Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status kabla simu haijazima.

Nikiwa nimeingia sehemu ya status kwenye gallery ghafla ni kama nilimis touch nikachagua video ya x (nilikuwa nimejoin group la connection) na ikajipost status, ebwana ee ukisikia siku ya nyani kufa miti inateleza basi ndio hiyo, yaani nikawa naona naenda kuua heshima yangu, Nilipaniki, kichwa hakikutulia yaani nikaanza kushikilia power button nizime simu ili niizuie, nikabadili maamuzi niweke airplane mode kuzuia data lakini naingia whatsapp naona ishaenda, nilidata zaidi nikaondoa airplane mode niwashe data niwahi kuifuta video lakini ghafla simu ikazima.

Tumbo lilizunguka kwa spidi ya ajabu akili iliniviriga nikawa nimedata nawaza itakuwaje sasa, bimkubwa anaeniona mimi mtoto pekee nilietulia atanichukuliaje? Wadogo zangu Je ? Majirani vp? Yani kiufupi watu tunaoheshimiana wakiiona nimekwisha... , Na hapo kumbuka umeme umekata mtaa mzima hakuna umeme.

Nilitoka nje kama nilivyovaa kikaptula, kivesti na kandambili, nikawahi sehemu ya boda boda nikaikuta moja tu nae kaniambia kuna mteja anamsubiri, kwakweli sikuweza kusubiri boda mwengine, nikamwambia ntampa elf 5 tena sehemu yenyewe ya karibu ni ofisi ya kamari / kubeti huwa wanawasha jenereta.

Yaani boda nikawa namkaripia aongeze mwendo maana naona kama pikipiki haiendi,

Tukiwa njiani nikakumbuka nilisahau chaja maweee!! nilienda duka la njiani niliambiwa chaja elf 10 wala siku fikiria mara mbili

Nafika ofisi za kubeti hawakunielewa kuchaji simu nikatoa hapo hapo elf 5 ambayo ilibidi iwe ya boda boda nikasema tutajuana mbele kwa mbele.

Yaani nikaingia WhatsApp nakuta kuna views kama 3 tayari ila kwa bahati nzuri zilikuwa za marafiki wa viwanjani, kwenye inbox wanaomba full clip.😂😂

Boda naye akanitwanga zaidi kwa kisingizio alikuwa na mteja mwengine nimevurugia ratiba.
 
Mimi simu ilikuwa inazingua touch na nipo mkoa kikazi nasubiri nirudi Dar ndio nibadili, aisee sina hili wala lile simu ipo mfuko wa suruali, kwenye mida ya SAA sita mchana simu yangu Nokia ndogo simu inapigwa kucheki mshkaji wangu wa kitambo na tulikuwa hatujawasiliana almost miezi 6, napokea simu cha kwanza ananiambia wewe ..mse... ingia haraka WhatsApp status kafute kimeo chako akakata simu, naingia status nakuta pilau linapikwa limeivaa hatari nikafuta fasta na ile simu sikuitumia tena.
 
Ni 2017 nlikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status
Wiki mbili zilizopita simu yangu ilipost pisi kali kama nne hivi zimekaa kihasara kwenye Whatsapp ya ujirani hapa kwetu.

Yaani hizi tachi ukiziweka mfukoni na haujaweka screenlock unaweza hata kukuta imeandika talaka na kuituma ukweni
 
Ni 2017 nlikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status...
images (8).jpeg
 
Kipindi kile kabla ya simu za touch. Zilikuwa zile Nokia 3310, nilimuandikia mchepuko msg ndefu kuhusu alivyonipa Jana yake, kuhusu papuchi yake ilivyokuwa ya viwango na maujinga mengine mengi na kitu nitakachomfanyia ikiwa Ni pamoja na kumnunulia kiwanja, kwa bahati mbaya Ile msg niliituma kimakosa kwenda namba ya waif. Sikutilia maanani nikaendelea na shughuli zangu ofisini. Baadaye nikajiuliza mbona huyu mchepuko nimemuahidi kiwanja lakini hajibu msg? Eeh bwana we, kwenda kuangalia vizuri kumbe nimechanganya madesa, msg imeenda home port kwa waif.

Nikaanza kupanik fasta nikatoa udhuru, kipindi kile hakuna bodaboda, Ni daladala, niko Kurasini ofisini naitafuta Kimara home. Nikapanda la Kariakoo kutoka Kurasini, Kariakoo nikapanda la Kimara, Mimi naona gari haitembei. Kufika Kimara nikashuka kwenda home fasta kuliko upesi. Kijasho kimenitoka nakuta waif Yuko tu sitting room anaangalia tamthilia ananiuliza mbona uko hivyo, namuuliza nikovipi, akasema hauko sawa. Nikazama chumbani na kuikuta simu ya waif imetulia kumbe Ile msg hajaisoma, Nikafuta Ile msg huku nacheka kimoyo moyo. Nikivyotoka nikamuambia siku hiyo asipike. Surprise inamsubiri.

Msala Sasa ukabaki kwa mchepuko maana Ile msg niliyokusudia kwa waif ilienda kwa mchepuko. Lkn nikasema hata anijie juu si yeye ni Malaya tu Bora nimeokoa ndoa. Just imagine waif Angeona nimeisifia papuchi ya mchepuko kwamba Ina viwango, ningekua mgeni wa Nani miye?
 
