Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,771
- 7,439
Sasahivi mikoa yote inavumbi sasa moja ya mambo ninayoyachukia ni vumbi kuna mda najiuliza inakuaje nchi zilizoendelea wamefanikiwa kupiga pavement sehemu kubwa sana ya nchi zao sisi tunahindwa nini
Mfano hata maeneo yale ya mjini tumeshindwa kuondoa vumbi ni jambo ambalo linashangaza sana
Na jambo la kushangaza hakuna jitihada zozote zile za kuondoa vumbi maeneo ya mijini kupitia mipango miji- watu wanaendelea kujenga kiholela na hii inapelekea kuwa na ugumu wa kuondoa vumbi mijini na kwenye town centre za miji midogo na vijijini