sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Plastic

    JamiiForums Tanzania Kwanini tatoo ni ngumu sana kufutika?

    Natumaini wote tumewahi kusikia au hata kuona mtu akiwa na tatoo kwenye sehemu fulani ya mwili wake. Je, kwani tatoo ni ngumu sana kufutika?? Kwanza kabisa ni muhimu kujua kua tabaka la juu kabisa kwenye ngozi(epidermis) ndilo tunaloliana kila siku kwa macho na huwa na kawaidi ya kutoa seli...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Enyi Madaktari acheni ushamba na ulimbukeni wa taaluma zenu

    Hawa vijana madaktari si kwa nia Mbaya lakini wanachofanya wanatengeneza laana kwenye vizazi vyao, vijana hawa badala ya kusaidi raia kazi yao ni kuvimba tu mitaani na kujiona wao ndio miamba. Kazini wanachelewa, Wana lazimisha kufanya mapenzi na waauguzi hasa night shift. Enyi madaktari acheni...
  3. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya (Wanyakyusa) ni watu makini sana, akili kubwa na hawaogopi kitu

    Hawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao. Boniface Mwabukusi: Mwanasheria msomi, mweledi, ambaye amediriki kuupinga kwa dhati hadi mahakamani mkataba mbovu wa bandari ametokea Mbeya. Dr. Ulimboka...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wazee wapenda taarifa ya habari ni wambea sana

    Ni kuwa wazee wengi huwaambii kitu kuhusu taarifa ya habari. Kipindi chake pendwa kwenye TV ni taarifa ya habari. Ukweli ni kuwa mapenzi yote ya taarifa ya habari ni sababu ya umbea na majungu tu. Anataka akifika kazini apate cha kusimulia wenzake. Waziri fulani hivi, mbunge fulani vile...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ee Afrika! Nakuita bara tukufu lenye watu wabinafsi sana

    Afrika ni wewe uliepewa madini kama dhahabu, almasi, chuma na vito vingi vya thamani. Ni wewe Afrika uliebarikiwa misitu yenye uwezo wa kuzalisha mbao bora lakini ajabu hadi sasa watoto wanakosa madawati shuleni. Afrika ni wewe uliebarikiwa mafuta na ges lakini bado uhakika wa umeme ni tabu...
  6. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa alkasusu wameongezeka sana

    Hichi kinywaji kadili siku zinavyozidi kwenda kinazidi kupata umaarufu mkubwa hasa kwa vijana mida ya jioni wengi wameachana na kahawa wamehamia huku kwenye alkasusu Ukisikiliza story za vijiweni vijana wanakuambia kinywaji hichi kinasaidia kudumisha ufanyaji wa tendo la ndoa kwa muda mrefu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa

    Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia. Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la...
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hii haikubaliki Mkude kachangia pakubwa sana Yanga sc kupoteza kwa penalty jana

    Maelekezo aliyowapa wenzie yameigharimu timu, alafu kibaya zaidi baada ya Yanga kupoteza amekutwa chooni akicheka kwa furaha.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Walimu tunawatendea haki Wanafunzi?

    Habari wadau wa elimu ,naomba kuuliza: hivi Ni kwanini walimu tunatakiwa ku identify mwanafunzi Kama delicate entity ,na wakati unaandaliwa kuja kwenye ulimwengu ambao Ni hursh sana?. Kwasababu ukifuatilia hapa kila mtu ,Awe mfanyakazi serikalini au private ,au amejiajiri au raia wakawaida...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wamechukua silaha nyingi sana za Warusi waliotoroka mapigano

    Ni nyingi sana mpaka imekua mtihani kuzitunza, zinatumika kupelekea moto Warusi.... Ukraine has recovered a vast array of Russian military equipment and is putting it to use. That includes 800 pieces of artillery, tanks, and other vehicles, Deutsche Welle reports. But experts say there are...
  11. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Ahsante IGP Wambura kauli yako imeturudishia utulivu kwa haraka sana

    Natoa pongezi zangu za dhati kwa IGP Wambura na Waziri wa Mambo ya ndani Masauni. Tangazo lako la juzi, limetoa faraja na amani na tunaelewa kuwa vyombo vya usalama vipo kazini. Maana ilikuwa hohehahe, kila mmoja na lake, mitandaoni, hususan sii wa hapa JF, tulikuwa badala ya kupingana kwa hoja...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Napenda sana mademu ila siwapati

