sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo kwa Jinsia ni Mwanamke, Lakini kwa Mawazo, Maneno na Matendo, ni Mwanamume! Uamuzi Huu ni wa Kiume! Big Up Sana kwa Uamuzi Huu wa Kiume

    Wanabodi, Naomba kulianza bandiko hili kwa kutoa elimu kwa umma,kuhusu gender differences betwen ME na KE, sio vile viungo vya uzazi, ni uwezo wa kufikiri, thinking ability, na namna ya kufikia maamuzi, men thinks, women feels!. Kuna wanawake, japo ni wanawake kimaumbile, but they think like...
  2. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni AI au ni mtu halisi nimekua na mashaka sana, anaitwa africanafai Instagram halllooooo chombo mzeer

    Ni mwanamziki, inasemekana ni mkenya picha zake zinanichanganya sana, aseee chombo kweli mtoto Yuko stand, mpaka naogopa nahisi ni AI
  3. O

    JamiiForums Tanzania MwanaHALISI: Nchimbi agoma kujiuzulu

  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Rachel Dangwa yuko 'kwenye Mikono Salama'

    Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
  5. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Inasemekana Trump alishakufa iliyopo ni clone yake

    Katika uhandisi jeni (genetic engineering), clone ni nakala inayofanana kabisa kijeni (genetically identical copy) ya jeni, seli, au kiumbe, inayozalishwa kutoka kwa chanzo kimoja. Kwa ufupi: Gene clone – nakala nyingi za jeni moja. Cell clone – kundi la seli zenye DNA ileile, zote zimetokana na...
  6. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Rachel dangwa ilibidi akamatwe Mapema sana maana alikua anatumia matusi ya nguoni

    Habari Hatukatai kwamba kwa sasa serikali inafanya mambo mengi ambayo wananchi hawayafurahii na kiwango cha uungwaji mkono ni kidogo sana kulingana na aina ya utawala uliopo Matukio mengi yanayoripotiwa kama ukosefu wa uwajibikaji ,vitendo vya rush wa, utekaji ,mauaji ya raia wasiokua na hatia...
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hata kama uko nje ya nchi usiamini sana watu wa karibu ndo wauza Taarifa na kukamatishana

    Watu mnajidanganya sana kwamba mtu akiwa nje ya Tanzania hawezi kamatwa, it depends na nchi , kama uko Russia, Japan, China, Au Asia kwa Ujumla kukukamata ni rahisi sana , ila kama ni Marekani na baadhi ya nchi za ulaya si rahis, labda iwe kesi ya Jinai Mataifa hayo hayana mambo ya Uhuru wa...
  8. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Masikio yangu yanaumia sana nikimsikia mtu anasema, "binafsi yangu" 😸😹

    Hivi mtu anaposema, "binafsi yangu", anamaanisha nini? Binafsi + yangu= ?
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dada anayefanya biashara ya kuuza majeneza Mwanza, asimulia siku ya kwanza kufanya biashara hiyo alilia sana

    https://www.youtube.com/watch?v=odtsPqmTGP0
  10. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Ndoa Kwa miaka ya sasa ni tamthilia pana sana, M/Mungu labda akusimamie tu kwenye hiyo sector

    Vitaa Labda uwe na pesa na umpate mwaminifu the sometimes uwe mmekubaliana , uwe unaweza kumridhisha mwenzako , mridhishane wote, mvumiliane, sijui kama yote haya yanawezekana Ila ndoa ni tamu sana ukipata partner wako ambaye mmekubaliana hata kama hamna pesa nyingi kiasi hicho ila...
  11. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Tafuta mtu asiyekujua mlipe pesa akutukane bila sababu ni tiba kubwa sana

    Kuna mda mambo yanakusonga eeeh!! Ngoja nikupe dawa Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni hata watatu na wao wasiokujua wawe wanasikiliza Mwambie changamoto zako zote huyo mtukanaji, tena...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya halaiki kwa Magaidi: Israel inafanya kazi nzuri sana kuwaua Magaidi huko Gaza!!

    Mazishi ya halaiki yamefanyika katika Jiji la Gaza, kaskazini mwa Gaza, leo, kwa ajili ya Magaidi 112 wa familia za Abu Sharia na Al-Hasaina, ambao miili yao ilipatikana katika wiki 2 zilizopita kutoka chini ya kifusi cha makazi katika kitongoji cha Sabra. Magaidi wa Hamas wanasema eneo hilo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hizi project zinazo endelea Pemba zipo Kasi sana kipindi hichi?

    Nimepata safari ya kikazi kwenda Zanzibar kisiwa Cha Pemba , safari yangu ilianzia Tanga na boti ya Zanzibar 3 safari ilikua ya lisaa 1 ,nilicho jionea Pemba Ina miradi mingi sana ya serikali inatekelezwa awamu hii barabara kila mtaa kiwango Cha rami , shule za golofa , na inaenda kwa kasi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa NMB leo umenikatili vibaya sana sina hamu kabisa

    Hawa jamaa leo wameniathiri vibaya kwa kukoso huduma fulani katika benki yao kutokana na mtandao wao kuwa down. Nimepoteza hela na nimeopoteza fursa. Inakera sana!
  15. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Kimasihara sana!. Hatimae ninafikisha nguruwe 50 ndani ya miezi 18

    Yes wakuu na wadau wa harakati hiZ ndogo ndogo za wajasiriamali, natumaini mko poa. ANGALIZO Lengo la uzi huu mbali na kushare uzoefu , ni kuwatia moyo wale ambao huenda wana ndoto ya kufanya hii kitu ila wanasita kwa sababu mbali mbali. Inawezekana kabisa. HAYA twende sasa. Mwaka jana ,2025...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yusuf Makamba na January Makamba wanalambia wapi Asali kwa sasa? Mzee amekuwa kimya sana

    Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu. Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wamechoka kuwekewa taka mbele ya maduka Eneo la Darajani, Vikokotoni

    Wafanyabiashara wa eneo la Darajani, Vikokotoni wanaendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya ukusanyaji wa taka mbele ya maduka yao. Licha ya kulipa pesa za taka kwa Manispaa kupitia tozo zinazojumuishwa kwenye leseni za biashara, taka zinaendelea kuachwa mbele ya maduka baada ya wafagiaji...
  18. I

    JamiiForums Tanzania TFF Ni jipu linalotoa usha kila uchao.

    Nmekuwa nashangaa kuona kila mechi inayokutanisha Simba na yanga kupangiwa kuchezwa visiwani Zanzibar, nadhani kwa kufanya hivyo ni kutukosea Sisi watanganyika(Tanzania bara)kwani Simba na yanga ni timu za Tanzania bara ambazo n tunu kwa watu wa bara kitendo cha kupeleka mechi za Simba na yanga...
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Juma Ayo ana IQ ndogo sana. Inakuwaje Crown Fm wanampa majukumu yanayozidi uwezo wake?

    Nimesikiliza kwa makini mahojiano kati ya watangazaji wa Crown Fm na mgeni wao mheshimiwa genius professor Mangungu ambaye ni boss wa Simba Sports Club. Nilichogundua ni kwamba Mheshimiwa genius professor Mangungu ana IQ kubwa mno na huyu Juma Ayo hana uwezo kabisa wa kuhoji kichwa kama...
  20. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Maisha yapo complicated Sana unakuta mabinti wanakukataa ila wake za watu wanakushobokea

    Unakuta unatongoza hata manzi kumi ila zote zinakukazia ila wake za watu wanaanza kukutongoza wenyewe huku si kutafutana ubaya
Back
Top Bottom