Jambo la kwanza unalopaswa kujua unapomkubali Mungu: Mungu ni tajiri na shetani ni masikini

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,587
15,371
Mungu alipumba binadamu wa kwanza alikuwa tajiri sana.

Walipewa dunia nzima kama shamba. Na alimuwekea hazina ya dhahabu safi bustanini eden ya thamani ya matrillion mara trillion.

Adam na eva walikuwa matrillionea.

Umasikini uliingia kwa sababu ya dhambi. Hapakuwa na binadamu masikini kabla ya dhambi na hapata kuwa na binadamu masikini baada ya watu wake kuokolewa.

Shetani ni mwizi, masikini na mjanjamjanja.

Hii isitoke akilini mwako.
 
Mungu alianza kuumba dhambi kabla ya kuumba shetani
Rejea isaya 45:7
"I form light and creat darkness,I make peace and creat evil" Isaiah 45:7
Katika hili andiko tunaona kuwa Mungu ndio alioumba dhambi na maovu hata shetani asingekuwepo dhambi ingekuwepo kwa maana tayari ilishaumbwa kwa maneno rahisi Mungu ndio shetani mwenywe hivyo yote ya dunia yeye ndio mpngaji kwa uelwa zaidi hakuna Shetani bali ni Mungu katka vazi jingine
 
Hii dhahabu ya matrilioni Mungu aliwapa kina Adam wafanyie nini? Kumbuka hawa watu walikuwa wawili tu kuzaana kulikuja baada ya dhambi.

Kama mipango ya Mungu ingeenda sawa basi kusingekuwa na dhambi hence kuzaana
 
Isaya 45 inazungumzia utabiri wa Mfalme Koreshi atakaye kuja kuangusha utawala wa Babeli ili watu wake Israel watoke utumwani.
Neno uovu/evil lililotumika hapo linamaana mbili katika lugha ya asili.

1: Uovu wa kumaadili. Huu ndio wa shetani.
2: Majanga ya asili au Calamities. Hapa ndio anamaanisha. Yeye anatawala kila kitu. Anaweza hata kutumia majanga ya asili ili kusudi lake litimie hata katikati ya wasiomuamini. Koreshi hakuwa mcha Mungu lakini alitabiriwa kutokea Iran aje atumike kama mtumishi wake.

Hii haina uhusiano na uovu ulioibuka ndani ya ibirisi. Kufanya hivyo ni kuibaka biblia.
 
Watu wangezaana na kuwa wengi. Dhahabu ingetumika kama medium of exchange. Aliwawekea kama reserve. Ni sawa na wewe kuzaa mtoto alafu umfungulie account kwa ajili ya familia yake yenye trillion 1. Akiwa mtoto atatumia vya nyumbani.

Ndio maana mtu tajiri kuandikwa mara ya kwanza kwenye maandiko ni Ibrahim akirekodiwa kumiliki dhahabu.

Ndio maana dhahabu haina thamani kama Almasi, Tanzanite au Platnum lakini ndio inayotumika kupima utajiri wa taifa. Gold reserve ya taifa hata kama halina mgodi.

Kabla ya 1970S dhahabu ilikuwa ndio Grobal currency kama unavyoona sasa hivi Dollar. Ingawa hata sasa ni hivyo.

Hivyo haya yote sio bahati mbaya. Ukichimba mzizi wake utakuta ni Eden. Ile dhahabu safi ya ofiri.

Ni ujinga kuiqssociate dhahabu na Shetani. Mcha Mungu unatakiwa kumiliki dhahabu kama ibrahim. Na Yesu alimiliki dhahabu alipokuwa duniani.
 
Vipi nabii Isa alipopandishwa mlimani na shetani na kumuonyesha ufalme wote wa dunia kuwa ni wake?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Adam alipokubali kudanganywa na shetani. Aliuza hati miliki ya ufalme wa dunia hii kwa Shetani. Ndio maana alikuwa na ujasiri wa kumuambia Yesu atampa vitu vyote. Ila vitu hivyo hadi yeye mwenyewe ni mali ya Yesu maana Yesu ndiye kaumba vyote. Na pale ishu ilikuwa sio mali, ilikuwa ni ibada. Shetani anataka ibada kwa uchu mkubwa.

Ndio maana hawezi kukupa kitu bila kuanza na ibada kwake.

Baaada ya Yesu kufa. Wanadamu wanaoption mbili. Kumkubali Yesu ili warudi kuwa watoto wa Mungu wenye hati miliki ya dunia ya sasa na ile ambayo anawaandalia. Au watoto wa ibirisi wafurahie posho zake kisha aangamie nao.
 
