Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,837
Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,

Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita

Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha ya Magufuli kukataa kuongeza muda watamlazimisha, atake asitake, Magufuli kuthibitisha kuwa yupo serious, mbunge Ally Kesi hakurudi Bungeni, na akawa mbunge pekee wa CCM kung'olewa na mbunge wa Chadema jimboni

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
 
Dini kubwa nchini ni Ukristo na Uislamu. Nchi hii Wakristo walio wengi ni Wakatoliki, Waluteri na Waanglikana àmbao Kwa Sasa wamefunga Kwaresma. Waislamu wako kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhan. Inakuwaje Mtu unasema uongo comfortably ukiwa kwenye mfungo? Au wewe ni Msabato hujafunga? Na wasabato uongo ni dhambi inayokemewa Kwa nguvu zote. Au ni mlokole? Walokole na uongo ni Paka na Panya. Hujui yaliyotokea Nkasi kaskazini Bora ukae kimya.
 
Wahuni wakisaidiwa na wapinzani uchwara waliokata tamaa ndio waliokua wakieneza propaganda chafu!
 
Dini kubwa nchini ni Ukristo na Uislamu. Nchi hii Wakristo walio wengi ni Wakatoliki, Waluteri na Waanglikana àmbao Kwa Sasa wamefunga Kwaresma. Waislamu wako kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhan. Inakuwaje Mtu unasema uongo comfortably ukiwa kwenye mfungo? Au wewe ni Msabato hujafunga? Na wasabato uongo ni dhambi inayokemewa Kwa nguvu zote. Au ni mlokole? Walokole na uongo ni Paka na Panya. Hujui yaliyotokea Nkasi kaskazini Bora ukae kimya.
Uwongo wangu ni upi?
 
Kilitokea nini?

Mbona Kawe Gwajima alipitishwa?!
 
Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,

Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita

Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha ya Magufuli kukataa kuongeza muda watamlazimisha, atake asitake, Magufuli kuthibitisha kuwa yupo serious, mbunge Ally Kesi hakurudi Bungeni, na akawa mbunge pekee wa CCM kung'olewa na mbunge wa Chadema jimboni

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Yule mwehu alikuwa anawazuga tu watu kama ninyi lakini lengo lake lilikuwa ni kutawala milele na ndiyo maana marafiki zake wakubwa walikuwa ni Yoel Mseven na Paul Kagame.Na hata kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 alikodi wanajeshi kutoka Burundi,Rwanda na Uganda kuja kusimamia uchaguzi.
 
Back
Top Bottom