Ni kosa kubwa sana la kiufundi kumteua Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa

Fundi Madirisha

Senior Member
Jun 30, 2020
184
987
Huenda ni kwa kutotathmini au kushauriwa vibaya kwa CCM kumpendekeza Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, hili litakigharimu kwa kiasi kikubwa sana.

Hii ni nafasi ya kukisemea chama kwa wananchi na siyo kwenda kulazimisha baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali kufanya kazi kulazimishwa kibabe na kusutwa ama kutukanwa. Siyo nafasi ya kwenda kulazimisha viongozi kufanya kazi nje ya utaratibu

Tatizo la Makonda ni hili hapa;
Makonda ni aina ya kiongozi anayefanya kazi nje ya tararibu kwa kulazimisha, matumizi ya nguvu na dharau kwa walio chini yake. Ikumbukwe wakati wa Magufuli ilifika mahali akiwa RC tu wa Dar es Salaam alikuwa haambiliki na kiongozi wa aina yeyote, si Waziri mkuu, si mawaziri wala kiongizi yeyote wa chama na wala hakuna aliyemkemea zaid ya Rais wa Magufuli pekee. Ilifika hatua mpaka Magufuli anamsuta hadharani Makonda kwa kufanya baadhi ya mambo nje ya utaratibu.

Kwa aina ya uongozi wa Rais Samia na falsafa yake, aina ya viongozi na watendaji walio chini yake, naona kabisa hawataweza kufanya kazi na Makonda.

Ujue mpaka sasa Makonda anaamini anaweza kuongea na Rais pekee na siyo Katibu Mkuu wa Chama wala Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa.

Tatizo la Makonda hana uwezo wa kujuia mipaka ya majukumu yake, anachofahamu yeye ni kutumia ubabe mambo yaende, kwa akili yake kila aliye chini yake akienda kinyume na yeye basi ni mkwamishaji.

Mtifuano ndani ya chama
Kitakachofuata ndani ya CCM ni mtifuano na kuanza kutengeneza makundi ndani ya chama. Hali hii inaweza kuwatimua baadhi ya watu ndani ya chama, wataanza kukata tamaa na chama maana wataanza kudharauliwa, na kufanya kazi kwa mashinikizo.

Mimi ukiniambia watu kama Makamba Jr, Nape, Kinana, Bashe, Kikwete Jr, Katibu Mkuu wa Chama, nk, wanaweza kufanya kazi na Makonda wakiwa na amani itakuwa ni kujidanganya. Mfumo mzima wa sasa wa CCM unalalia kwenye hii safu lakini Makonda hafiti hapa.

Kufitinisha Viongozi wa Serikali na Wananchi
Kama nilivyosema, Makonda akipata nafasi yeyote ile huamini ya kwamba walio chini yake wanamhujumu kila wakati, anapenda yeye atoe maagizo na asikilizwe haijalishi ni sahihi au yana makosa!

Tutegemee sasa neno "Maagizo kutoka juu" likitamalaki, viongozi watalazimika kufanya kazi kwa maagizo ya mwenezi wa CCM. Sitashangaa kwa baadhi ya Mawaziri wakitofautiana kwa kiasi kikubwa na Makonda, au baadhi ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakipishana kwa kiasi kikubwa na Makonda.

Hii inaweza kuwapunguzia ari ya kufanya kazi kwa bidii na misingi ya kisheria ama taratibu, watanaki watu wa kusononeka.

Kiama kwa Vyombo vya Habari
Naona vyombo vya habari vikielekea kuripoti habari kwa maelekezo kutoka CCM, hakuna chombo kitakachokuwa huru kuripoti taarifa kwa balance.

Kila chombo kitaripoti siyo tu ni serikali inataka bali ni nini Chama au Makonda anataka. Kuhusu hili la vyombo vya habari kila mtu ni shahidi alivyokuwa tatizo wakati akiwa RC wa Mkoa tu, sasa akiwa Mwenezi itakuwaje?

CCM ya Samia wanayo nafasi ya kusahihisha uteuzi huu
Kwa ushauri wangu ambao unaweza usiwe na mbolea sana kwa Pro-Makonda kama kina Bananga na wanufaika wake wengine, ila kwa haki ya Mungu kabisa na ustawi wa taifa hili na Chama, katika kukiunganisha chama, CC ya CCM pamoja na kwamba maamini inampa muda kumpima lakini wana nafadi ya kusahihisha utauzi huu.

Wapo Wanaccm wazuri wanaoweza kukisemea Chama bila kuhitalifiana na yeyote, Heri James, Jery Muro na makada wa CCM wengine chungu mzima wenye uwezo wa kuifanya kazi hii kwa utaratibu na kuheshimu misingi ya kazi.

Makonda mpaka sasa ana zuio la kusafiri kwenda US kwa sababu ya matendo yake, huku siyo kurudi kuifunga nchi badala ya kuifungulia kama alivyo sema Mama?

Nawatakieni weekend njema.
 
Kwa mnavyo hangaika naye hivyo sidhani kama kweli CCM wamekosea…ni wazi Makonda ana watesa sana
 
Kama Wahun* wamekaa na kukubaliana kuwa wampe ugari Mhun* mwenzao,wewe inakusumbua nini?
Makundi yapo CCM kabla ata Makonda hajazaliwa;inawajua wakina Mwakitwange na kundi lake walivyokuwa wakiichachafya CCM wakati wa Chama kimoja?
Unawajua G55? au ulikuwa bado unanyonya!!
 
Na unge

Na ungeongeza kuwa na wale wasiojulikana na kumwaga risasi 38 ili kutaka kumua Lisu hatajulikana tena na kesi kwisha.

Itakuwaje Nape aonane na Makonda na kujadili suala la chama lifanikiwe? Maana ile kashfa ya TV studio na zile bunduki!! Mmmm
 
Kama upo mpasuko na ameteuliwa makusudi kuwadhibiti wale wanaoonekana ni viherehere ndani ya Chama !! Hapo unaonaje ??!! 😅🙏
 
Back
Top Bottom