Mzee unaamimi kua shetani ni masikini? Hebu iweke kwanza akili yako kua huru. Nakubaliana na wewe kua Mungu ni tajiri collectvely kwamba anamiliki vyote vilivyo duniani na mbinguni ila kumbuka Mungu ameruhusu shetani amiliki dunia na ndio maana utaona kila aspect ya maisha hapa duniani inamilikiwa na shetani.. Ila Mungu hakutuacha hivi hivi alitupa common sense ili tuweze kuchanganua nafaka na mashudu...... Ila shetani ni tajiri na deceiver, Im out.
 
Shetani ni masikini. Vit unavyosema anamiliki anamiliki kwa ulaghai.
Hajaumba kitu, vitu vyote ni vya Mungu.
Ndio maana akivitaka huwa anavichukua.

Alipotaka Usafiri Yesu alichukua kibabe Punda wa mtu bila kuomba.

Alipotaka kuwapa mavazi na utajairi waisrael. Hakushusha kutoka mbinguni aliwaambia wakavichukue kwa wapagani wa misri. Na hakuna aliyekataa.

Kimsingi mali zote za waovu ni za wacha Mungu. Ni za Mungu. UKIWA NA Mungu unamiliki hata wanavyomiliki waovu kwa muda mfupi.

Kuna fungu la haya maelezo, ukitaka nitakuwekea kuongeza nyama kiduchu.
 
Isaya 45 inazungumzia utabiri wa Mfalme Koreshi atakaye kuja kuangusha utawala wa Babeli ili watu wake Israel watoke utumwani.
Neno uovu/evil lililotumika hapo linamaana mbili katika lugha ya asili.

1: Uovu wa kumaadili. Huu ndio wa shetani.
2: Majanga ya asili au Calamities. Hapa ndio anamaanisha. Yeye anatawala kila kitu. Anaweza hata kutumia majanga ya asili ili kusudi lake litimie hata katikati ya wasiomuamini. Koreshi hakuwa mcha Mungu lakini alitabiriwa kutokea Iran aje atumike kama mtumishi wake.

Hii haina uhusiano na uovu ulioibuka ndani ya ibirisi. Kufanya hivyo ni kuibaka biblia.
Soma andiko la biblia lenyewe liandike hapa nione ulivyokuwa hujui kusoma
 
Soma story yote sio kifungu. Maana hapo ni story ya mtu anazungumziwa sio kifungu kinachojitegemea.
Usiifundishe biblia acha yenyewe ikufundishe na kukupa maana.

Utangundua ni kitabu kitamu sana.
 
Unakataa kuwa yote yaliyopo duniani yameumbwa Na Mungu
 
Biblia inatuambia kuwa ULIMWENGU NA VIUJAZAVYO NI MALI YA MUNGU

Kwenye Bible hiyohiyo Shetani alimwambia Yesu, ukinipigia magoti na kuniabudu nakupa milki zote za ulimwengu! Alipata wapi ujasiri huo

Kwanini watu wanaoonekana kuwa karibu sana na Mungu ni masikini? Na matajiri wengi wanasemekana kutumia nguvu za Giza?

Mungu alipumba binadamu wa kwanza alikuwa tajiri sana.

Walipewa dunia nzima kama shamba. Na alimuwekea hazina ya dhahabu safi bustanini eden ya thamani ya matrillion mara trillion.

Adam na eva walikuwa matrillionea.

Umasikini uliingia kwa sababu ya dhambi. Hapakuwa na binadamu masikini kabla ya dhambi na hapata kuwa na binadamu masikini baada ya watu wake kuokolewa.

Shetani ni mwizi, masikini na mjanjamjanja.

Hii isitoke akilini mwako.
 
Adam alipokubali kudanganywa na shetani. Aliuza hati miliki ya ufalme wa dunia hii kwa Shetani. Ndio maana alikuwa na ujasiri wa kumuambia Yesu atampa vitu vyote. Ila vitu hivyo hadi yeye mwenyewe ni mali ya Yesu maana Yesu ndiye kaumba vyote. Na pale ishu ilikuwa sio mali, ilikuwa ni ibada. Shetani anataka ibada kwa uchu mkubwa.

Ndio maana hawezi kukupa kitu bila kuanza na ibada kwake.

Baaada ya Yesu kufa. Wanadamu wanaoption mbili. Kumkubali Yesu ili warudi kuwa watoto wa Mungu wenye hati miliki ya dunia ya sasa na ile ambayo anawaandalia. Au watoto wa ibirisi wafurahie posho zake kisha aangamie nao.
Kwanini mungu akubali binadamu adanganywe na Shetani!

Kama huyo binadamu alidanganywa na Shetani kwanini adhabu anapewa Binadamu aliedanganywa?

Yani mtoto anabakwa badala umkabili mbakaji unamuadhibu aliebakwa ?

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom