Kakuzidi claiming capacity mkuu kubaliana na hali, piga moyo konde songa mbeleHuyu dogo wa Ilboru kapiga hivi
S0110/0585
M
3
I
G/STUDIES - 'B' PHYSICS - 'A' CHEMISTRY - 'A' ADV/MATHS - 'A'
Tukubali tu madogo wana akili aiseeHuyu dogo wa Ilboru kapiga hivi
S0110/0585
M
3
I
G/STUDIES - 'B' PHYSICS - 'A' CHEMISTRY - 'A' ADV/MATHS - 'A'
Masomo yote sikuhizi ni mepesi miaka kuanzia 2010 kurudi nyuma watu walikuwa wanasoma kwa kumaanisha lakini ufaulu ulikuwa mdogoG.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana.
Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S lilikuwa uji sana nini ?
GS si tulikuwa tunawekewa subsidiary? I mean 'S'Ni kweli akili wanazo hata sisi tulikuwa nazo kama wao ila GS ilikuwa kipengele hata kulamba D tu
upo sahihi gs ilikuwa hata ukipiga banda utakutana na S, labda mfumo wa matokeo umebadilikaGS si tulikuwa tunawekewa subsidiary? I mean 'S'
Hata kwenye mitihani ya mock, pre Necta kote huko tuliwekewa S. Mi sikuwahi kuona hizo D, C, B wala A
G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana.
Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S lilikuwa uji sana nini ?
Kwakweli. Na GS ilikuwa hata sio ngumuupo sahihi gs ilikuwa hata ukipiga banda utakutana na S, labda mfumo wa matokeo umebadilika
sikuwahi kuingia pindi la gs wala kusoma wala hata kudandia discussion na kwenye pepa sikupga chabo ila nilipata S, nilipatapataje? sijuiKwakweli. Na GS ilikuwa hata sio ngumu
Miaka yetu ukifaulu unawekewa S tu ila ukifeli wanaandika F.GS si tulikuwa tunawekewa subsidiary? I mean 'S'
Hata kwenye mitihani ya mock, pre Necta kote huko tuliwekewa S. Mi sikuwahi kuona hizo D, C, B wala A
Maisha yamekuwa rahisi mno.Saa hizi mpaka B zipo nashangaa