Messi alimdhalilisha sana Ronaldo, ona hii Clip mpaka huruma 😄

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
9,020
8,480

458KB

Messi kawadhalilisha sana wachezaji 😄😄
 
Upenzi ukipitiliza inakuwa mtihani.

Nakubali messi ni bora kwa ronaldo lakini hivi sio vigezo, kwenye mpira ni ishu za kawaida saana, ukizingatia ronaldo anakaba kimvuli si mkbaji kiviile yaani anakaba geresha tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom