapo kampuni hiyo itaratibu Tamasha la Kitaifa la Utamaduni kwa niaba ya wizara. Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rushwa katika Utoaji wa Tuzo za Sanaa hushusha thamani ya Tuzo husika

    Upendeleo katika utoaji wa tuzo ni aina ya Rushwa ambapo watu au makundi hutumia hongo au faida fulani kwa majaji au wapiga kura ili kuhakikisha kwamba wanatunukiwa tuzo katika tasnia ya sanaa. Tabia hii ni kinyume cha sheria na inaathiri uadilifu na uwazi wa mchakato wa utoaji wa tuzo, na...
  18. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Ni wakati Sasa vyuo vya Sanaa kutambua mchango wa Mtangazaji Masoud Masoud katika tasnia ya Muziki

    Habari wanaJF. Ukweli ni kwamba vyuo vikuuu na vyuo vingine vimekuwa vikitambua na kuwatunuku PhD katika kutoa huduma fulani katika jamii. Lakini Kuna nguli wa Utangazaji na Mwana Ethnomusicologist Yaani mtaalam wa sayansi ya Muziki na amekuwa akichambua historia na general structure ya...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zuchu afungiwa kujihusisha na shughuli za sanaa Zanzibar

    Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia msaanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu kuendesha shughuli zote za sanaa visiwani Zanzibar. Mbali na kumfungia kuendesha shughuli za sanaa, pia imepiga marufuku redio na televisheni za Zanzibar kupiga nyimbo...
  20. UKWAJU WA KITAMBO

    JamiiForums Tanzania Sanaa shuleni

    SANAA YA MUZIKI HAIPEWI NAFASI MASHULENI LIKIJA SUALA NZIMA LA UIPUAJI WA VIPAJI MASHULENI TOFAUTI NA ZAMANI.. Serikali imekuwa ikiimiza michezo mashuleni ili kuibua vipaji na kuendeleza , kuchochea ufaulu mashuleni na kuondoa utoro kwa wanafunzi... wanafunzi hushiriki katika michezo...
Back
Top Bottom