sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hawa viumbe ni ngumu sana kwao kusema hivi

    Video inajieleza
  2. JamiiForums Tanzania Mashairi: Khaligraph hajatukana Wasanii wa Bongo Bali anawakumbusha tu kuwa wamepooza sana kwenye Game ya Rap wamekimbilia Kwenye Amapiano

    KHALIGRAPH - Bongo Favour Lyrics 𝐓𝐀𝐅𝐒𝐈𝐑𝐈 𝐙𝐀 𝐊𝐈𝐒𝐖𝐀𝐇𝐈𝐋𝐈 𝐙𝐈𝐏𝐎 Tusahishane kama kuna makosa+nyongeza Yeah nafanya TZ mbogi ipaniki ᴍʙᴏɢɪ = ᴋᴜɴᴅɪ, ᴍꜰᴀɴᴏ ᴡᴀɴᴀᴏᴢᴜɴɢᴜᴍᴢɪᴡᴀ ʜᴜᴍᴜ Wakiona OG amejam, zogo! ᴡᴀᴍᴇᴀᴏɴᴀ ɴᴀᴡᴀᴘᴀ ᴍᴀᴋᴀᴠᴜ, ᴡᴀᴍᴇᴀɴᴢᴀ ᴋᴇʟᴇʟᴇ Big rappers na mbona mnaplans ndogo? Na sitafuti kiki...
  3. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana Afrika (Tanzania) kurudi utumwani

    Kwa jinsi bara la Afrika linavyo endeshwa hasa kusini mwa jangwa la sahara. Huwa naumia sana nikiona kwa jinsi tunajirudisha tena utumwani na kwenye ukoloni. Nchi yangu Tanzania kwa nini viongozi wanarudisha wajukuu zetu kwenye utumwa na ukoloni kila dalili za kurudi kwenye ukoloni zina...
  4. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais tunakuomba utupie jicho TARURA

    Tunaishukuru Serikali yetu inatoa fedha nyingi sana kwa TARURA ili iendeleze barabara zetu hasa za Vijijini. Kwa mtindo wa sasa labda siyo wote unapotakiwa kupata kazi lazima utoe rushwa to the tune mpaka 4 millioni. Ukiisha kupewa kazi kuna mgao wa Ofisi ya RM Mkoa na Ofisi ya TARURA wilaya...
  5. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia uwapo Ugenini?

    Haya yatakusaidia maana kuna watu yamewahi kuwakuta wakajikuta wanatamani Dunia iwameze. 1. Ukiwa ugenini kama ni hivi vyoo vya kisasa kabla hujaanza jisaidia angalia kama kuna maji kwanza. Usifike tu na kuanza shusha mzigo. Utakuja jilaumu baada ya kumaliza. Njemba alienda ukweni akagonga...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa Kidato cha 6, tuliwaambia, mmefaulu sana fanyeni maamuzi sahihi

    Form 6 leaver ,tuliwaambia ,mmefaulu Sana fanyeni maamuzi sahihi Selection za mwaka huu, nadhani zimewapa SoMo kubwa Sana,kuwa na sifa sio kigezo Cha kuwa selected! "Mlifaulu Sana" hata kwenda chuo hakuna DVC wa chuo ataacha Div one 3 achukue one pts 7, Mliopata hongereni, ambao bado msikate...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Simbachawene na Kikwete kwa kazi nzuri mnayoifanya Utumishi hadi sasa

    Nawasalimu kwa Jina la JMT! Nimeona niandike machache kupongeza kuhusu hawa Wateule wa Wizara hii yenye kubeba masuala ya Utumishi. Toka wameingia kwenye hii Wizara hawa Waheshimiwa kuna mabadiliko mengi tumeyaona. Kuanzia kiutendaji hata malalamiko ya watumishi yamepungua. Hongereni sana...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wimbo Overdose ya Diamond kali sana nimeikubali

    Jamaa kaachia wimbo kimya kimya kwa kweli aina hii ya release za Diamond zinakuwaga kali tofauti akifanya promo kubwa.Nimependa sana lyrics yake, melody, Vocal na S2kizzy katengeneza beat nzuri sana ni wimbo ambao huwezi kuuchoka kama baadhi ya nyimbo za mondi.
  9. JamiiForums Tanzania Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

