Katika maisha yako usipende sana kuikimbizia GARI

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
859
1,012
Wewe ni kama ndugu yangu wacha nikushauri kitu.

Ndugu katika maisha yako ya kila siku USIPENDE sana kuikimbizia GARI, ukichelewa acha utakuja panda inginewe.

Pia sio tu gari hata NDOA, hivi vitu sio vya kuvikimbizia kabisa ikitokea vimekuacha na wewe pia acha utakuja panda inginewe.

Labda kuna watu hawajanielewa kwenye neno KUKIMBIZIA.

Yaani ni ile unafika STEND unaambiwa gari imetoka kama dakika 2 tu hivi sasa kuna wengine huwa wanaikimbizia unakuta mtu anachukua bodaboda au bajaji anakimbizia gari sio kitu kizuri.

Au kwenye ndoa unakuta mshapanga kila kitu ile unapeleka barua inatokea mkanganyiko ndugu yangu usiilazimishie achana na hilo swala utakuja tu pata mwingininewe.

Hauwezi jua Mungu amezuia hilo GARI kukubeba amekusudia kukulinda na nini.

Pia hauwezi jua Mungu amepindisha hiyo NDOA amekulinda na nini.

Wengi waliolazimasha jambo moja katika haya mawili walikuja kujutia sana maisha yao.

Kama ulitenga pesa kwa ajili ya hiyo ndoa na umeona imeanza kuwa na konakona acha pitia Bar chukua na kitimoto mwagilia moyo.

Kama ni hela nyingi sana nunua kiwanja kama imebakia pia nunua na iphone utakuja tu pata mwingine mbeleni.

Katika maisha yako USIPENDE sana kuikimbizia GARI au NDOA.
 
Da hii kweli tupu, rafiki yangu mmoja alikuwa anakimbilia bus ili lisimuache Na Mara ghafla huyo- aanguka Na kuvunjika mguu Na sasa bado anaugaza kidonda. Hilo Bus nalo mbele kidogo likagongwa Na semi trailer Na kuua watano pale pale Na kujeruhi wengi.
Nimejifunza Mungu huwa anatuepusha Na Mengi...
 
Asante kwa shuhuda,.
Mungu akupe baraka katika maisha yako.
 
Wewe ni kama ndugu yangu wacha nikushauri kitu.

Ndugu katika maisha yako ya kila siku USIPENDE sana kuikimbizia GARI, ukichelewa acha utakuja panda inginewe.

Pia sio tu gari hata NDOA, hivi vitu sio vya kuvikimbizia kabisa ikitokea vimekuacha na wewe pia acha utakuja panda inginewe.

Labda kuna watu hawajanielewa kwenye neno KUKIMBIZIA.

Yaani ni ile unafika STEND unaambiwa gari imetoka kama dakika 2 tu hivi sasa kuna wengine huwa wanaikimbizia unakuta mtu anachukua bodaboda au bajaji anakimbizia gari sio kitu kizuri.

Au kwenye ndoa unakuta mshapanga kila kitu ile unapeleka barua inatokea mkanganyiko ndugu yangu usiilazimishie achana na hilo swala utakuja tu pata mwingininewe.

Hauwezi jua Mungu amezuia hilo GARI kukubeba amekusudia kukulinda na nini.

Pia hauwezi jua Mungu amepindisha hiyo NDOA amekulinda na nini.

Wengi waliolazimasha jambo moja katika haya mawili walikuja kujutia sana maisha yao.

Kama ulitenga pesa kwa ajili ya hiyo ndoa na umeona imeanza kuwa na konakona acha pitia Bar chukua na kitimoto mwagilia moyo.

Kama ni hela nyingi sana nunua kiwanja kama imebakia pia nunua na iphone utakuja tu pata mwingine mbeleni.

Katika maisha yako USIPENDE sana kuikimbizia GARI au NDOA.
Ni kweli maana tumeyaona, na shuhuda ziko nyingi...
 
Back
Top Bottom