sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe Simba bila Chama inahangaika sana kupata magoli

    Kila mtu ameona mechi ya Simba Vs Singida, kukosekana kwa mtu mbunifu kama alivyo mwamba wa Lusaka imeipa ugumu Simba kumaliza game ndani ya dk 90. Chama hatocheza Simba milele ni lazima lifanyike jambo kurekebisha hili.
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana? Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ufaransa kuivamia Niger itakuwa ni habari mbaya sana kwa Afrika

    Waafrika walikuwa na mashaka na viongozi wao kama kweli ni viongozi kwaajili ya watu wao au wako kwaajili Yao na mabeberu. Wana makasha kama viongozi wao wanajali maslahi yao wananchi au maslahi ya mabeberu. Kama Ufaransa itaipiga Niger kwasababu ya wanaiger kumkataa kiongozi wao asiyewanuisha...
  4. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wanawadanganya sana Simba au ni Yanga ndio haihongi wachambuzi kueneza propaganda?

    Ni jambo lililokuwa wazi toka usajili wao mpaka leo wamecheza na singida big stars...kuwa simba hakuna walichosajili...ila ilikuwa ukifungulia redio au kila kituo cha TV wakizungumzia michezo. SIFA KWA SIMBA AU YANGA ANAPONDWA(eti kisa tu MAYELE, BANGALA, DJUMA SHABAN na FEISAL WAMEONDOKA)...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli Bongo bado sana

    Baada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka Kwanza nimechoshwa na uwingi wa watu bila...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania MO Dewji alalamika kunyimwa tiketi ya VVIP

    Wanasimba nawapenda sana, ila naomba kulalamika, nimeomba ticket ya VVIP kuajili ya mtoto wangu: kamati ya Salim Mk wa board na pamoja na Mk wa simba Mwangungu na CEO Imani wamekataa. :- Je hii ni haki? je hi ni zhulma?
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Matajili Azam nawakumbusha Ibenge yupo tu. Au Asec wana kocha mzuri sana hawana hela

    Eti matajiri wanaokota mtu cheap kabisa wanampa timu. Ukiangalia CV yake yote kafundisha timu za under 20 tu. Timu za watoto wa damu changa na akili ndogo kabisa unategemea ataleta nini kwa klabu kongwe. Leo mnataka miujiza gani. Aliyekula asilmia hapa Hana huruma kabisa. Timu bovu kuliko...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Katika vijana waliopatia kuoa Bilnas yumo, ndoa yake na Nandy ni mfano wa kuigwa na vijana wa kisasa. Ina win win nyingi sana

    Habari wadau. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza billnass amepatia sana kumuoa nandy. Kwa sababu zifuatazo 1. Same Purpose kwenye maisha kati yao billnass na nandy. Wote wana passion na muziki. Billnass anajua kuandika nyimbo na mke wake nandy anajua kuimba. Wameji complete hapa. Nandy...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nateseka sana: Mabinti naowataka siwapati

    Ndugu zangu kwa kifupi, ma Binti naowahitaji huwa sipawati lakn wale nisio wahitaji ndio Wana jilengesha. Roho Inaniuma sana sijui shida nini? Sijui sifahamu namna ya ku approach. I feel sad
  10. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Kwanini Soka letu la bongo bado lipo nyuma Sana???

    TFF yatoa tena List ya Yanga wachezaji wenye vibali.. Kucheza Ngao ✍️✍️✍️
  11. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Familia nyingine ni za ajabu sana

    Kuna familia zingine zinashangaza na zinakatisha tamaa sana. Sisi kwenye familia yetu tumezaliwa watoto 9 wakiume tupo 6 na wakike wa 3 na uzao wetu umekaa hv kuna kaka zangu wakubwa wa 3 waliozaliwa miaka ya 70 then wanafuata dada 3 waliozaliwa miaka ya 80 halafu ndio sisi tena wakiume wa 3 wa...
  12. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Wanaolalamika us dollar kupanda bei sana wachungulie hapo kwa jirani

    Jirani tu hapo leo imepiga 150 ksh kwa dollar moja, na kutoka kwao kuja kwa madafu ni 18.5 mpaka 19 oi.
  13. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanaume wa 1980s tunapendwa sana na mademu wakali kila sehemu?

    Habarini nyote, Nimefanya kautafiti ka rasha rasha ni hivi mademu wakali wengi wanatupenda sisi wanaume wazaliwa wa 1980s kuliko hayo makundi mengine. Na kila mikoa ninayozunguka kibiashara kote vybe ni hilo hilo. Tusaidiane majibu kwa nini iko hivyo? Ni hayo tu 🙏🙏🙏
  14. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kinyamwezi akikupenda ni mtamu sana kwenye mahaba nihabue

    Habari zenu, Hakika kunena ushuhuda ni raha sana ndivyo naweza kusema, mpo, mwanamke wa kinyamwezi mtamu na anayajua mahaba nihabue. Ni fundi na amefundika anaweza hatari sana. Woyo woyo woyo chezea mnyamwezi ni noma. Ni hayo tu wanyamwezi 🙏🙏🙏💯💯💯👍👍👍
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania India imekaribia kufika mwezini

    Chandrayaan-3's inatarajiwa kutua kabisa mwezini hapo Agosti 23, hilo likifanikia nchi hiyo itakuwa ni ya mwanzo kutua maeneo ya ncha ya kusini ya mwezi. === India's space agency has released the first images of the Moon taken by the Chandrayaan-3 spacecraft, which entered lunar orbit on...
  16. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Vita zina mambo mengi sana. Niger wamefunga anga lao. Mali nao wakifunga wanigeria watapata tabu sana kusafiri

    Nimeona hii habari sehemu. Jana ilikuwa mwisho wa muda ambao serikali ya Niger iliyompindua Rais ilitakiwa kuachia madaraka au ukabiliwe na kipigo kutoka ECOWAS. Mali na Burkina Faso zimesema kuwa zitasimama na utawala wa Niger. Sasa Niger wamefunga anga lao. Hakuna ndege kupita. Na ndege...
  17. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

    Hi 👋 Soda ya Coca-Cola kwakweli ni mbaya sana sijui kwangu yaani soda ukitoa kwenye friji bas soda hainaa radha ila Pepsi iko vizuri sana Coca-Cola jitafakarini
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbegu Feki (Mahindi na Alizeti) Tanzania Zaleta Kilio Kikubwa Sana Momba, Wananchi Wakimbilia Mbegu Bora Zambia

    MBEGU FEKI (MAHINDI & ALIZETI) TANZANIA ZALETA KILIO KIKUBWA SANA MOMBA, WANANCHI WAKIMBILIA MBEGU BORA ZAMBIA Wakulima wa zao la Mahindi Jimbo la a Momba Mkoa wa Songwe walia na mbegu feki za Mahindi zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo katika msimu wa mwaka 2022-2023. Wakulima hao wamesema...
  19. Half american

    JamiiForums Tanzania Shughuli ikiandaliwa na wanawake inafana Sana.

    Hakika shughuli yao imejaa Sana kutokana na wingi wao hata takwimu za sensa zinathibitisha hilo kuwa wapo wengi kutuzidi. Pia bei ya vijora ni nafuu kuliko bei ya suti😅 Alisikika mwana Yanga mmoja kwenye kibanda umiza.. NB: sote ni wanawake Mungu
  20. D

    JamiiForums Tanzania Gharama ya mafuta ni kubwa sana

    Mimi per day na tumia kama 8- 10 litres nakaa mbali kidogo. Kwa siku 8-10 x3199 =26k - 32k. Kwa mwezi ni 770k - 960k. Kwa mwaka ni 9.4 milloni-11.6 million. In short kwa mwaka naweza nunua gari lingine, hapo bado services, fine, insurance, accidents, emergency and etc. Na default this week...
Back
Top Bottom