Kipindi kile kabla ya simu za touch. Zilikua zile Nokia 3310, nilimuandikia mchepuko msg ndefu kuhusu alivyonipa Jana yake, kuhusu papuchi yake ilivyokua ya viwango na maujinga mengine mengi na kitu nitakachomfanyia ikiwa Ni pamoja na kumnunulia kiwanja, kwa bahati mbaya Ile msg niliituma kimakosa kwenda namba ya waif. Sikutilia maanani nikaendelea na shughuli zangu ofisini. Baadaye nikajiuliza mbona huyu mchepuko nimemuahidi kiwanja lkn hajibu msg? Eeh bwana we, kwenda kuangalia vizuri kumbe nimechanganya madesa, msg imeenda home port kwa waif. Nikaanza kupanik fasta nikatoa udhuru, kipindi kile hakuna bodaboda, Ni daladala, Niko Kurasini ofisini naitafuta Kimara home. Nikapanda la Kariakoo kutoka Kurasini, Kariakoo nikapanda la Kimara, Mimi naona gari haitembei. Kufika Kimara nikashuka kwenda home fasta kuliko upesi. Kijasho kimenitoka nakuta waif Yuko mu sitting room anaangalia tamthilia ananiuliza mbona uko hivyo, namuuliza nikovipi, akasema hauko sawa. Nikazama chumbani na kuikuta simu ya waif imetulia kumbe Ile msg hajaisoma, Nikafuta Ile msg huku nacheka kimoyo moyo. Nikivyotoka nikamuambia siku hiyo asipike.
Surprise inamsubiri.
Msala Sasa ukabaki kwa mchepuko maana Ile msg niliyokusudia kwa waif ilienda kwa mchepuko. Lkn nikasema hata anijie juu si yeye ni Malaya tu Bora nimeokoa ndoa. Just imagine waif Angelina nimeisifia papuchi ya mchepuko krwamba Ina viwango, ningekua mgeni wa Nani miye?
Unataka umnunulie mchepuko kiwanja wakati usafiri wako daladala
 
Hahaaaa kuna mmoja kwenye group letu la viongozi Mkoa wa Iringa akatuma video akimla mkewe. Jamaa ni DED mmoja Iringa, alikuwa anambembeleza mkewe baada ya kuwa wamekosana.

Jamaa akatuma video kwenye group lenye RC, RAS, MADC, MADAS na MaDED. Siku ilikuwa mbaya sana kwake. Ikabidi tuifute na tunyamaze tusijadili.
 
Kipindi kile kabla ya simu za touch. Zilikua zile Nokia 3310, nilimuandikia mchepuko msg ndefu kuhusu alivyonipa Jana yake, kuhusu papuchi yake ilivyokua ya viwango na maujinga mengine mengi na kitu nitakachomfanyia ikiwa Ni pamoja na kumnunulia kiwanja, kwa bahati mbaya Ile msg niliituma kimakosa kwenda namba ya waif. Sikutilia maanani nikaendelea na shughuli zangu ofisini. Baadaye nikajiuliza mbona huyu mchepuko nimemuahidi kiwanja lkn hajibu msg? Eeh bwana we, kwenda kuangalia vizuri kumbe nimechanganya madesa, msg imeenda home port kwa waif. Nikaanza kupanik fasta nikatoa udhuru, kipindi kile hakuna bodaboda, Ni daladala, Niko Kurasini ofisini naitafuta Kimara home. Nikapanda la Kariakoo kutoka Kurasini, Kariakoo nikapanda la Kimara, Mimi naona gari haitembei. Kufika Kimara nikashuka kwenda home fasta kuliko upesi. Kijasho kimenitoka nakuta waif Yuko mu sitting room anaangalia tamthilia ananiuliza mbona uko hivyo, namuuliza nikovipi, akasema hauko sawa. Nikazama chumbani na kuikuta simu ya waif imetulia kumbe Ile msg hajaisoma, Nikafuta Ile msg huku nacheka kimoyo moyo. Nikivyotoka nikamuambia siku hiyo asipike.
Surprise inamsubiri.
Msala Sasa ukabaki kwa mchepuko maana Ile msg niliyokusudia kwa waif ilienda kwa mchepuko. Lkn nikasema hata anijie juu si yeye ni Malaya tu Bora nimeokoa ndoa. Just imagine waif Angeona nimeisifia papuchi ya mchepuko krwamba Ina viwango, ningekua mgeni wa Nani miye?
Roho mtakatifu alikuwa nawe. Angeiona hio meseji pengine ndio ungekuwa mwanzo na mwisho wa kukulindia papuchi na angeanza kwenda magetoni kukandwa na wahuni😁
 
Hahaaaa kuna mmoja kwenye group letu la viongozi Mkoa wa Iringa akatuma video akimla mkewe. Jamaa ni DED mmoja Iringa, alikuwa anambembeleza mkewe baada ya kuwa wamekosana.

Jamaa akatuma video kwenye group lenye RC, RAS, MADC, MADAS na MaDED. Siku ilikuwa mbaya sana kwake. Ikabidi tuifute na tunyamaze tusijadili.
Ndio maana baadhi ya matendo yanaitwa faragha, kitendo cha kurekodi basi hamna faragha tena ...Siku yoyote mzigo unaweza kubuma 😂😂
 
Back
Top Bottom