TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

Rangooo

Senior Member
Feb 12, 2022
196
322
Habari wana JF,

Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha.

Hii kitu haimake sense kabisa kwani Taesa wanafanyia vijana interview kama vile utumishi na isitoshe Taesa ipo chini ya serikali najiuliza kwanini hawa vijana wasipewe kipaumbele na PSRS kwenye ajira, mwishowe wanawatumikisha na kuwapotezea tu muda.

Siwafichi jamani sisi vijana wa Taesa tunateseka huku maofisin tunatumikishwa na hela pia zinachelewa lkn serikali hii inakaa kimya kabisa ni as if hii taasisi haina vision, sabb mtu ana experience na bado anatelekezwa this is not right.

MAMA SAMIA NA WIZARA YA UTUMISHI NA KAZI KAMA MNASOMA HILI NAOMBA MLIFANYIE KAZI, kamwee kijana aliotoka internship chini ya Taesa kwa interview juu huwez kumtelekeza kirahisi na kumuacha apotee mtaani na wakat tayar anajua system ya kazi na isitoshe ni kama serikali imemu overuse.

NB: AMBAE HAUPO TAESA NA HUPITII HILI USICOMENT UJINGA SABB HUJUI TUNACHOPITIA.
 
Hii agency inakula mshahara kwa kazi hewa.
 
Wewe hujapoteza muda mbona, sisi tulipoteza miaka miwili under taesa. Ukiwa hapo jiongezee walau saa moja kila siku baada ya muda wa kazi kuaapply kwzi kwingine. Usifanye mistake yenye sisi tulifanya.
Wewe lazima ulifanyia "Mamlaka" wewe.
 
Habari wana JF,

Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha.

Hii kitu haimake sense kabisa kwani Taesa wanafanyia vijana interview kama vile utumishi na isitoshe Taesa ipo chini ya serikali najiuliza kwanini hawa vijana wasipewe kipaumbele na PSRS kwenye ajira, mwishowe wanawatumikisha na kuwapotezea tu muda.

Siwafichi jamani sisi vijana wa Taesa tunateseka huku maofisin tunatumikishwa na hela pia zinachelewa lkn serikali hii inakaa kimya kabisa ni as if hii taasisi haina vision, sabb mtu ana experience na bado anatelekezwa this is not right.

MAMA SAMIA NA WIZARA YA UTUMISHI NA KAZI KAMA MNASOMA HILI NAOMBA MLIFANYIE KAZI, kamwee kijana aliotoka internship chini ya Taesa kwa interview juu huwez kumtelekeza kirahisi na kumuacha apotee mtaani na wakat tayar anajua system ya kazi na isitoshe ni kama serikali imemu overuse.

NB: AMBAE HAUPO TAESA NA HUPITII HILI USICOMENT UJINGA SABB HUJUI TUNACHOPITIA.
Mtalia sana, mtaomba sana lakini hakutakuwa na matokeo yoyote. Vijana wa Tanzania mnatakiwa mchukuwe action. Haki huja kwa kupiganiwa na siyo kulialia. Mwaka 1951, mwandishi maarufu, Shaaban Robert aliandika kwenye kitabu chake cha Adili na ndugu zake: ''kula uhondo kwataka matendo. Asiye matendo hula uvundo''. Tafakarini!
 
Hahahàhaha, vipi mikando ya CIVE, AUditorium,Cbsnl,Must, Duce, e.t.c imekuchosha?

Mimi nadhani nyie mlioko huko kwenye system mna knowledge kubwa sana ambayo itawasaidia kufaulu pepa za utumishi.

Tusilalamike tufanye tu wajibu wetu, japo PSRS wana mapungufu yao lakini mengi ni mazuri.

Hongera Sekretarieti ya Ajira na mje mtoe mwongozo kwa ndugu yetu hapa.
 
Habari wana JF,

Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha.

Hii kitu haimake sense kabisa kwani Taesa wanafanyia vijana interview kama vile utumishi na isitoshe Taesa ipo chini ya serikali najiuliza kwanini hawa vijana wasipewe kipaumbele na PSRS kwenye ajira, mwishowe wanawatumikisha na kuwapotezea tu muda.

Siwafichi jamani sisi vijana wa Taesa tunateseka huku maofisin tunatumikishwa na hela pia zinachelewa lkn serikali hii inakaa kimya kabisa ni as if hii taasisi haina vision, sabb mtu ana experience na bado anatelekezwa this is not right.

MAMA SAMIA NA WIZARA YA UTUMISHI NA KAZI KAMA MNASOMA HILI NAOMBA MLIFANYIE KAZI, kamwee kijana aliotoka internship chini ya Taesa kwa interview juu huwez kumtelekeza kirahisi na kumuacha apotee mtaani na wakat tayar anajua system ya kazi na isitoshe ni kama serikali imemu overuse.

NB: AMBAE HAUPO TAESA NA HUPITII HILI USICOMENT UJINGA SABB HUJUI TUNACHOPITIA.
Tatizo wasomi tumekuwa wengi ,fursa chache ,uchumi wa nchi duni na sekta binafsi dumavu .
Too bad tunapunguza thamani yetu kwa kujirahisisha sana na ucheap labour ,siku hizi makampuni hayaajiri , ni mwendo wa cheap labour Tu tena na hii Taesa ,heheeee , kila mwaka wanachukua vijana graduates kama interns na kuwapigisha mzigo kama watumwa kwa malipo duni halafu mwisho wa mwaka wanawatema , hii ndio Tanzania ,elimu ni useless nchi hii .
Mtoto ni bora kumjengea misingi ya kibiashara hata ikiwa ndogo hiyo pesa ya kumsomesha mpaka chuo ni bora ufanye hivyo .
 
Habari wana JF,

Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha.

Hii kitu haimake sense kabisa kwani Taesa wanafanyia vijana interview kama vile utumishi na isitoshe Taesa ipo chini ya serikali najiuliza kwanini hawa vijana wasipewe kipaumbele na PSRS kwenye ajira, mwishowe wanawatumikisha na kuwapotezea tu muda.

Siwafichi jamani sisi vijana wa Taesa tunateseka huku maofisin tunatumikishwa na hela pia zinachelewa lkn serikali hii inakaa kimya kabisa ni as if hii taasisi haina vision, sabb mtu ana experience na bado anatelekezwa this is not right.

MAMA SAMIA NA WIZARA YA UTUMISHI NA KAZI KAMA MNASOMA HILI NAOMBA MLIFANYIE KAZI, kamwee kijana aliotoka internship chini ya Taesa kwa interview juu huwez kumtelekeza kirahisi na kumuacha apotee mtaani na wakat tayar anajua system ya kazi na isitoshe ni kama serikali imemu overuse.

NB: AMBAE HAUPO TAESA NA HUPITII HILI USICOMENT UJINGA SABB HUJUI TUNACHOPITIA.
Ndugu Adam255 mkataba wako na TAESA haujasema utapata ajira ukimaliza huo mkataba .Na lengo kuu la TAESA ni kukupa wewe mafunzo kazini so ukiwa kwenye Internship hiyo jaribu kutafuta connection na usiache kwenda kwenye interview za PSRS na kujiandaa vyema kwenye hiyo interview.
Ni watu wengi sana wanatamani hizo nafasi za internship ila wanakosa
Nahisi sisi ndio tulikuwa watu wa mwanzo kufanya intern under TAESA na tuliingia na hiyo hali ya kuwa tutaajiriwa na hiyo Taasisi waliyotupeleka lakini hatukuajiriwa ila tukaongezewa mkataba na ulipoisha tukatoka ila wengi tuliotoka tulibahatika kupata kazi kupitia PSRS, Hivyo usikate tamaa MUNGU anatambua jitihada zetu.
 
Ila vijana wengi wanajiangalia matumbo yao ubinafsi mwingi. Unasemaje psrs waanze na vijana wa taesa na kuna vijana wengi jobless na hawapo taesa na wanapambana wapate kazi kupitia psrs. Ubinafsi tu huo wewe upo taesa sawa ikitokea interview utumishi njoo tupambane wote kama wakati wako umefika utapata ila usilete ubinafsi kwenye swala la ajira
 
Back
Top Bottom