Chino akizungumza kitu kilichomvunja moyo sana na kuwa dissapointed

Fintan20

JF-Expert Member
Dec 17, 2023
219
539
Wanajamvi kwema.
Nilikuwa namsikiliza chino wana man 😂.
Kitu ambacho kilimkata sana kipindi anajitafuta mpaka akalia.

Anasema miaka hiyo kulikuwa sherehe, sasa mesen selekta akampgia simu akamuambia mdogo wangu chino njoo uwafundishe madancer(wachezaji).
Chino akamwambia basi poa bro mimi nakuja, chino akafunga safari mpaka kwa mesen selekta akaanza kuwafundisha wale madancer.

siku zimesonga rich mavoko akampgia simu akamuambia mdogo wangu chino tuna show Nairobi mombasa jiandae tuondoke, chino akaitia poa.
Ikabidi amwambie bro mesen selekta kwamba mimi naondoka Nina show mesen akasema daah mdogo wangu sasa unatuachaje wewe ndo kiongozi hapa hakuna wa kuwasimamia hawa. Mesen ikabidi ambembeleze sana chino Baki mdogo wangu.

Sasa kipindi hicho chino ndo katoka kupata mtoto wake wa kwanza bado mdogo akamwambia bro siunajua lakini kule kazi hapa nasaidia tu akasema Baki mdogo wangu. Kiroho safi chino akabaki. Ikabidi ampgie mavoko kwamba bro nitashindwa sababu ya mtoto kuna masuala yananibana mavoko ikabidi akubali.

Basi ile sherehe ya mesen ilivyokaribia chino akasema ngoja nicheze vzuri najua nitatumzwa tu, basi chino alikuwepo pamoja na pam D na madancer wengine.
Basi ile siku shuguli chino kwanza kuingia pale ule muda wa madancer akaua sana watu wakampa pesa ikafika elfu50, ile pesa Pam D akaichukua akampa chino yote akasema katusaidia sana na kipindi anakuja tulikuwa atumlipi.
Basi sherehe imeendelea ikafika muda wa madancer kutoa show tena, chino alicheza pamoja na mesen sasa kipindi wanaendelea kucheza pesa nyingi sana walikuwa wanatunzwa zingine anapewa lakini hawezi simama kucheza kwahyo anaziacha tu pale chini wakatunzwa pesa nyingi sana mpaka sherehe inaisha.
Basi baada ya sherehe kuisha pesa ikakusanywa mesen akachukua ile pesa akaondoka na chino akupokea hata shilingi na kujitolea kote na show aliacha.
Ikabidi aende kwa bimkubwa wake mesen selekta amuelezee bimkubwa naye akamtolea nje kama hamjui
Chino anasema ile siku nililia sana.

Binafsi nishapitia hizi.
Embu share kisa chako ambacho ambacho ulikuwa dissapointed
 
Kwenye biashara hakikisha unalipwa kwa mkataba.

Vinginevyo kubali umefanya kazi ya kanisa.
 
Alilia kabisa literally? Alienda kushitaki Kwa mama yake mesen selekta?..
Yaani mtu akudhulumu uende kushitaki Kwa mama yake?

Hii industry bado ina vituko sana
Mkuu the boss,
Unajua kuna watu tunawachukulia kama ndugu ndicho kilichotokea kwa chino na mesen selekta.
Na kipindi hicho bado anajitafuta, alienda kwa bmkubwa akitegemea mama ni mtu wa busara ataongea na mwanae.
 
Hiyo story ya kwenye Biblia ya Yakobo alivyochukua haki ya uzaliwa wa kwanza kwa Essau. Nimeisoma tangu utoto hiyo.
Kiukweli mkuu wengi tupo hivyo.
Ndio maana unaona harmonize analia Lia kulipa milioni600 as if alilazimishwa au hajui mikataba inasemaje.
Mkuu njaa tu na sisi tunahitaji familia zetu ziishi😂😂na familia nzima umaskini tunafanyeje sasa.
 
Tatizo la sanaa, hususan hii ya muziki, ni mchezo fulani ambao ili utoke mara nyingi inabidi uonewe kwanza. Wewe Harmonize umetoka Mchinga huko, mjini hakujui mtu, hujafanya shopping ya kuvaa ki star, huna pa kuanzia, ukiambiwa saini mkataba unasaini bila hata kuusoma. Hata ukisaini mikataba, ya awali itakulalia.

Ukija kustuka baadaye, una re negotiate.

Hiyo si Bongo tu, hata Taylor Swift kafanya hivyo.

Tatizo la Bongo mtu anafanya kazi hata mkataba wa kulaliwa hana, anategemea roho nzuri ya mtu tu.

That is no way to work.
 
Umemuingiza 'king' kiranga vizuri sana, huo mfano wa yakobo na esau unasadifu mengi sana. Ogopa njaa dunia hii
 
Njaa mkuu si kitu kizuri.
Hao wote duniani huko wanapigana sababu washashiba😂😂
 
Tatizo la sanaa, hususan hii ya muziki, ni mchezo fulani ambao ili utoke mara nyingi inabidi uonewe kwanza. Wewe Harmonize umetoka Mchinga huko, mjini hakujui mtu, hujafanya shopping ya kuvaa ki star, huna pa kuanzia, ukiambiwa saini mkataba unasaini bila hata kuusoma. Hata ukisaini mikataba, ya awali itakulalia.

Ukija kustuka baadaye, una re negotiate.

Hiyo si Bongo tu, hata Taylor Swift kafanya hivyo.

Tatizo la Bongo mtu anafanya kazi hata mkataba wa kulaliwa hana, anategemea roho nzuri ya mtu tu.

That is no way to work.
Mkuu kumbe hata kwa wasanii wa mbele wanakutana na hizi changamoto?
 
Fuatilia msanii aliyeitwa Prince alivyowausia wasanii ku own masters zao.

Fuatilia Taylor Swift ilivyombidi arekodi nyimbo zake mwenyewe kwa mara ya pili ili apate ownership (Taylor's Version).

Fuatilia ugomvi wa Jadakiss na Interscope/ Puff Daddy.

Fuatilia Michael Jackson alivyogombana na Tommy Motolla mpaka Michael akamuita Tommy Shetani.

View: https://youtu.be/tBv3GzD97FY?si=KAI37Y4233yH58u9
 
Back
Top Bottom