sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa msanii Maua Sama wazua gumzo, mimba iheshimiwe, Wema ana mwili mzuri hata akunenepa uso

    Ukimuona Maua Sama sasa hivi huwezi hata kuaminisha yani kabadilika sura ilivo Pana ukikutana nae njiani unampita asee. Maua na Zuchu hatari SANA, wamenenepa sana, kwenye ujauzito ilihali Wema yeye alikua kawaida tu, hizi picha ni kabla na baada ya ujauzito.
  2. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hivi Nchi ikipata Hyper inflation there's no Comeback? Zimbabwe inasikitisha sana

    Taifa la Zimbabwe linashangaza sana walipofikia , uchumi wa nchiyao umeshuka mpaka sakafuni imagine Bank kuu inachapisha noti ya Trilioni na bado haitoshi kununua hata mkate dukani , Local currency yao haina thamani kabisa wanatumia USD kufanya malipo! Ila wakitokea watu matajiri wanakuwa...
  3. Surya

    JamiiForums Tanzania Ukimkataa Mwanamke una hali mbaya sana

    Sikiliza, moja ya sifa ya mwanamke ni wana hisia sana kuliko wanaume. Nikisema neno hisia linamaana pana sana unapaswa kufikiri kwa kina. Intuition, beauty, mwanamke ndio chanzo cha uzuri ndani ya nyumba, hata kama ni house girl tu na sio mkeo bado yeye ndio kioo au Mng'ao wa nyumba yako kuu...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la uchawa ni mishahara midogo sana kazini

    Kazi yangu mimi ni biashara ya genge, nauza mboga. Nilichogundua hapa kijijini kwetu ukiona noti mpya nyingi zinakuja gengeni kununua bidhaa ujue watumishi wamelipwa misharaha yao. Wingi wa hela hizi nyingi na mpya unapotea ndani ya siku 7 hadi kumi tu. Nikamuuliza mwenzangu anaemiliki glossary...
  5. econonist

    JamiiForums Tanzania Mnyika amejibu vizuri sana

    Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika. Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”? Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana: “Tunataka katika taifa hili vijana waasi dhidi ya mifumo...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume wenye maisha duni ya kawaida wanajali sana bikira?

    Mahali popote ukikuta wanaume wanajali mwanamke wa kuoa kama mwanamke ni bikira au single mother basi utakuta na wanaume masikini, wa kawaida(average/ beta males) au wa Bara. Ni nadra kukuta wanaume wenye maisha mazuri, matajiri, mabilionea, maarufu au wanaume wa Pwani wanajali kama mwanamke...
  7. N

    JamiiForums Tanzania OMBI LANGU: Nikikaribia kufa mwaka wowote ule, ninaomba sana mnitelee bendera ya Tanzanaia nikae nayo pembeni yangu

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nyama choma nyingi bongo ni ngumu sana?

    Ni aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa LISSU 22/1/2025 kua Mwenyekiti CDM, mpaka sasa umetuletea Mapinduzi Chanya Kisiasa, Tumuombee sana !Udalali wa Mbowe Ulituchelewesha

    Jaribu kuwaza Mbowe ndo angekua Mwenyekiti 2025. Chadema wangepewa Wabunge 20 , alafu business as usual!!. Mbowe Mafanikio yake sio kua Kua Kiongozi, Mafanikio yake yalijengwa kwenye Kumiliki Mali, Kua na Connections na Serikali !!. Lissu kauthibitishia UMMA wa Watanzania kua, Yeye anawapenda...
  10. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo John Heche ameitisha Press ili kumjibu Mzee Butiku, CHADEMA ina wahuni wengi sana

    Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa? Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberu
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Pili pili hoho ni tunda la maana sana

    Pili pili hoho, hasa hoho za njano ni moja ya matunda yenye Vitamin C nyingi zaidi. Ina vitamin C nyingi kuliko machungwa na malimao. Vitamin C ni muhimu sana katika kujenga mwili na kujenga kinga ya mwili. Ukosefu wa vitamini C uliua sana mabaharia wa zamani baada ya kuwa wamekosa matunda na...
  12. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Gen Z Mnakimbiza sana Magari!

    Hello petrol heads! Gen Z mnakimbiza sana magari. Mnahatarisha maisha yenu na maisha ya watumiaji wengine wa barabara. Hata sisi tulipokuwa vijana tulikuwa tunakimbia kiasi ila nyie mmezidi. Mbaya zaidi mmejifunza magari vichochorlni hamfuati wala kujua sheria na tahadhari za barabarani...
  13. 0

    JamiiForums Tanzania Breakup zinauma sana

    Imagine ungekuwa na uwezo wa kugundua kuwa mwezi ujao mpenzi wako unaempenda kwa dhati atakuacha na atakutangaza hadhari kuwa kakupiga cha mbavu. Hapo the smartest move ni wewe kumuacha mapema kabla hajachukua point zote 3 muhimu ili kulinda ego yako. Na ikiwezekana muonyeshe na mtantangaze...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

    Ninaposema Usalama wa Taifa,Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi,mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda miaka...
  15. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia wanyonge wakiendelea kufanywa wanyonge despite ya kusali sana huku mahasidi na vizazi vyao wakiendelea kuneemeka despite uonevu wao

    Maisha ni technique, hakuna roho yoyote inayoendesha maisha yenu ya kuwasaidia katika tabu au kuwaadhibu wanaowafanyia vita Maisha ya mshindi ndugu zangu, aliejaa juu ndio anatunga sheria, hakuna roho yoyote inayo control maisha yetu haya.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza magari used hapa TZ inahitaji mabadiliko makubwa sana

    Nimekuwa nikifatilia matangazo ya magari kwenye platforms mbalimbali na kuna jambo ambalo linahitaji mabadiliko makubwa. wauza magari hawatoi taarifa muhimu za magari, kwenye tangazo wanaongea maneno mengi ambayo hayana umuhimu, na kwenye muda wote wanaoongea vitu vya muhimu kuhusu hilo gari...
  17. AI tata

    JamiiForums Tanzania Watanganyika mnasahau sana. Miki bado nipo kwenye utabiri wa Sheikh Yahaya. Ile hatua ya baada ya Rais Mwanamke.......

    Hapa tupo shingoni, bado kichwa tu. Kama ni ng'ombe imebaki mkia tu kiwiliwili kwisha. Kwa kuwa serikali haziamini utabiri. Basi waamini hata political winds it blows. Tayari sio mpasuko tena ni pamde mbili tofauti, asilimia mia hakuna anayesapoti pande. Hata raia wamechoka. Ikifanyika...
  18. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

    Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania. Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones . Je...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya surprise sana aiseeh, unaweza ukaamka leo giant lakini in no time unafananishwa na sisi tuliopauka

    Yaani unavyopakaziwa wakati wanakudondosha utafikiri haujawahi kufanya lolote chochote. Pole sana ema ze boy.
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Dkt. Nchimbi ni tukio kubwa sana kihistoria kwa siasa za Tanzania

    Ukubwa wa tukio hilo una sababu Kuu 3. 1. Cheo chake kilikuwa kikubwa sana Huyu si mbunge wa kawaida, Alikuwa: Katibu Mkuu wa CCM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Balozi Kumfukuza mtu aliyekaa kwenye viti hivyo 3 vikuu kwa muda mfupi, haijawahi kutokea mara nyingi. 2. Muda wake ni...
Back
Top Bottom