Gerson Msigwa Wizara yako ni ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kwanini unajikita tu na Michezo, ila mengineyo huhangaiki nayo?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Changamoto nyingi zilizoko katika Sanaa na Utamaduni utaanza kuzikabili lini?

Halafu Gerson Msigwa (Mkinga Wewe) kwanini unatumia Nguvu Kubwa sana kutaka Rais Samia aendelee Kukukubali hasa kwa Kujipendekeza na Kujikomba Kwake wakati wenye Akili tunajua kuwa amekuweka hapo Wizarani kama Katibu Mkuu ila katika reshuffle ijayo anakuondoa mazima / kabisa Uongozini (Serikalini) na ubakie tu na Kazi yako ya SSIT uliyokuwa recruited Awamu ya Hayati Mwendazake ambaye ndiyo mlikuwa Mnaivana tofauti na Mama ambaye anazuga tu Kukukubali ila Wafukuaji wa Mambo tunajua wala hakukubali.

Punguza Kujipendekeza na kuwa na Kiherehere kwa Rais Samia kwani hutorejea tena Ikulu na katika Wadhifa uliokuwa nao kwani Zuhura Yunus na Mobhare Matinyi wanatosha na tena wanaweza zaidi yako.
 
nikiona hata picha yake tu huyu jamaa naonaga naiona serikali ya magufuli iliyokuwa na unafiki wa hali ya juu. yeye hadi leo hajabadilika wakati wenzake wameshabadilika.
 
Back
Top Bottom