Anayesimamia utoaji wa Pasi za kusafiria (Passport) embu alegeze, watu wanateseka sana

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,152
Kwako Ndugu Kamishna wa Uhamiaji

Mamayetu Pls kitengo cha uhamiaji upande wa passport embassy fanya marekebishooo

Leo niliamua kuadhimisha miaka 3 ya mama samia kwa aunt yangu

Nimepata muda wa kuangalia sifa na baadhi ya malalmiko yaliyotolewa na wananchi

Katika tv mbili tofauti wananchi wamelalamikia sana uhamiaji kwa kufanya ugumu wa kupatikana passport pamoja na kuwa na docs zote.

Mmoja alienda mbali akasema Rais Samia tusaidie yaani passport imekuwa kama madawa upatikanaji wake.

Mama yetu kamishna wa uhamiaji fatilia vituo vya mikoa watu wanateseka sana. Mbaya zaidi mmoja akaniumiza nikaona nije huku akasema kuna watu wakosmart kabisa wanajiweka maneo ya uhamiaji

Hawa wanapiga kazi kama madalali unataka haraka wanamalizana nawewe wanaenda ndani

Ukiona yanasemwa haya mama yetu kamishna yapo na kama hyapo yanakuja. Mnaokumbuka pale Posta TRA kulikuwa na vijana smart jjezi nyeupe na nyeusi jezi zao

Wale unataka....za magari fasta mbayaa wakiingia ndani unakuta kunawenzao wakofolen mbele gafla unashangaa una kila kitu

Hope waliwaflash niliwahi kuwawasha sehemu husika

Huyuu wa leo kalalamikia uhamiaji tusi.dharau

Turekebishe panapoharibika tusifie panaposifika tusaidie mama yetu Mh Samia kuondoa malalamiko.
 
Ukiwa na akili timamu huwezi kumtegemea huyo bimkubwa [Bibi Cheka] kwa lolote.
 
mimi nimeadhimisha miaka 3 ya mama, NIDA wakiwa wameshindwa kunirekebishia jina langu kwenye kitambulisho ni mwaka na nusu sasa mambo yangu hayaendi tangu nilipoomba kurekebishiwa. Nimeadhimisha miaka 3 ya mama nikiwa na hasira sana...ni kama miaka 3 ya laana vile
 
Back
Top Bottom