Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,601
- 9,728
Wanawake wana 100 miles tricks na wala hupaswi kuwahurumia hataa kidogo. Kuna tabia za wanawakee kuwapangia waume zao ratiba ya kuichapa. Mwanaume stuka the moment ukiwa na hamu yeye tayari ameshajimaliza huko kwa Boda wake. Usikubali mwanamke akudrive broo. Wee ichape muda wowote na usitabirike. Ukikubali kupangwa ujue kuna siku utanyimwa.