sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii kazi ngumu sana

    Hii kazi ngumu sana....
  2. JamiiForums Tanzania KERO Maji ya DAWASA yana harufu na ladha ya Dawa kali sana, ni salama kweli?

    DAWASA tunawashukuru sana kwa kuanza kurejesha huduma ya Maji baada ya kukatika kwa muda mrefu huku mkieleza chanzo ilikuwa kurekebisha mitambo ya machujio ya tope. Lakini sasa kuna jipya, maji yenu yanakuja harufu kali sana ya Dawa za kutibu maji kiasi kwamba hata ladha ya maji imepotea. Sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Inauma sana na haivumiliki

    Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae. hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio...
  4. JamiiForums Tanzania KWELI Msongo wa Mawazo (Stress) husababisha mtu kula sana na hatimaye kuongezeka uzito

    Je, ni kweli kuwa watu wenye stress hula sana na matokeo yake huwasababishia uzito kupita kiasi?
  5. JamiiForums Tanzania Njooni tujadili zinakokwenda fedha za umma

    Maskini Watanzania walipa kodi nawaonea huruma mno. Simlsumu Rais Samia bali naulamu mfumo wetu wa kutawala. Leo tumeona notice ya wateuliwa wapya na wengine wengi wamepata uhamisho kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine, wengine kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyingine. Hapo fedha...
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya pombe, wasichana na kamari kipi kinarostisha Sana?

    Points zangu ni zifutazo 1. Pombe Inamaliza Sana Hela hasa ukinywa za kampani za kuzungusha yule mupe yule muruke ila bia za kunywa mwenyewe hazifilisi hata kidogo kwani huwezi kuchoma laki Kwa siku ukiwa unakunywa peke yako 2. Mademu Hawamalizi Hela kama ukiwa na msimamo mmoja kwamba bei...
  7. JamiiForums Tanzania Best picture Womens Day, safi sana Polisi wanawake: chagua umpendaye!

    Nimefurahishwa sana na picha hii ya askari wanawake ambao wako fit kabisa. Ni huko Urambo Tabora, Nipashe leo march 9. Mimi namchagua no 1, kwa maringo tu!
  8. JamiiForums Tanzania Methali za kisukuma ni "Konki" sana.

    Kutoka kitabu hadithi za Kisukuma. Methali na Tafsiri Makono hoya babyaji ba banhu: Mikono ndiyo wazazi wa watu: fanya kazi kwa mikono yako uishi. Buka mundi tukalye sha balimi: Miguu yangu inukeni tukale vya wakulima, mvivu huishi kwa jasho la wenziwe. Mkono gumo gutatobaga buki: Mkono...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Simba kushindana na Yanga msimu huu ni ngumu sana

    Huu ndo ukweli mchungu kwa wanasimba ni ngumu sana kushinda na Yanga kwenye mbio za ubingwa wa nbc premier league Nafasi ipo ila ni ngumu kutoka na aina ya mpinzani unayeshindana naye ambaye ni Yanga
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini nawapenda wanawake wanaofanana hivi ni warembo sana

    Mzuka wanajamvi! Yani kila nikipishana nao moyo unaenda mbio na kasi nalazima nigeuke wawe wazungu, wahindi ama Waarabu na Waafrika. Lakini kwa Waafrika ndio wazuri na warembo kupindukia na wengi wao ni black American. Wanawake weusi warembo kuliko wanawake wote duniani wako marekani halafu...
  11. JamiiForums Tanzania Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka. wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
  12. JamiiForums Tanzania Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani na ambao mmepotezana kipindi kirefu kisha kukutana tena

    Maana kuna jamaa ni mfanyakazi mwenzangu nimekuwa na urafiki naye wakikazi kwa muda wa miezi mitano ila sijawahi kukaa naye sehemu hata moja kula naye bata, ila juzi tukiwa kwenye kikao cha kazini tukaenda kupanga lodge moja kila mtu room yake sema zinaangaliana milango. Sasa mimi nilimwamini...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete aliona mbali sana

    ... 📸 𝙏𝘽𝙏 2020 "Mmenifurahisha sana hii ndio Yanga yangu ninayoijua tangu zamani, Uwanja umejaa full. Kumbe mkiamua kutokuwa BARIDI mnaweza. Naamini msimu ujao mtatwaa Ubingwa ambao mmeukosa kwa misimu (4)." "Suala la Morrison achaneni nalo. Safari hii nyie mmeibiwa na naamini baada ya muda...
  14. JamiiForums Tanzania Nakuwa na akili sana usiku kuliko mchana

    Yani usiku naweza fanya kazi ambazo zinahitaji akili nyingi na tulivu kuliko mchana, naweza kesha usiku mzima bila shida, Lakini mchana ni kama vile niko less, who can relate?
  15. JamiiForums Tanzania Kijana kama ni bachela acha na hizi starehe utafanikiwa sana

    Kuna haya mambo nimeyaona kwenye jamii ya vijana wa sasa wanayakosea sana bila wao kujua ama kujua hapa naongea na vijana ambao wapo siriazi kujenga maisha yao ya kesho Ugumu wa maisha umesababisha watu kuwa na stress sana hivyo kupelekea watu wengi kukosa utulivu wa akili Ushauri wangu kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mkuu mpya wa shule ya sekondari Nyiendo halmashauri ya mji wa Bunda kwa uchapakazi uliotukuka

    Ukweli ni lazima usemwe tu hata kama watu wengi hawataupenda. Shule ilikuwa imepoteza mwelekeo kabisa.Kila siku ilipokuwa inapita unatamani heri ya Jana. Makundi baina ya walimu, morali ndogo kwa walimu wasio wanamtandao, kiwango kidogo cha nidhamu kwa wanafunzi yalikuwa baadhi ya mambo...
  17. JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

    Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu. Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia...
  18. JamiiForums Tanzania Nilimchangia Nauli jana ameishia kuibetia, ulevi wa kamari ni hatari sana

    Huyu mwanamke ana akili za hovyo, bado ananiomba tena nimchangie abeti wakati shida yake kubwa ni nauli.
  19. JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Raha na utamu wa mapenzi viko Tabora, hiyo mikoa mingine mnateseka sana

    Hakika mapenzi ya Tabora hawa wanawake wa kinyamwezi ni kiboko. Kuishi ama kufika ama kupita Tabora ni raha sana, mapenzi tele na raha zake na utamu wa mapenzi ya Tabora hakuna mkoa pinzani. Wanawake wa kinyamwezi na hata walofundwa unyamwezini ni watamu sana wanajua mpaka basi hadi wana utamu...
  20. JamiiForums Tanzania Kamati ya maadili hatari kuliko zote Tanzania ogopa sana

    Basi tulivyokuwa wadogo enzi mwaka 1996 nikiwa zangu mgeni kabisa iringa mafinga ndo mara kwanza niliwaona hawa wana kamati ya nidhamu(nyigu)... Hawa wanakamati ya nidhamu(nyigu) mara nyingi walipenda sana kujenga nyumba zao vibarazani hasa karibu na meter za umeme sasa tukiwa wadogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…