    Kwema ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa napiga sana mademu verse lakini naambulia vibuti, sijui tatizo Nini wakuu hebu nipeni mbinu mbadala
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Geita: Wachimbaji wawili wa madini waokolewa baada ya kufukiwa na kifusi kwa siku 9

    Wachimbaji wawili wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Igalula wilayani Nyang'hwale mkoani Geita wameokolewa wakiwa hai baada ya kufukiwa na kifusi kwa muda wa siku tisa. Mmoja wa wachimbaji hao ametambuliwa kwa jina la Prima Shokolo ambaye ndugu yake Francisco Misungwi mkazi Sengerema...
  14. Maleven

    JamiiForums Tanzania Suala la kuomba unyumba na kunyimwa linaumiza sana

    Usiku unaambiwa amechoka hadi asubuhi, asubuhi unambiwa ngoja nimalizie usingizi, yani unapigwa danadana kama unaomba kazi vile au nini. Af we unahasira mtu kakunyima, anaingia kwenye simu anakuonesha ujinga ujinga aloukuta huko mitandaoni anadhani we uko kwenye mood ya kucheka. Kuna wanawake...
  15. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ukiona biashara unayofanya haina madoni ni ngumu sana kutoboa

    Kilimo kina madoni Uchimbaji madini una madoni Vitenge kuna madoni Car wash zina madoni Bar zina madoni, samaki zina madoni restaurant zina madoni hii ni mifano kwamba pana uwezekano (sio guarantee) wa kutoboa hata ukiwa kwenye kundi la wengi waliopiga hatua ukiachana na madon wachache...
  16. Internet-Money

    JamiiForums Tanzania Yule Robot wa Airtel ana aibu sana

    Sijaona robot ambaye yuko emotional kama yule wa Airtel. Nazani mama mpaka Leo anajua yule jamaa ni Robot. Kwa maana ile siku alimsifia kweli kweli , bila ya kujua ni mtu Na bado sijajua elimu ya Waziri Mawasiliano na Habari ( Nape ) , coz inaonekana na yeye hajui kinacho endelea
  17. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Mkwara wa kukwamisha maandamano ya Watanganyika kuhusu Mkataba wa Bandari ni wa kitoto sana

    Hey habarini nyote, Nimesikitika na kutema mate na kusonya sana utoto wa hatua ya police kuhusu maandamano ya amani na yenye nia njema kufikisha ujumbe wa kupinga mkataba mbovu na wa kitumwa na usiofaa popote Duniani kote. Ni zumbukuku na mazumbukoko tu ndio wanaweza kua na akili za kengeza...
  18. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Najuta sana, lakini WanaJF mlinikanya na hasa huyu memba Mama K

    Ipo hivi... Mimi na waifu tuna miliki kiwanda cha kuchakata mkaa. Sasa leo asubuhi kama kawaida nimetoka nyumbani alfajiri nikaenda porini kupangua tanuru la mkaa ili niupange kwenye magunia tayari kwa kupeleka mjini kwenye duka letu tunapo uza kwa mafungu na kupima kwa kopo. Hammadi nafika...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mambo/vitu gani vilikushangaza sana ulipokuja rasmi kuishi Dar es Salaam?

    Ni ndoto ya watu wengi mikoani na hata nchi za jirani kama Zambia, Malawi, Burundi na Rwanda siku moja kutia mguu Dar au kuishi kabisa mjini Dar. Hata mimi ilikuwa ndoto yangu pia. Kile kibao kilichoandikwa DAR ES SALAAM pale Chalinze kinachoonekana wakati ukitokea Arusha kilikuwa kinanipa moto...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Yanga ni timu ya kawaida sana Ila inakuzwa bila ya sababu

    Kuna rafiki yangu alikuwa anamiliki gazeti la michezo wakati fulani. Rafiki yangu huyu alinipa Siri ni Kwa vyombo vya habari huwa vinaipaisha sana Yanga. Alisema kuwa mashabiki Wa Simba si wanunuzi Wa habari za michezo kuliko mashabiki wa Yanga. Kwa maelezo yake ni kwamba siku Yanga ikishinda...
Back
Top Bottom