sanaa

  1. luangalila

    JamiiForums Tanzania Huyu Tuisila mbona kapoa sana?

    Nimemtazama huyu kiberenge toka DRC, lazima nimeona jamaa kachuja. Sijui kule RS Berkane jamaa wana shida gani na vipaji vya Kusini mwa Jangwa la Sahara hasa ukanda wetu huu? Sijui wadau mna mu-assess vipi huyu kiberenge cha kicongoman?
  2. SaulGoodman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni aibu gani umewahi mfichia mpenzi wako?

    Habarini za wakati huu wandugu. Naomba niende kwenye mada kama jinsi kichwa kinavyosomeka. Binafsi nimewahi kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti na binadamu tuna mapungufu yetu lakini wakati mwingine mapungufu yetu haya yanaweza kuwa unbearable kwa mwingine. Nilikutana na huyu...
  3. Let_Clarity

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuthamini Sanaa ya Tanzania kwa ajili ya maendeleo ya Jamii na Uchumi

    Mwaka 2019 ulionesha ya kwamba asilimia 13.6 ya pato la Tanzania (Kitomari, 2019) lilitokana na sekta ya sanaa na burudani. Hii ni kujumulisha sanaa ya kuigiza, muziki, uchoraji na michezo. Katika robo ya kwanza ya mwaka huo huo wa 2019, nchi ya Nigeria ilipata asilimia 0.27% ya pato la taifa...
  4. luangalila

    JamiiForums Tanzania tiGO mnanikwaza sana

    Nime recharge kifurushi hapa nicheki balance naambiwa niko na 3 GB za Boomplay ... Boomplay itasaidia nini sasa ? Ondoeni huu upuuzi wa kuni convert Mbs zangu na kuzifanya za Boomplay
  5. clever_kid

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ya Sanaa

    Sanaa inaweza kutumika kuwasilisha fikra au mawazo yaliyo ndani ya akili ya mtu. Wasanii hutumia ufundi na ujuzi mbalimbali kubadili fikra na mawazo yao kuwa vitu vinavyovutia kwa hadhira zao. Kazi za Sanaa zinaweza kuonekana kupitia tanzu za fasihi, uchoraji, ususi, uchongaji, ufinyanzi...
  6. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

    Nimeziona baadhi ya picha za mtanzania mwenzetu na mwanaume mwenzetu Frank Maston. Ambae pia ni mwanamuziki. Picha zake zinanipa shida kubwa sana na sijui how ntarecover na nachokiona. Sikubaliani na hii kitu, wala sitaki pia kuhukumu lakini naamini jamii inaweza kutoa msaada kumtoa huko alipo...
  7. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu, sanaa, michezo na ukombozi wa ajira

    Nina rafiki yangu ninamfahamu tunaishi naye mtaa mmoja, nimecheza naye mpira mara nyingi sana mtaani kwetu, nakiri kusema kuwa katika watu niliowahi kucheza nao mpira pengine yeye alikuwa ndiye mwenye kipaji kikubwa zaidi kuwahi kukishuhudia. Alikuwa anafanya vitu basic kwenye mpira kwa...
  8. Neter

    JamiiForums Tanzania Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO

    Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO. Agosti 25, katika Julius Nyerere International Convention Centre. Usikose fursa hii nzuri!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga lageuzwa uwanja wa sanaa na kuwavutia watu kupiga picha mjini Chongqing, China

    Chumba cha sanaa cha "Stone House" kilichobadilishwa kutoka handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga huko mjini Chongqing, China kimewavutia watu wengi kupiga picha. Handaki hilo lenye urefu wa mita 68 na upana wa mita 3.2, ni sanaa iliyoundwa na picha, uchoraji, taa, nk. Hali...
  10. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wanafunzi wa mchepuo wa sanaa (Arts) kidato cha tatu na nne wapunguziwe idadi ya mada (topics) katika masomo kama "Biology" na Hisabati (Mathematics)

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums. Mimi Infantry Soldier nipo mzima wa afya. UTANGULIZI: MUUNDO WA MFUMO WA ELIMU NCHINI TANZANIA KWA UFUPI. Mfumo wa elimu wa kitaifa kwa hapa Tanzania una ngazi kuu nne. Kwanza miaka saba ya elimu ya msingi ya lazima (kuanzia umri wa miaka sita)...
  11. Quince de Junio

    JamiiForums Tanzania Utambulisho wa mimi member mpya

    Habarini za humu jukwaani ndugu zangu. Mimi ni member mpya humu ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu kidogo humu jukwaani. Hope mtanikaribisha kwa bashasha tele ndugu zangu wenyeji wa humu. Pamoja na hayo naomba niwajuze kuwa mimi ni msanii wa kizazi kipya ninayechipukia hivyo siku chache...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kurejesha kazi za sanaa na vito vilivoporwa Barani Afrika enzi za Ukoloni wao

    Ujerumani imesema ipo tayari kurejesha vitu vilivyoporwa kutoka katika bara la Afrika wakati wa ukoloni zikiwemo kazi za sanaa kutoka Tanzania wakati wa Vita vya Maji Maji na migogoro mingine wakati wa utawala wake wa kikoloni wa mwanzoni mwa karne ya 20. Taasisi ya Prussian Cultural Heritage...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la utamaduni na sanaa la Kuqa, China lawavutia watalii wengi

    Kuanzia tarehe 15 hadi 17 mwezi Juni, tamasha la 18 la utamaduni na utalii wa Qici ambalo pia ni tamasha la kwanza la utamaduni na sanaa za Qiuci mjini Kuqa, China lilifunguliwa. Shughuli mbalimbali za kitamaduni kama vile maonyesho ya fataki, maonyesho ya urithi wa utamaduni usio wa mali...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lafunguliwa mjini Addis Ababa

    Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lilifunguliwa mjini Addis Ababa, nchini Ethiopia. Tamasha hilo litafanyika kwa siku kadhaa na kuonesha thamani ya sanaa na utamaduni ya watu wa Afrika Mashariki kwa kuonesha bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na watu wa Afrika, vyakula na dawa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Msanii wa kabila la Oroqen atengeneza sanaa kwa kutumia gamba la mti wa mbetula

    Msanii wa kabila la Oroqen Bw. Guo Baolin kutoka mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, ni mrithi wa usanii wa utengenezaji wa sanaa za gamba la mti wa mbetula, ambao ni urithi wa utamaduni usioshikika nchini China. Mke na binti yake pia wanamfuata na kufanya tarizi murua za jadi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Dakar la kila baada ya miaka miwili la Sanaa za Kisasa za Kiafrika lafanyika

    Tamasha la Dakar la kila baada ya miaka miwili la Sanaa za Kisasa za Kiafrika lafanyika.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kusafirisha mikusanyiko 23 ya sanaa kwenda Namibia

    Huko Berlin, mji mkuu wa Ujerumani, mkuu wa Wakfu wa Urithi wa Prussian Bw. Hermann Parzinger, na Esther Moombolah wa Makumbusho ya Kitaifa ya Namibia walionyesha sehemu ya mkusanyiko wa sanaa za Namibia kutoka Jumba la Makumbusho la Berlin, 23 kati yao itasafirishwa kwenda Namibia.
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi azindua tamasha la Sanaa na Utamaduni visiwani Zanzibar

    Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi jana Jumatatu alizindua tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika lijulikanalo kwa jina la Festac Africa 2022, na kuzitaka serikali za Afrika kuhimiza Sanaa na Utamaduni ndani ya bara hilo. Rais Mwinyi alisema tamasha hilo ambalo limeleta pamoja zaidi ya...
  19. Zero Conscious

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa sanaa ya uchoraji

    Wakuu habari za wakati huu, ninatumai mu wazima wa afya. Naomba kufahamu humu kama kutakuwa na wataalamu wa sanaa ya UCHORAJI, Aidha Mabango ya biashara, picha za kupamba ukutani au majengo ya biashara. Kama mpo naomba tuwasiliane, au kama kuna mwenye groups za Whatsapp au telegram...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Aprili 15: Maadhimisho ya Siku ya Sanaa Duniani

    Sanaa katika aina zake mbalimbali inaruhusu watu kujieleza kwa namna yao. Siku ya Sanaa huadhimishwa kila Aprili 15 kukuza ufahamu juu ya umuhimu wa Sanaa katika maisha yetu ya kila siku Sanaa ina nafasi muhimu katika kutoa maarifa, na Siku hii inalenga kuimarisha daraja kati ya Ubunifu wa...
Back
Top Bottom