    Helo Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) Wameshutumu Vikali kile wamepita Undumilakuwili na Ukosefu wa Uadilifu Kwa Wanaopinga mkataba wa Bandari kwa kile wameita kugumbia macho Mikataba ya hovyo iliyowahi ingiwa hapo kabla. --- Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar...
  10. JamiiForums Tanzania Miguu ya mgeni inanuka sana, nifanyeje nisioneshe kukerekeka/ kukerwà

    Huyu mgeni ni rafiki sana wa mume wangu, ndiye best man wa harusi
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kupakuwa movies

    Napata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye file la subshare inakuwa kinyume chake wanakupeleka kwenye mabeting mara mdundo na ma ads mengine ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ya kuchanganya hela na simu mfuko mmoja, inatugharimu sana

    Hapa nilipo nimepoteza hela wakati natoa simu, kawaidi ukishapoteza hela huna haja ya kurudi kutafuta tena.
  13. JamiiForums Tanzania Mfumo wa kiulinzi wa Urusi, S-400 walipuliwa kizembe sana

    Ukraine wanaendelea kuitesa Urusi walipua mfumo wa S-300 na kuua wanajeshi wote waliokua wameuzingira, Crimea. Explosions in occupied Crimea took place on the morning of 23 August near the village of Olenivka on Cape Tarkhankut, destroying a Russian long- and medium-range S-400 Triumf...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanasiasa anapuuzwa sana

  15. JamiiForums Tanzania Hii nchi naiogopa sana

    Naona vipepeo mnakubali kuingia katika njama ya kidini, protoko za kidini na maazimio ya kusema hadi kieleweke. Idara zikiongozwa kidini yetu macho Nawahakikishia mkiruhusu hili swala liende kidini kama mlivyoanza hamtafika popote na mtalaumiwa. Sasa shindaneni atakayeshindwa atalia tuu sisi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu: Kauli hii ya Rais Samia imekaa kibabe sana! Je, ni hasira?

    Licha kudai kukaa kimya na kuendelea kukaa kimya kuhusu sakata la Bandari lakini bado akazungumza, hakukaa kimya kama alivyodai ina first statement. Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "Hakuna mtu mwenye ubavu na misuli kuigawa nchi hii, kuiuza au kuharibu amani yake iliyodumu kwa miaka mingi"...
  17. JamiiForums Tanzania Hadithi: Dada Jesca

    Ni ijumaa ya mwisho ya mwezi huu wa tano, watumishi wa umma na sisi wa sekta binafsi sote tumejidamka zetu makazini kama kawa, si unajua tena… Mambo ya kuwajibika. Mambo yote yamekwenda sawa, ila tu kwa kutimiza wajibu wangu mwingine usio rasmi, nachelea kuwadokolea kidogo yaliyojiri. Ni stori...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je, hizi status za Ajira Portal zipoje?

    Habari za leo ndugu zangu. Naomba msaada je hizi status za ajira portal zipoje. Mfano kwenye portal imeandika SELECTED FOR Oral Interview. Selected for Ina maneno ya kijani lakini kwenye website SELECTED tu no Ina kijani mengine ni meusi. Naomba kujua nini kinajiri
  19. JamiiForums Tanzania Angalieni juu muda huu mwezi una rangi nyekundu alafu haraka sana

    Ni saa 22:09 nimeangalia juu nimekuta mwezi upo spidi kuelekea chini ukiwa na rangi nyekundu tii. Upo spidi kiasi cha kushindwa hata kwenda ndani kuchukua simu yangu na kuurekodi. Mikoa ya nyanda za juu jalibuni kuuangalia muda huu. Update Story iko hivi,. Nimetoka rod kuja...
  20. JamiiForums Tanzania ONYO: Hata maisha yakubane kivipi, usije jaribu kwenda kutafuta utajiri wa mashetani, pesa za mashetani hata waganga hawazitaki

    Ndio maana kuna waganga wengine wana hali za kawaida kiuchumi ila watu wanajiuliza kama huyu mganga anaweza kutajirisha watu kwanini yeye hatajiriki, kuna siri kubwa sana! Ipo hivi, hata hao waganga wenyewe wenye huu utaalam, wao wanachoweza ni kukuzikutanisha pande mbili tu na kuwa mkalimani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…