Hi
Leo mchna nikiwa nimetulia kaja Jamaa mmoja hivi mpemba tunapiga story najua anafunga gafla anaomba nynya na kitunguu na chumvi akidai njaa nikampa baada ya muda nasikia anaomba mboga tukamuuliza ujafunga kwahiyo
Alichojibu tulibaki mdomo wazi et hawezi mkewe anajua anafunga na katupa...