sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. polokwane

    JamiiForums Tanzania Mnao dhani Kikwete ni msaada mmepotea sana huyu mtu hajawahi kuwa msaada kwa taifa na hatokuja kuwa na msaada wowote kwenye taifa huyu ni ibin maslah

    Kwa wanao mfahamu tangu zama za nyerere wanajua.
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Makosa makubwa sana yalifanyika 2015 pale Dodoma kumpa nafasi Magufuli na kumuacha lowassa

    Hili lilikuwa jaribio hatari la usalama na ndilo pigo kubwa zaidi tulilopata kama taifa.
  3. polokwane

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Hii barter trade ya kisiasa inafaa sana na izingatiwe!

  5. othuman dan fodio

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi. Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka...
  6. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kuuelewa mchakato Domestication of Animals ulivyofanyika kunanipa sana ugumu

    Nimesoma machapisho mengi sana kuhusu domestication of animals, lakini bado... Hebu nifafanulieni kwa lugha rahisi jinsi wanyama walivyoanza kufugwa. Cc Interlacustrine R
  7. John Sin

    JamiiForums Tanzania NIGERIA: Katika wazazi 4 wanaopima DNA basi mmoja kapigwa, Yani analea goli la kidume mwezake

    Kampuni moja ya vipimo vya DNA nchini Nigeria inaitwa Smart DNA imetoa takwimu zao za 2025/2026. Wanasema kati ya watu wote waliokwenda kufanya kipimo cha kujua kama mtoto ni wao kweli, asilimia 23.6 walikuta hapana, sio watoto wao. Mwaka jana ilikuwa 24%, na 2023 ilikuwa 26.1%. Kwa hiyo...
  8. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa anaishi Marekani kwa mke na watoto wake Leo hii watumishi wa umma wangekuwa mbali sana kiuchumi.

    Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida. Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo. Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
  9. Pumpkin girl

    JamiiForums Tanzania Kwetu wafanyabiashara wadogo: Je, ni kero gani unazokumbana nazo kutoka kwa wateja wako?

    Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu: Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kabla ya maendeleo ya mitandao watu dini bongo walikuwa na chai za ajabu sana za kutisha watu

    Tukiwa Sekondari enzi mitandao ya kijamii haijasambaa sana Wanafunzi Waislamu maustadh kutoka Dar walileta kwa ushupavu mkubwa shuleni story ya watoto waliobadilika na kuwa mijusi wakubwa au viumbe wa ajabu baada ya kukojolea Quran. Walikuja na picha kabisa za hao viumbe waliobadilika kuwa...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Binadamu hawakutoka kwa nyani au sokwe. Huu ni ujinga au uzushi uliosambaa sana

    Sijui ilikuaje huu ujinga wa kuamini Sayansi inasema binadamu tulitoka kwa nyani au sokwe kukita mizizi sana kwenye vichwa vya watu wengi wanaoamini binadamu waliumbwa. Sayansi kupitia nadharia ya evolution haisemi binadamu waliwahi kuwa nyani au walitokana na nyani. Evolution inasema binadamu...
  12. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Leo kanisani kwangu nimewafundisha wanaume vitu kadhaa ambavyo wanatakiwa kuzidiwa na wake zao; mahubiri yalifana sana! 🔥

    Jumapili ya Leo pale kanisani kwangu nimetoa somo zuri sana Kwa wale wote waliooa na wanaotarajia kuoa. Niliwafundisha vitu viwili ambavyo mke anaweza kumshinda mume wake. Kitu Cha kwanza ni 'sauti nyororo, kitu cha pili ni 'makebo'. Yaani mke akishakuwa na sauti nzito kuliko mume...
  13. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza nyimbo za miaka ya nyuma lowkey zinakosha sana

    Kama ukichoka kusikiliza nyimbo mpya jaribu kukisikiliza nyimbo za Bongo Flava za kitambo. Zinabring the same vibe + nostalgia Music is one of the best human inventions Madee ft Tundaman- Pesa https://youtu.be/fsukuAcjyqU?si=x-xGmLmwxYonMSN5
  14. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nafsi imesahaulika. (a rant).

    Ni hakika wote tunajua kuhusu utatu mtakatifu... Yaani the father, son and the holy spirit. Also hii ina direct coleration na Body, mind and soul.. Hizi ni dhana tu za kujaribu kuelezea kitu ambacho kimejulikana for millenials.. Body and mind huwa ni kama kitu kimoja maana zote zina operate...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Benchi la ufundi la Simba sc hebu kaeni na wachezaji mzungumze nao kuhusu suala la nidhamu ya mchezo uwanjani. Hizi red cards zinaicost team sana

    Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo. Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kumbe Wakoloni walishajenga mabwawa ya umeme kama hili la Nyerere kwa kitambo sana!

    Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
  17. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania *ENEO HOT CAKE SANA LINAUZWA* *LIPO DSM VICTORIA* *UKUBWA WA ENEO NI EKA 1 AU SQFT 48,500* NI PLOT YA 3 KUTOKA BAGAMOYO RD *FULL DOCUMENTS*

    ENEO HOT CAKE SANA LINAUZWA LIPO DSM VICTORIA UKUBWA WA ENEO NI EKA 1 AU SQFT 48,500 NI PLOT YA 3 KUTOKA BAGAMOYO RD FULL DOCUMENTS BEI NI USD $6m 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #beachplotsforsale #tanzaniantiktok🇹🇿 #houseforsale #creatorsearchinsights #viral_video_tiktok_treding
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini kinawafanya Watanzania wengi waishi kwa matumaini makubwa sana kuhusu nchi yao ?

    Ukiwasikiliza watu wengi wa Tanzania wanaotamani mabadiliko wako na matumaini makubwa sana, wengi wanaamini kwa dhati kabisa ipo siku moja watesi wao watashindwa na kuanguka na nchi yao itakuwa yenye demokrasia pana na maendeleo tele. Ni nadra kukuta wenye mtazamo mbadala kwamba Tanzania...
  19. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Nimeamka na siku njema sana leo, niko free, shemeji kaniachia funguo za sebreni, dada kaniongezea mkwanja wa kutanua kwa zena leo. Karibuni

    Muwe na weekend njema wakuu. Msikatae asili zenu, kwanini nijifanye taita humu JF kama wengine? Mdada yoyote karibu kwa zena kuanzia saa kumi ,haijalishi una makebo makubwa au lah, karibu, drinks on me Mmoja nishatumia nauli anakuja👇
  20. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu: Watoto wa kati kati katika uzao wamejaa matukio sana

    Yani ni aidha wa pili au wa Tau au wa nne.namba hizo tajwa Hata ikiangukia mwishoni. Yani ikiwa umezaa watoto watano basi ni yule wa tatu au wa nne. Ikiwa umezaa wanne basi ni yule wa tatu. Ikiwa umezaa watatu basi ni yule wa pili Hata ukizaa kumi lazima wawepo wawili au watatu wale wa...
Back
Top Bottom