sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Dr. John Karugia: Watanzania lindeni sana rasilimali zenu

    Watanzania wapendwa, China ilipokuwa na nia ya kuwekeza 35% katika bandari ya Hamburg ambayo ni bandari kubwa kabisa Ujerumani, bunge la Ujerumani, wizara sita za Serikali ya Ujerumani na Usalama wa Taifa (yaani Foreign Intelligence Service) ya Ujerumani na European Commission wote walikataa na...
  2. JamiiForums Tanzania Tunaweza mlaumu sana Rais Samia kwa hili, lakini hii nchi iliharibiwa sana na watangulizi wake, ni ile tu ukweli hausemwi

    Wakuu umofia kwenu. Niende moja kwa moja kwenye Mada... Nianze na lawama kwa watu wa serikali, na hasa kina Msigwa, kukwepa wajibu wao wa kusema ukweli, badala yake wanalipa hela nyingi wapiga porojo( nazungumzia hili la DP world) Tanzania nchi yetu kwa bahati mbaya sana ni nchi yenye...
  3. JamiiForums Tanzania Cheka sana, kula raha sana, Ruka sana, Tamba sana, Jirushe sana, Fanya starehe sana ila Omba ukiugua usije kupatiwa Matibabu kwenye Hospitali zetu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Cheka sana tu, ruka huku na huko sana tu, Puyanga sana tu,Fanya ngono sana,Kunywa pombe sana tu,Fanya uasherati sana tu,Jifariji sana tu kwa mambo ya kijinga,zembea sana tu,dharau sana tu!. Ila omba kwa dini yako sana tu usije ukaugua ukalazwa au...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Nimejaribu kusoma na kuisikiliza mijadala juu ya hili sakata la DP World. Kwa kweli mpaka Sasa kama taifa bado tunarumbana juu ya sisi Kwa sisi Cha kushangaza zaidi hata hao wasomi wa Sheria katika nchi hii wameshindwa kuwa na tafsiri ya pamoja katika mkaba huu. Tofauti na ilivyotarajiwa sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu akiwa peke yake ana enjoy vitu vya ajabu sana. Ukipata nafasi kuwa unamwangalia utashangaa

    Imagine toka asubuhi... Nipo tu bila nguo hotelini. Naagiza chakula wanaleta na watch movies tu. Kubwa zaidi nakunywa zangu pombe huku najamba tu na ku enjoy harufu yake. Nimegundua kuwa harufu ya kujamba kwako mwenyewe ina sooth the mind. Basi humu room. Sitamani aingie mtu. Maana napenda pia...
  6. JamiiForums Tanzania Kunani Yanga yetu mbona mpo kimya sana suala la usajili?

    Misimu miwili nyuma yanga walikuwa moto sana kwenye usajili msimu huu mbona kimya sana kunani?
  7. JamiiForums Tanzania Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha

    Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha. Hapa kuna hoja kadhaa za kujenga vijana kifikra: Elimu yenye ufahamu: Badala ya kuzingatia tu kujifunza kwa ajili ya mitihani, ni muhimu kuhamasisha vijana kufikiri kwa kina, kuuliza maswali, na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto imenisumbua sana usiku kucha, ni nani huyu?

    Wajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane. Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa...
  9. JamiiForums Tanzania Ninanacheka sana nionapo vituko kama hivi

  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Jakaya Kikwete na Baraka Obama wanasifa za kufanana sana?

    Wakuu hawa watu wawili wanafanana sana mpaka kuanzia tabia zao na muonekano wao. Ukitazama Marekani Rais Joe Biden ni kama mzee asiye kuelewa na wazungu wameshajua Obama bado anahangaika na serikali na nyuma ya pazia obama ndiyo anaye ongoza Nchi. Ukija hapa Tanzania tena Jakaya Kikwete siyo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania CCM iwe maakini sana na mkataba huu wa bandari

    Suala la Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri wa Tanzania na DP World umejadiliwa sana na wananchi kuhusu changamot zote zilizopo kwenye mkataba huo. Huku nje wengi wa wananchi ni waelewa sana wengine ni Maprofesa, PhDs na nakadhalika wameishauri Serikali uupitie tena mkataba huu kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania milioni 60 tumeshindwa kununua Crane za kushusha mizigo kwa ufanisi bandarini?

    Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld? Zinauzwa trillion ngapi kwani hizi mashine?
  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

    Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni. Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood...
  14. JamiiForums Tanzania Msizuge! mmeumia sana Ngoma kuja Simba SC na Mayele anataka Kuondoka acheni Kumpigia Magoti yenu

    Alipokuwa ana kila dalili za Kutua Kwenu huyu Fabrice Ngoma mlikuwa mkimsifia sana katika Kurasa zenu, Watangazaji na Wachambuzi wenu leo hii mmemkosa kwa Kunyang'anywa Tonge Mdomoni Kimafia na Wakali wa Umafia Tanzania Simba SC na atachezea Simba SC mmebadilika na mnaanza Kumkandia. Wanafiki...
  15. JamiiForums Tanzania Baba anahitajika sana kwenye familia, asipuuzwe! Nilikuwa naogopa kuwachezea mabinti nikisikia wana baba zao, nilijaribu kwa baadhi chamoto kilinikuta

    Nakumbuka hapo nyuma 2010 - 2015 kipindi nipo sekondari form 2 hadi 6 nilikuwa nipo active sana linapokuja suala la sketi, nilikuwa dunga dunga. Ila pamoja na utukutu wangu huu nilianza kuwaogopa mabinti ambao wapo karibu na baba zao. huko nyuma form 3 niliwahi kuwa kwenye penzi zito na binti...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mkataba na DP World Rais Samia ametukosea sana!

    Huu ndiyo ulio ukweli: "Hatupoi!" Alipo sasa Rais Samia anayo namna moja pekee: "Kuufuta tu, mkataba huu ambao ni wa hovyo mno, usiorekebishika!"
  17. JamiiForums Tanzania Wakristo tushukuru sana ndoa zinaweza kuvunjwa mahakamani, Makanisa hayana msaada, Sheria zetu za ndoa zipo mdomini tu ila si kwa uhalisia

    Kuvunja ndoa ya kikristo ni mpaka kifo ama kuchepuka, Kwanini wakristo hawatii sheria zao wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa kwa sababu zingine? -Mke au mume wako ni mwema kabisa tabia njema wala hana tatizo, mara paap! Kapata kazi huko Marekani, likizo yake ya kurudi ni wiki 2 tu mwaka...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye tabia za kiume wanakera sana

    Ukweli usemwe tu kuna wadada wa ajabu sana. Wengine sura zao zimekomaa kama za madume kulegea hawataki. Unaeza kuwa nae chumbani mpaka ukashtuka yani wanakaza sana kama sisi madume anakaa kama dume ule utamu wa mwanamke haupo kabisa na wanafanya mapenzi kama hawataki yani hawataki kujishusha kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ofisi mpya ya CHADEMA na ramani tuliyooneshwa vinakinzana sana

    Miezi kadhaa iliyopita tulionyeshwa ramani ya jengo la gorofa wakidai ndiyo itakuwa Ofisi mpya ya CHADEMA. Juzi hapa vyombo vya habari vimeonyesha jengo tofauti kabisa na Ramani ambayo CHADEMA wangejenga, mbaya zaidi jengo linaonekana Kama ni used kwa kuangalia ukubwa wa miti na maua...
  20. JamiiForums Tanzania Member ninaowakubali sana...

    Habari zenu humu.... Member ninao wakubali sana ambao nyuzi zao zinabamba sana,tena wakicomment kwenye nyuzi za watu lazima ufurahi tuu hawana baya.. 1.mshana. 2.mpwayungu. 3.mangi shangali 4.Great of all time 5.umughaka 6.smart 9 7.depan 8.simba buyenze 9.extrovet 10.sakayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…